Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
When it comes to love and relationship, I suppose...." Never say never".., soon or later the desire to love a man will spring up and grow.Wee acha tu! Sidhani kama naweza taka mwanaume tena
Unazijua nyege unazisikia?Wee acha tu! Sidhani kama naweza taka mwanaume tena
Sio Ishu wala haziuiUnazijua nyege unazisikia?
Wee acha tu! Sidhani kama naweza taka mwanaume tena
Siku hizi ukioa au ukiolewa badala ya kujiletea faraja na raha za maisha kwa kumpata mwenzio...kinyume chake unajiletea mahangaiko na mateso kwenye maisha yako......
Badala ya ndoa kuwa baraka na neema zimekuwa ni chem chem ya mabalaa na mafarakano kwenye maisha yako....
Siku hizi ukioa au kuolewa ni kama unajiweka karibu maradhi ya moyo na visukari visivyo na sababu.....au hata kifo kabisa.....
Siku hizi ndoa baada ya kujenga undugu wa karibu kwa kuunganisha familia mbili badala yake zinakuwa chanzo cha uadui baina ya familia mbili......
NDOA ZIMEKUWA NDOANO......
Mwanamke akizingua ni zaidi ya msiba. Sema wanaume tuna mioyo migumu. Kwahiyo usijione wewe una mikosi wapo wengi waliofanyiwa mambo ya ajabu kuzidi yako. Jana tu mtu kaweka uzi humu kwamba alienda kutafuta maisha kwa muda wa miezi kurudi amekuta wife ana ujauzito wa miezi mitatu, sasa huyo unafikri ana hali gani sasa hivi? Alafu suala lililokutokea mbona linatokea sana tu, nyumbani kwetu jamaa alifanya hivyo ikabidi awaoe wote mtu na mdogo wake.Hivi kuna mwanamke anayeweza kuwa kituko kwa mumewe?
Yaaani umeongea mengi tena kwa nguvu zote..umjitahidi kuandika kwa kadri ya uwezo wako..mwenyewe ukarudia kusoma kabla ta kupost..ukachukua muda kuedit lakini kwa bahati mbaya umeandika pumba tupu...emu jaribu kusoma mwenyewe uone.leah2;
Nadhani wewe ni mtu wa maamuzi ya haraka haraka sana. Uliamua kusitisha kuzaa ili usome kwanza huku ukijua wazi kuwa upo kwenye ndoa. Sidhani wazo la kuendeleza kisomo alilitoa mumeo bali ni wewe mwenyewe. Mumeo alikuridhia japo shingo upande alipopata ka mwanya akamtumia mdogo wako ili aone kiumbe chake (mtoto).
Uamuzi wa pili ni kumkaribisha mdogo wako kwako mahali ulijua wazi kuwa kuna mwanamume, unaye lala naye kila siku. Hukuwaza kuwa, yawezekana akaamua kufanya kautafiti kuwa, hivi huyu mdogo mtu ni mtamu ka dadake? Ukadhani unakaa na malaika Gabriel ndani asiye na tamaa. Matokeo umeyaona.
Uamuzi mwingine mbaya ni kuwaleta jopo la watu ambao woote ulijua kuwa wapo upande wako ili kuja kukuhalalishia hiyo talaka unayofurahia kuwa utaitoa hivi karibuni.
Sawa kabisa, lakini naomba nikuambie; Tuliza munkari. Hao uliosema ati uliwaleta wachungaji, hawawezi kuihalalisha talaka yako. Ni neno la Mungu kuwa; Aliowaunganisha Mungu, mwanadamu, (Leah2) asiwatenganishe. Usiifurahie talaka, hiyo ni Passport ya kuingia kuzimu kwa Mkristo awaye yote. Hakuna talaka.
Sasa, tulia kabisa, rudi kwa Mungu wako, mlilie hata akusikie, akupe roho ya kusamehe, watume watu wema wamwendee huyo mumeo, wamweleweshe tu atapata akili mpya aone kosa lake, atubu, amrudie Mungu. Ndoa yako iliingia tu doa, usiikate nguo ati kwa sababu imeingia doa. Kumbuka nguo ni hiyo moja tu unayo.
Ati unasema, Sidhani ka nitamtamani tena mwanamume. Usitamani mwanamume mwingine, mtamani mumeo. Hata kama hatarudi mapema, mwombe kuwa, ukijisikia hamu saana usitumie "Midoli ya kichina/japan", mwombe uende alipo akutoe ham kidogo. Hutakuwa umezini bali ni mumeo tu mpaka kufa. Huu ndo ukweli japo shubiri. Kama ulikimbilia ndoa ya kikristo hayo ndo maukweli yake. Hakuna talaka bali lolote utakalo tenda, ni zinaa tuuu. Si mimi, ni Mungu kasema. Kwa kheriiiii kubali au kataa hii ndo kweli japo shubiri mesaa tuuu
Yaani nimesha mfuta kbsa nao..najiona nipo huru kbsa. Maisha yenyewe magumu tena bado mtu akusumbue na madharau yake loh! Imetosha kabsaLeah2 sasa Kula,Pendaza dear,endelea Na maisha huyu bwana naona sasa kama kachanganyikiwa,Sasa analeta vitisho vya nini!!!!
Harafu Hana nidhamu kabisa kwahayo aliyoyatamka mbele ya wazazi Na viongozi wa dini.
Wee acha tu! Sidhani kama naweza taka mwanaume tena
Haya maneno yote ya nini? Ama wewe ndo mmewe jamani kha!Kwani we ulitaka usuluhishe nini kwenye hicho kikao?!
Mumsahaulishe kwamba hajawahi mpa mdogo wako mimba?!
Obvious, mdogo wako ni mtamu kuliko wewe pia ni mbichi kuliko wewe, hivyo tegemea kejeli na dharau.
Hakuna suluhu kwenye mkasa ka huo, hata mi ningewatoa balu.
Surprisingly, it may be the same manWhen it comes to love and relationship, I suppose...." Never say never".., soon or later the desire to love a man will spring up and grow.
ZZ Utaoa lini?Dadngu leah2 Pole sana.. na HONGERA kwa ujasiri ...its not the end of the WORLD !!
Ex mume hakupata ushauri wa maana kutoka kwa washikaji wake!!
nakutakia maisha mapya ya heri na bila stressz... GOOD LUCK