RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,910
- 130,014
Huyu jamaa alifungua uzi wakati anaagiza Singapore. Alitaka kujua inakuwaje kwenye suala la ukaguzi wakati TBS hawana agent Singapore.wakati una tafuta agent ulifungua uzi humu? kama ndio tuna omba kuuona mkuu...
Tukamfahamisha gari itakaguliwa na NIT ambao wamepewa zabuni na TBS kufanya ukaguzi hapa Tz. Ndio gari imefika na gharama za ukaguzi ndio hio 350,000/-
