Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

Tufafanulie hapo kwenye Us dollars $4400 ina maana baada ya kufika bongo kuhusiana na inshu ya registration ndio hio 350000?!...
Port charges.shipping fee, clearance...kodi ya TRA iko wapi?
 
Hello wanandugu ,Kwanza kabisa nashukuru Kwa wale wote walionipa mwanga kuhusu kuagiza Gari from Singapore ,Gari ilishafika na nililipa TSHS 350000 Kwa ajili ya inspection fee tu na wala sio asilimia 30 ya CIF ,Ajent wangu alilipia TBS baada ya kujaza form maalum baada ya hapo Kuna kitu kinaitwa NIT alipeleka hapo likafanyiwa ukaguzi halikupita maana Kuna vitu vilitakiwa virekebishwe ilikuwa Ni taa ya kurudi nyuma ,parking light, na walisema engine ina mwaga oil.

Oil seal ilikuwa imekufa ,ilikuwa Ni jumamosi ,ikabidi arudishe Gari home kwake ,Leo Alhamis limepita mtihani ,Ndio dereva wake anailete hapa maeneo ya Kia moshi ,ilikuwa Ni suzuki escudo 2007 ,naisubiria sijui nikaipokee pale njia panda Himo ,Kwa kweli bei yake ilikuwa rahisi sana mpaka ifike Ni $4400 ,hii Ni CIF,

HUYO AJENT NI MZURI SANA SANA HANA TAMAA WANANDUGU ZANGU ,KAMA KUNA MWANANDUGU ANATAKA KUIONA NAWEZA KUMTUMIA PICHA YA GARI KWA EMAIL ADDRESS OR WHATSAPP, ASANTENI KWA KWA USHIRIKIANO WENU NA MAWAZO MLIONICHANGIA ,I CAN'T WAIT TO GET MY NEW RIG ,MWISHO WA MWAKA LAZIMA IENDE MARANGU MAMBA IKAUPOKEE MWAKA MPYA KAMA HUYU YESU KRISTO ATAWEKA HAPO MKONO WAKE .
Kodi ya TRA. Shipping line, clearance charge, port charges kiasi gani?
 
Mbona bei ya gari mpaka kukufikia ni$4000 na ushee alafu TRA umelipia ushuru 10 point ushee M...jumla si itakuwa inakimbilia 19M?
Mara nyingi Kodi huwa inalingana aj kuzidi bei ya gari
 
53297d551390669d9a4d8acc3829e5c4.jpg
Mbona zipo
 
Duh na mimi nashukuru nilipitia huu uzi nikafanikiwa kuagiza gari Singapore na sikupata usumbufu kama nilivyokuwa nafikiri na gari ilifika katika hali nzuri tu.
 
Kuna kitu hakipo sawa hapa, Anyway Let me reserve my comment, Naheshimu Sana Majibu yanayotolewa na Muda.
IQ za wanajf huwa nazikubali. hakika mashaka ya mtu ndio usalama wake!

najiuliza; gari aagize yeye, kwa pesa zake, kutoka soko apendalo yeye, kupitia agent chaguo lake, gari litumike kwa kazi zake. kisha harakati zote tujuzwe sie mmh! kwa kusudio lipi?

lakini kama kusudio ni jema hususani neno HONGERA. basi nampa yangu.

hongera ndugu kwa kulitangaza soko jipya la Singapore
 
Hahaha
IQ za wanajf huwa nazikubali. hakika mashaka ya mtu ndio usalama wake!

najiuliza; gari aagize yeye, kwa pesa zake, kutoka soko apendalo yeye, kupitia agent chaguo lake, gari litumike kwa kazi zake. kisha harakati zote tujuzwe sie mmh! kwa kusudio lipi?

lakini kama kusudio ni jema hususani neno HONGERA. basi nampa yangu.

hongera ndugu kwa kulitangaza soko jipya la Singapore
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom