Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

Nassibu said
Ungesaidis kujibu maswali ambayo watu hawakujibiwa na muanzisha uzi
Website uliyotumia kununua gari?
Kwa upande wa gari lako ,lilikuwa kwenye Hali gani kwa Bei hiyo,km n.k?

IMG_9797.JPG
IMG_6551.JPG
IMG_6574.JPG
IMG_6588.JPG
IMG_6574.JPG
IMG_6586.JPG

Niliinunua Tradecarview km 64,000 muuzaji alikuwa Singapore lakini original ya gari ni japan hii ni muhimu sana kuangalia wakati unaagiza,viti vyake ni full lather na gari haikuwa na shida yoyote ilipokaguliwa na mpaka leo inadunda sasa mwaka umepita ina km 90,000 sijatengeneza chochote zaidi ya service tu na labda ningeongezea hapo kwa wanaopenda Toyota rush watafute hii inavumilia zaidi barabara zetu kuliko rush,power steering yake ni hydraulique tofauti na rush yenyewe ni umeme.
 
Sari Sana
Hongera mkuu
Ndinga imetulia Sana
Inaonekana gari nyingi from Singapore zinakuwa zimetumika km chache sana
View attachment 1115009View attachment 1115013View attachment 1115015View attachment 1115018View attachment 1115019View attachment 1115020
Niliinunua Tradecarview km 64,000 muuzaji alikuwa Singapore lakini original ya gari ni japan hii ni muhimu sana kuangalia wakati unaagiza,viti vyake ni full lather na gari haikuwa na shida yoyote ilipokaguliwa na mpaka leo inadunda sasa mwaka umepita ina km 90,000 sijatengeneza chochote zaidi ya service tu na labda ningeongezea hapo kwa wanaopenda Toyota rush watafute hii inavumilia zaidi barabara zetu kuliko rush,power steering yake ni hydraulique tofauti na rush yenyewe ni umeme.
 
Sari Sana
Hongera mkuu
Ndinga imetulia Sana
Inaonekana gari nyingi from Singapore zinakuwa zimetumika km chache sana

Sheria za Singapore kutumia private transport ni aghali zaidi kuliko kutumia public transportation na matumizi ya gari mwisho ni miaka minane tu na wameadvance sana kwenye hii public transport hivyo inakufanya usitumie sana usafiri wako na sababu ya serikali yao kufanya hivyo kale kanchi ni kadogo sana wakiruhusu magari kuingia na kuzunguukazunguka bila utaratibu kama hapa kwetu bongo watashindwa kufanya shughuli zingine kutokana na usumbufu wa magari na sheria za ki mazingira pia
 
Ila niliichojifunza Singapore ni solo la wenye nazo aisee maana kwa waliozoea gari ifike bongo chini ya cif ussd 2000 kwa Singapore ni ngumu maana gari zao zimetembea km chache, hivyo zinakuja na Bei kubwa
Watu wataendellea kubaki Japan maana gari kule zimetumika Sana na wabongo wananunua kwa Bei nafuu
Kama huna pesa ya mawazo Singapore ndo kwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom