matobholo
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 106
- 100
- Thread starter
- #21
Wacha ujinga wew na Elimu yako ya kuunga unga, usiwe unatanguliza Elimu yko wkt ujui unaowambia wana Elimu gani.DAAAAAAH....
Kumbe ma demu walioko humu ni MATAPELI...
Mie cjui nan TAPELI nani SIO..
Nafuata ushuhuda wa mshikaji hapo kuwa Wanawake waliopo humu MATAPELI...
Heheheheee (kicheko cha ki Engineer)
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
kazi kweli kweli