Mrejesho! Natafuta mdada msabato

Mrejesho! Natafuta mdada msabato

Kaka mchumba
Hbr za jioni wadau!

Kutokana na bandiko langu la tarehe 25.09.2016 la kutafuta mdada wa kisabato kwa ajili ya baadaye kuwa mke,
Nilibahatika kupata pm moja ya dada mmoja , tulipeana mawasiliano na hatimaye tukatambuana majina halisi.
Baadaye jioni ya jana nikampigia ili niongee naye vizuri na tuliongea kwa dakika chache ila nilimtega kwa mtego mdogo sana kwamba nipo Mkoani Simiyu kikazi, kumbuka alinambia yeye yupo dar es salaam hivyo akaomba kwamba nimtafute baadaye, mpk sasa ninavyoandika hajanitafuta pamoja na juhudi za kumtext kwamba nasubir awe free tuongee lkn kapotelea mitini.

Mwingine aliniambia yupo dsm lkn alikuwa na miaka 29 hivyo nikahadiliana naye sana mwishowe nikamwabia ananizidi umri hivyo hatutaweza kuwa pamoja.

Nilichogundua ni kwamba humu Jamii forum kuna wadada wengi matapeli, hawako serious na mahusiano .
Mim nipo Nyanda za juu kusini ila kwangu ni Morogoro, hivyo ikimweza Mdada moja kwa moja ni rahisi kukomaa ili umuoe hivyo mara nyingi lazima uchije ili wasio serious wajichuje wenyew.
Kwa sasa sipokei pm za Mdada yeyote na hawa niliochat nao, imetosha, nitaendelea kutafuta mdada physically na ikiwezekana wa dhehebu lolote nitaoa.

Nimeleta mrejesho hivi ili na wengine wanaotafuta waweze kujifunza.
Ahsante sana
Bwana mdogo mchumba hatafutwi kama mganga
 
du aya maono ya mtandao hatare, huwaoni makanisani, kongamano, au hata unapoishi hawapo wapendwa? huku utaumia tu.
 
hilo
Hbr za jioni wadau!

Kutokana na bandiko langu la tarehe 25.09.2016 la kutafuta mdada wa kisabato kwa ajili ya baadaye kuwa mke,
Nilibahatika kupata pm moja ya dada mmoja , tulipeana mawasiliano na hatimaye tukatambuana majina halisi.
Baadaye jioni ya jana nikampigia ili niongee naye vizuri na tuliongea kwa dakika chache ila nilimtega kwa mtego mdogo sana kwamba nipo Mkoani Simiyu kikazi, kumbuka alinambia yeye yupo dar es salaam hivyo akaomba kwamba nimtafute baadaye, mpk sasa ninavyoandika hajanitafuta pamoja na juhudi za kumtext kwamba nasubir awe free tuongee lkn kapotelea mitini.

Mwingine aliniambia yupo dsm lkn alikuwa na miaka 29 hivyo nikahadiliana naye sana mwishowe nikamwabia ananizidi umri hivyo hatutaweza kuwa pamoja.

Nilichogundua ni kwamba humu Jamii forum kuna wadada wengi matapeli, hawako serious na mahusiano .
Mim nipo Nyanda za juu kusini ila kwangu ni Morogoro, hivyo ikimweza Mdada moja kwa moja ni rahisi kukomaa ili umuoe hivyo mara nyingi lazima uchije ili wasio serious wajichuje wenyew.
Kwa sasa sipokei pm za Mdada yeyote na hawa niliochat nao, imetosha, nitaendelea kutafuta mdada physically na ikiwezekana wa dhehebu lolote nitaoa.

Nimeleta mrejesho hivi ili na wengine wanaotafuta waweze kujifunza.
Ahsante sana
umelijua leo???????? si KE au ME wote humu ni masimba yaliyo shiba utapeli hadi kuvimbiwa.......... POLE MEMBER ndo ukubwa huo.
 
Hbr za jioni wadau!

Kutokana na bandiko langu la tarehe 25.09.2016 la kutafuta mdada wa kisabato kwa ajili ya baadaye kuwa mke,
Nilibahatika kupata pm moja ya dada mmoja , tulipeana mawasiliano na hatimaye tukatambuana majina halisi.
Baadaye jioni ya jana nikampigia ili niongee naye vizuri na tuliongea kwa dakika chache ila nilimtega kwa mtego mdogo sana kwamba nipo Mkoani Simiyu kikazi, kumbuka alinambia yeye yupo dar es salaam hivyo akaomba kwamba nimtafute baadaye, mpk sasa ninavyoandika hajanitafuta pamoja na juhudi za kumtext kwamba nasubir awe free tuongee lkn kapotelea mitini.

Mwingine aliniambia yupo dsm lkn alikuwa na miaka 29 hivyo nikahadiliana naye sana mwishowe nikamwabia ananizidi umri hivyo hatutaweza kuwa pamoja.

Nilichogundua ni kwamba humu Jamii forum kuna wadada wengi matapeli, hawako serious na mahusiano .
Mim nipo Nyanda za juu kusini ila kwangu ni Morogoro, hivyo ikimweza Mdada moja kwa moja ni rahisi kukomaa ili umuoe hivyo mara nyingi lazima uchije ili wasio serious wajichuje wenyew.
Kwa sasa sipokei pm za Mdada yeyote na hawa niliochat nao, imetosha, nitaendelea kutafuta mdada physically na ikiwezekana wa dhehebu lolote nitaoa.

Nimeleta mrejesho hivi ili na wengine wanaotafuta waweze kujifunza.
Ahsante sana
Wengi hawako sirias wanaleta maigizo kwenye maisha
 
Hyo ya nyanda za juu kusin nayo ni ya. Kwel au moja ya mitego yako? Bora nafs yako iliamua kujirdhsha mapema before kuingia kwenye mahusiano
Kama ingekuwa mitego si ningeitumia na tyr ningewapata!!
Usiwe na fikra hasi mara nyingine uwe unajiongeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom