Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

OK dada najua umekosewa sana sawa lakini kwa kauli hizi naanza kupata mwanga ni kwa nini yote haya yametokea. Sorry nimesema naanza tu kupata mwanga just mwanga. Elimu au fedha haioi wala kuolewa
Sawa
 
Dada kuvunja ndoa kwa sasa subiri kidogo maana utafanya maamuzi ya hasira wewe tulia maadam umemsamehe Dogo na kasema harudii tulia kwa sasa mtengane tu huyo mdogo wako ndio mbaya na si mumeo
 
Wanaume ni watu wa kujihesabia haki sana kosa mfanye msamaha aombe mwanamke looh! Siwezi fanya ujinga huo kuolewa si utumwa...eti elimu inampa kiburi!

Mnapenda kuwa watwana ilihali majukumu yanawashinda...zama hizi ni mpya wanawake tumejitambua
Pole sana asee, I can imagine what you're going through. Lakini mali, elimu vimekuwa chanzo kikubwa kwa binadamu kuwa na kiburi(sio wanawake tu), binadamu yoyote anaweza kuwa na kiburi cha mali na elimu. Ndio maana hata wanawake wanaogopa kuolewa na wanaume wasio na pesa, coz wakizipata wanakuwa na kiburi.

Pole for the frustration you're enduring. Seek psychological therapy asap.
 
Pole sana asee, I can imagine what you're going through. Lakini mali, elimu vimekuwa chanzo kikubwa kwa binadamu kuwa na kiburi(sio wanawake tu), binadamu yoyote anaweza kuwa na kiburi cha mali na elimu. Ndio maana hata wanawake wanaogopa kuolewa na wanaume wasio na pesa, coz wakizipata wanakuwa na kiburi.

Pole for the frustration you're enduring. Seek psychological therapy asap.
Mmmh! kazi kweli kweli
 
Hapo mama umebomoa wala hujajenga. Na for sure nakuhakikishia hao hao waliokuunga mkono kuachana na mumeo kwa kosa ambalo tayari limeshatokea ndio hao hao watakaokusengenya kesho kwa muone huyo alishindwa kumudu nyumba yake. Kiufupi Mimi nilikuwa sitegemei mumeo angaact tofauti na alichofanya. Anyways jitahidi mahakamani kuvunja ndoa ili uweze kuwaunganisha kisheria mumeo na mdogo wako.
Umejidanganya kwa 100%. Nachokiona hapa, huu msalaba ni mzito sana kwako. Unamuhitaji Mungu kuliko wakati wowote katika maisha yako. Hawa watu wameshakuwa wazazi unawatengaje kwa kiapo?? Huyu mumeo wa zamani atamuhitaji mwanae na hamna nguvu ya kumzuia kisheria, so kwa kuwa mdogo wako hakubakwa, ni dhahiri walipendana. U can't stop her now mwisho wa siku utaumia zaidi utakapojua wanaliendeleza goma.
Ushauri wangu, let ur little sister go
Dogo nimemsamehe kweli, na nilimshauri asijerudisha mahusiano tena..na yeye alikili kutorudia na wazazi wakampa kiapo na kumlisha yamini ikitokea amerudia atapatwa na laana.

Pia niliamua kuendelea kuishi nae kama awali mpaka atakapo pata kazi nakujitgemea..nipo tayari kumudumia mtoto pia pindi atakapo zaliwa.
 
Huyo Mume wako mpaka anafikia kudiriki kusema maneno kama hayo kwenye kadamnasi, inaonesha fika mapenzi wewe na yeye yamekwisha, na hata kama utaendelea nae itakuwa anajilazimisha, au mazoea lakini mapenzi hakuna tena, na hamtokuwa na amani tena kama mwanzoni.

Ndoa imeshaingia ibilisi hiyo.

Msamehe mdogo wako, ndio imeshatokea
 
Kwa mfano ukija shtuka kuwa mtoto aliye zaliwa siyo wa mume wako utamrudia mumeo?!
 
Pole Leah na hongera kwa kufikia muafaka, nakupongeza kwa hekima na busara uliyoonesha kipindi chote cha tukio hilo zito.
Nakuunga mkono ktk maamuzi yako.
Hongera pia kwa kumsamehe dogo.
Anza upya na Mungu atakusaidia kumpata mwenye mapenzi ya dhati. Kila la kheri
 
Pole Leah na hongera kwa kufikia muafaka, nakupongeza kwa hekima na busara uliyoonesha kipindi chote cha tukio hilo zito.
Nakuunga mkono ktk maamuzi yako.
Hongera pia kwa kumsamehe dogo.
Anza upya na Mungu atakusaidia kumpata mwenye mapenzi ya dhati. Kila la kheri
Nawe umeibukia wapi, ndo wale wale!
 
Pole Leah na hongera kwa kufikia muafaka, nakupongeza kwa hekima na busara uliyoonesha kipindi chote cha tukio hilo zito.
Nakuunga mkono ktk maamuzi yako.
Hongera pia kwa kumsamehe dogo.
Anza upya na Mungu atakusaidia kumpata mwenye mapenzi ya dhati. Kila la kheri
Leo imekuaje kwenye ndoa yako. Fisi unachekelea msitu unaungulia. Au ni wewe mwenyewe unatuchora na hizi thread
 
Huyo Mume wako mpaka anafikia kudiriki kusema maneno kama hayo kwenye kadamnasi, inaonesha fika mapenzi wewe na yeye yamekwisha, na hata kama utaendelea nae itakuwa anajilazimisha, au mazoea lakini mapenzi hakuna tena, na hamtokuwa na amani tena kama mwanzoni.

Ndoa imeshaingia ibilisi hiyo.

Msamehe mdogo wako, ndio imeshatokea
Unajua mkuu iko hivi wanasema mjusi ukimbananisha sana kwenye angle hugeuka nyoka na paka hugeuka chui kama vile mbwa naye huwa simba yote haya ni namna tu ya kujaribu kujinasua kwenye huo mtego na usipokuwa makini wanakudhuru kweli. Na hili ndilo lililompata mume wa huyu mama.ila kwa mimi naamini angepata faragha angemuomba mkewe msamaha kwa dhati.
 
Habari zenu wadau wa MMU,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru mods na members wenzangu wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu katika thread niliyoleta huku kipindi cha nyuma yenye kichwa kisemacho "mume wangu amempa mimba mdogo wangu"

Nimepata muda wa kutosha kutafakari michango ya mawazo yenu namna ya kumaliza tatizo hili na MUNGU amekuwa upande wangu na nimefanikiwa kufikia muafaka.

Jana ndo ilikuwa siku ya kukutana tena kwenye kikao pamoja na wazazi wa pande zote mbili na safari hii tukihusisha na wachungaji wetu na tulikaa na kufikia muafaka kama ifuatavyo;

Katika kusikiliza maelezo ya pande zote mbili yaani kutoka kwangu na kwa watuhumiwa, mume wangu aliamua kujibu vibaya kikao baada ya kuona anaandamwa na maswali ambayo haya kumfurahisha.

Nasikitika kusema alidiriki kujibu kuwa kama kosa limeshatokea waamue haraka yeye ana mambo ya muhimu ya kufanya kuliko hili.

Akaenda mbali zaidi kuwa hata wao wanajiona ni watakatifu kumuandama na maswali wana nyumba ndogo kibao sema ni kwa vile hawaja kamatwa. Pamoja nahayo akaongeza kuwa hajawahi jutia kosa lake kwani yule si dada yake wala hana ukoo nae kwahiyo ilikuwa ni sawa tu.

Wazazi wake walijaribu kumkatisha asiendelee kuzungumza lkn hakujali akapaza sauti zaid hapo ikabidi wamuache tu aongee mpaka amalize, aliongea mengi na magumu sana sina ujasiri wa kuyaandika hapa kwakuwa hayatamkiki kwa mtu mwenye akili timamu.

Baada ya kumsikiliza kikao kiliniuliza nasemaje kuhusu ndoa yangu.

Sikuwa na la zaidi, niliwaambia kwakuwa kwake ni jambo la kawaida sana na mimi kwangu si la kawaida nisingeweza kuendelea kuishi na mtu mwenye mtazamo tofauti.

Wachungaji walisema wao hawana mamlaka ya kuvunja ndoa ya kikristo lakini kwakuwa mwanaume ameongea maneno yenye dharau inaonesha hana moyo wa toba na angeendelea na uzinzi hivyo wanaungana na mimi katika maamuzi yangu.
Walinishauri nifuate taratibu za kisheria kuvunja ndoa.

Kwa upande wa mdogo wangu yeye alishanifuata zaidi ya Mara kumi kuniomba msamaha, sikuona sababu ya kutomsamehe nilimsamehe na jana niliuthibitisha msamaha wangu katika kikao lakini nilimtahadharisha kutoendelea na shemeji yake nae hakupingana nami katika hilo.

Mwanaume ameanza vitisho kwamba nijiandae kupambana.
Binafsi siogopi nipo tayari kupambana lakini sipo tayari kuendelea kuishi na mwanaume fedhuli kama yeye.

Hapo ndipo tulipo fikia na najiandaa kutafuta talaka kisheria.

Asanteni sana naamini hili limepita imebaki utekelezaji wa utenguzi wa ndoa.

Nakaribisha michango yenu ya mawazo..

Pia niwashukuru kwa kampani yenu katika kipindi kigumu
Good
 
Kweli kabisa,hebu msome hapa chini tayari kesha panic
Acha kupanic na stori zako za kuunga unga kwa superglue.
kwani shida ni nini ndugu okonkwo wether ni true or story yote yanafundisha da we kwanini kimekugusa kwamba haya hayapo ktk jamii am.muwe mnawaza unapojibu comment wakat mwingine unakuta serious case mtu anaumia .
 
Siku hizi ukioa au ukiolewa badala ya kujiletea faraja na raha za maisha kwa kumpata mwenzio...kinyume chake unajiletea mahangaiko na mateso kwenye maisha yako......

Badala ya ndoa kuwa baraka na neema zimekuwa ni chem chem ya mabalaa na mafarakano kwenye maisha yako....

Siku hizi ukioa au kuolewa ni kama unajiweka karibu maradhi ya moyo na visukari visivyo na sababu.....au hata kifo kabisa.....

Siku hizi ndoa baada ya kujenga undugu wa karibu kwa kuunganisha familia mbili badala yake zinakuwa chanzo cha uadui baina ya familia mbili......

NDOA ZIMEKUWA NDOANO......

hadi mchoz yaan.....daah
 
Bigbro haita kaa itokee kbsa
..kumsamehe naweza lkn si kurudiana seriously
Nikueleze kitu,
Kabla ya kumfumania Mke wangu nilisema nikimfumania mke namwacha. In short tupo wote sasa
Teh teh teh[emoji115] hizo mambo alimjengea mwenyewe na mana hata mpaka hapo alikuwa kashamdhihirishia kuwa kamkalia kichwani kwa kumfukuza. Je alitaka aje aombe radhi ya nini kama tayari alimfukuza? Hata wangerudiana akamsamehe suala la mmewe kukaa hapo nyumbani kwa moyo mmoja lisingewezekana ingekuwa inampa stress. All in all alishamwaribu kisaikolojia, kwa kumfukuza then kuwepo na kikao aje aombe samahan sawa hilo la samahan hatukatai ila ungekuwa na moyo wa kumsamehe angekwisha onesha moyo huo toka kitambo na pili alikuwa anamdhalilisha kisaikolojia mbele za watu kwamba bila yeye mmewe Hana malazi nk nk nk. Ndoa sio dodo useme utajiokotea kiulaini lazima kuna miiba njiani ikutoboe kwanzaaa afu ndo uenjoy utamu wa dodo.
huyu mama inaonyesha hata jikoni hafiki ni Mkuu WA kaya. Alikuwa anawanyanyasa mumewe Na Dogo. Ikabidi waungane kujifariji mwisho vikojoleo vikawa marafiki. Kosa ni lake Na unaambiwa mshika mawili moja humponyoka. Shule Na ndoa wapi Na wapi? Unaambiwa ukiona Mke WA mtu anasoma jua anakimbia familia kutafuta pumziko
 
Back
Top Bottom