mkuu
1. uki compare na kuagiza gari Japan kuna ambacho ulisave? au iliongezeka
2. Vipi quality ya gari? ilikuja na km ngapi?
mkuu hongera sana.. nina maswali MawiliWanandugu wapendwa natumaini Ni wazima wa Afya ,
Naombeni nitoe ufafanuzi kuhusu topic zangu mbili kuhusu kuagiza Gari kutoka Singapore .Nimejaribu mara mbili kuelezea nilikuwa nahitaji msaada kuhusu Gari ambalo halijakaguliwa kutoka Nchi ambayo nimeagiza yaani Singapore hawana Ajent wa inspection ,Wana JF WAKANIAMBIA LIKIFIKA TANZANIA KUNA FORM MAALUM UNAJAZA KUTOKA TBS HALAFU UNAENDA NIT NDIO WANALIFANYA UKAGUZI WAHAKIKISHE KILA KITU KIKOMO SAWA NDIO WANAKUPA CHETI UNAPELEKA TRA NDIO GARI LINASAJILIWA ,NA GARAMA ZA HIYO INSPECTION NI TSHS 350000 TUU ,HII NI ADA TUU KWA AJILI YA UKAGUZI WANANDUGU ,MMENISOMA ,SASA KUHUSU MANUNUZI YA HIYO SUZUKI ESCUDO, VITARA GRAND ILIKUWA
NI $ 3200 ,AKAWEKA HAPO NA ZA USAFIRISHAJI PAMOJA NA ZA INSURENCE ZIKAJA DOLLAR 4400 GARI IMELETWA MPAKA DAR ,ARE WE THE SAME PAGE,kufika Dar Kuna ushuru wa Tra nikalipa 10928000 Tshs ndio ushuri wa Gari ,
Inspection fees Tshs 350000
Shipping line Tshs 147000
Port charge Tshs 2150000
Wharerage. Tshs 246050
Ducumentation Tshs 20000
Insurance. Tshs 118000
Plate number. Tshs 50000
Agent. Tshs 400000
Driver Tshs 200000
Oil change Tshs 700000
Gas from Dar to kia 140000.
.ndio hayo tuu wapendwa katika
Kristo aliye mwokozi Wetu ,Naombeni sana sipendi kuwakwaza watu kama mtu anataka maelezo zaidi
Please don't hesitate to ask please na kama Kuna sehemu nimekosea mnikosoe ,Nikatubu LOL
1. uki compare na kuagiza gari Japan kuna ambacho ulisave? au iliongezeka
2. Vipi quality ya gari? ilikuja na km ngapi?