Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

Hello wanandugu ,Kwanza kabisa nashukuru Kwa wale wote walionipa mwanga kuhusu kuagiza Gari from Singapore ,Gari ilishafika na nililipa 350000 Kwa ajili ya inspection na wala sio asilimia 30 ya CIF ,Ajent wangu alilipia TBS baada ya kujaza form maalum baada ya hapo Kuna kitu kinaitwa NIT alipeleka hapo likafanyiwa ukaguzi halikupita maana Kuna vitu vilitakiwa virekebishwe ilikuwa Ni taa ya kurudi nyuma ,parking light, na walisema engine ina mwaga oil. Oil seal ilikuwa imekufa ,ilikuwa Ni jumamosi ,ikabidi arudishe Gari home kwake ,Leo Alhamis limepita mtihani ,Ndio dereva wake anailete hapa maeneo ya Kia moshi ,ilikuwa Ni suzuki escudo 2007 ,naisubiria sijui nikaipokee pale njia panda Himo ,Kwa kweli bei yake ilikuwa rahisi sana mpaka ifike Ni $4400 ,hii Ni CIF, HUYO AJENT NI MZURI SANA SANA HANA TAMAA WANANDUGU ZANGU ,KAMA KUNA MWANANDUGU ANATAKA KUIONA NAWEZA KUMTUMIA PICHA YA GARI KWA EMAIL ADDRESS OR WHATSAPP, ASANTENI KWA KWA USHIRIKIANO WENU NA MAWAZO MLIONICHANGIA ,I CAN'T WAIT TO GET MY NEW RIG ,MWISHO WA MWAKA LAZIMA IENDE MARANGU MAMBA IKAUPOKEE MWAKA MPYA KAMA HUYU YESU KRISTO ATAWEKA HAPO MKONO WAKE .
Hongera...sema kama Yesu ataweka Mkono Wake...si Huyu Yesu
 
Tufafanulie hapo kwenye Us dollars $4400 ina maana baada ya kufika bongo kuhusiana na inshu ya registration ndio hio 350000?!...
 
Hongera...sema kama Yesu ataweka Mkono Wake...si Huyu Yesu
NASEMA HUYU YESU KRISTO ATAWEKA HAPO MKONO WAKE NA GARI ITAFIKA SALAMA KABISA ATATANGULIA MBELE YA DEREVA NA KUMUONGOZA MPAKA MAENEO YA KIA .NAMPENDA SANA HUYU YESU KRISTO ALIYE HAI.
 
Ujanielewa why Huyu?ni kama vile unamtaja binadamu..

Sema Yesu Kristo Mwokozi
 
mbona content ya habari ni kumtangaza agent ? au ni wewe mwenyewe agent ? hujiamini na kazi yako ? au ni wale wale wapiga dili ? mjomba atawanyoosha, mnapigwa vita sana nyie
 
Hapana mkuu Ni kitu cha ukweli kabisa
 
Nipe link uliyonunulia mkuu...au nikutafute nikupe mkwanja uniagizie?
 
Hello wanandugu ,Kwanza kabisa nashukuru Kwa wale wote walionipa mwanga kuhusu kuagiza Gari from Singapore ,Gari ilishafika na nililipa TSHS 350000 Kwa ajili ya inspection fee tu na wala sio asilimia 30 ya CIF ,Ajent wangu alilipia TBS baada ya kujaza form maalum baada ya hapo Kuna kitu kinaitwa NIT alipeleka hapo likafanyiwa ukaguzi halikupita maana Kuna vitu vilitakiwa virekebishwe ilikuwa Ni taa ya kurudi nyuma ,parking light, na walisema engine ina mwaga oil. Oil seal ilikuwa imekufa ,ilikuwa Ni jumamosi ,ikabidi arudishe Gari home kwake ,Leo Alhamis limepita mtihani ,Ndio dereva wake anailete hapa maeneo ya Kia moshi ,ilikuwa Ni suzuki escudo 2007 ,naisubiria sijui nikaipokee pale njia panda Himo ,Kwa kweli bei yake ilikuwa rahisi sana mpaka ifike Ni $4400 ,hii Ni CIF, HUYO AJENT NI MZURI SANA SANA HANA TAMAA WANANDUGU ZANGU ,KAMA KUNA MWANANDUGU ANATAKA KUIONA NAWEZA KUMTUMIA PICHA YA GARI KWA EMAIL ADDRESS OR WHATSAPP, ASANTENI KWA KWA USHIRIKIANO WENU NA MAWAZO MLIONICHANGIA ,I CAN'T WAIT TO GET MY NEW RIG ,MWISHO WA MWAKA LAZIMA IENDE MARANGU MAMBA IKAUPOKEE MWAKA MPYA KAMA HUYU YESU KRISTO ATAWEKA HAPO MKONO WAKE .
Hizo shida ulizozitaja ndo zimesababisha iwe bei rahisi. Kwa wengine ukinunua unakata miaka bila kugusa injine.
 
53297d551390669d9a4d8acc3829e5c4.jpg
 
Sio Kwamba Wivu Ila Suzuk Escudo Ni Gari Za Zaman(labda liwe new model but old brande name) Sana Kwa Kweli Dah Sio Ndoto Yangu Kiukwel ,,,ILA HONGERA KWA KUTIMIZA NDOTO MKUU, , , , , am serious
 
Unataka tukutumie e-mail zetu iliujue majina yetu? huo mtego hatuutaki, kwa nini usiweke picha hapa kama kweli una nia njema? pia wewe huyo agent wako ungeweka mawasiliano yake hapa.
 
Hapana boss sina haja na kufahamu majina yenu kabisa ,Kuna picha nimeweka hapo juu .Yanisaidie nini sasa .samahani kama nimekuudhi mkuu ,
 
Kuna kitu hakipo sawa hapa, Anyway Let me reserve my comment, Naheshimu Sana Majibu yanayotolewa na Muda.
 
wakati una tafuta agent ulifungua uzi humu? kama ndio tuna omba kuuona mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom