Mrejesho: Natafuta girl friend

Mrejesho: Natafuta girl friend

Unajihaibisha wewe.
Diploma ni elimu kubwa sana usitudhalishe wenye diploma.
Mwanaume mzima unatafuta mwanamke kwenye mtandao!!!!
Ina maana hujawahi hata kutongoza mpaka umri huo.
Inabidi ukapimwe akili.
 
Kutongoza hujui, hela ya kuhonga huna, Nina wasiwasi Kama kugegeda unajua
 
Hahaha, sasa besti unajua simu yangu imeharibika. Nataka ka- iPhone 6S tu hapa kuna kitu nataka kukuwhatsup manake nimekumisi.
Kumbe jf ina mambo jamani
umpe laki akasuke na simu iliharibika
asingekujua wewe asingesuka?
eeeh? BADILI TABIA King'asti


Mjini mahesabu bibie. Umchune panadol wako
Yaani baada ya kusoma huu uzi nimegundua love connect kuna watu wanatumia fursa.....

Mtafutaji akiwa desparate tu "anapigwa"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom