Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Nilitaka kupita bila kusema neno kutokana na ukweli kwamba solution imepatikana. Lakini nikupongeze leah2 kwa maamuzi uliyofikia.

Nimesikitishwa tu na kiburi cha huyo mtalaka wako. Nilitaraji angekuomba radhi na ninaamini kwa convoy kubwa ya wazazi na pastors basi muafaka wenye afya ungepatikana. Ninaamini ulikuwa tayari kusahau na kusamehe. Kiburi chake, majivuno, dharau na kutokuwa na hofu ya Mungu vimemponza.

Hata sisi tuna wakosea wake zetu. Lakini tunajishusha na kuwa wanyenyekevu ili maisha na mapenzi vitamalaki. Kwenye ndoa ya mume jeuri na mke aliye kengeuka lazima vita izaliwe.

Hongera kwa busara zako za kumsamehe mdogo wako. Fungua ukurasa Mpya wa maisha yako. Mungu akutangulie katika wakati huu mgumu wa mapito. Najua maumivu haya kuisha bado itakuchukua muda. Maliza masomo yako. Omba Mungu akuletee Mume. Maisha yaendelee.

Goodluck Mshana
Nashukuru sana
 
Huyo jamaa anaonekana katil kwa sabab alishindwa kudhihirisha uanaume wake. Unafunga ndoa then mke anakwambia hatak kuzaa kwa ajil ya kusoma na akaona kabisa huitak ndoa, uliivunja mwenyew ndoa yako kwa kuchukua uamuz wa kusoma ndoa ikiwa changa.
More likely penzi lilikuwa la kusua sua au jibaba lililazimisha ndoa au bibie pia, so something went wrong soon after marriage ndio maana kila mtu akaamua afanye yake.
Mi naju kwa uelewa wa vijana wa siku hizi, including mimi mtu anaoa/ kuolewa huku kashajipangia mstakabari wa ndoa ktk maswala ya uzazi na mengine kinachobaki ni utekelezaji tu.

Imagine mmefunga ndoa mwenzako hataki kuzaa na sio kwa makubaliano yenu nyote, je kama ni mkeo atakupa dyudyu sawasawa?? Si atakuwa anakwepa ili asipate mimba?? Na akikupa atakwambia vaa kondomu, see how it sound!!??

Ni vvyema kama una mipango mbeleni ya mafanikio ktk familia hakikisha mwenzako umemwelewesha vzr na aelewe nini unafanya, kusoma si kubaya hata kama umeoa/ olewa.

Tatiza linakuja pale ukimweleza akikubishia kwa sababu anazofikiri yeye, wewe unaanza kumjudge kwa level ya elimu yake, exposure n.k
 
Pole tena, maisha na changamoto; usijutie uamuzi wako maana hujui Mungu amekuepusha na nini. Kama kakutisha gadharani kamripoti polisi upate RB kwa usalama wako. Fanya maisha km mume Mungu atakupa. Ungeweza kubadilisha makazi ingekuwa vizuri kiusalama na kisaikolojia. Huyo wewe hukuwa chaguo lake vinginevyo angejutia sana kosa. Ifanye kazi yako ndio mumeo usonge mbele.
Nipo katka maandalizi ya kuhamia mahali pengine, siwezi kuwa comfortable kuendelea kuishi hapa.
 
ukikubali kuolewa na ukakaa na mdogo wako ni hatari kwa ndoa yako. Watu kibao wameshatafuna mashemeji zao.
 
leah2, wakati wa kikao, kabla mumeo hajaanza kutema pumba, ulishafanya maamuzi yoyote? Je, kama angekupigia magoti kuomba umsamehe, ungekubali? (Napenda kujua nini uliwaza though yameshatokea)

Pole sana, ndoa yaweza kuwa mbingu ndogo, lakini pia yaweza kuwa jehanamu.
Nilikuwa tayari kutoa msamaha kabsa lakn kwa majibu yale akanirudishia hasira za awali.
 
Nilikuwa tayari kutoa msamaha kabsa lakn kwa majibu yale akanirudishia hasira za awali.
Unafikiri kuna siku akija kukuomba msamaha kwa dhati kabisa unaweza kumsamehe?
 
More likely penzi lilikuwa la kusua sua au jibaba lililazimisha ndoa au bibie pia, so something went wrong soon after marriage ndio maana kila mtu akaamua afanye yake.
Mi naju kwa uelewa wa vijana wa siku hizi, including mimi mtu anaoa/ kuolewa huku kashajipangia mstakabari wa ndoa ktk maswala ya uzazi na mengine kinachobaki ni utekelezaji tu.

Imagine mmefunga ndoa mwenzako hataki kuzaa na sio kwa makubaliano yenu nyote, je kama ni mkeo atakupa dyudyu sawasawa?? Si atakuwa anakwepa ili asipate mimba?? Na akikupa atakwambia vaa kondomu, see how it sound!!??

Ni vvyema kama una mipango mbeleni ya mafanikio ktk familia hakikisha mwenzako umemwelewesha vzr na aelewe nini unafanya, kusoma si kubaya hata kama umeoa/ olewa.

Tatiza linakuja pale ukimweleza akikubishia kwa sababu anazofikiri yeye, wewe unaanza kumjudge kwa level ya elimu yake, exposure n.k
Una matatizo ya ufahamu bila shaka au unaweza kuwa unajua kusoma lkn kile ukisomacho hukielewi:

Kwenye uzi wangu wa kwanza nilisema tulikubaliana nimalize kwanza masters ndipo nizae sikusema nilimua peke yangu acha uzushi kuongea mambo usiyo yajua
 
Sasa mlikua mnaamuliza nini wakati ukweli wote mnaujua na yeye ni mkosaji mkubwa. Tayari ameshaathirika kisaikolojia mme wako huyo. Atajibu anavojisikia koz anaona dunia iko agaist yake. Mmekosea kweli kuweka kikao cha kumuuliza tena. Mngemwacha akae mwishowe angejutia na kuja kuomba samahani mwenyeww
Kuna watu wana moyo wa kusamehe hata kama kosa ni kubwa kiasi gani, kwahiyo kama huyo mbaba angekiri kosa na kuomba msamaha kwa dhati kabisa Bi mkubwa anaonekana ana imani angemsamehe, kwahiyo hata kama tayari imejulikana mkosaji ni yeye nafikiri alikuwa anapewa chance ya kutubu na pengine kuonyesha/kumsingizia shetani kama kawaida yetu na maisha yakasonga bila kuachana.
 
Hii inanikumbusha pale Adam alipo ulizwa na Mungu wetu muweza, nani ka kuambia ule tunda la mti wa katikati nilio kukataza; BADALA YA KUOMBA MSAMAHA yeye akajibu ni huyu mwanamke uliyenipa kanidanganya;
Kimsingi huyu mwanmme alitakiwa aishie kuomba msamaha down to Earth ili hata ile kauli ya samehe mara sabini labda ingempitia....
Nahisi kampoteza mke mwema tena mwenye mapenzi!
Hapo unapingana na nature mkuu maana hata Adam mwenyewe hakuomba msamaha bali alitafuta kisingizio.
Kwa jinsi huyu jamaa alivyokuwa amebanwa na wazazi na wakwe zake na wazee wa kanisa asingeweza kamwe kuomba msamaha kama unavyotaka. Hapa mkewe alitakiwa ampe nafasi amuombe msamaha wakiwa wao wawili tu tena katika mazingira tofauti. Lakini kwa jinsi alivyomuitia jopo ina maana lengo lake lilikuwa kuonyesha dunia ni jinsi gani mumewe alivyo mdhambi halafu ndio amuache kuepuka lawama mtaani. Kwenye hili namlaumu mke japo alikosewa lakini alipaswa kumsitiri mumewe japo alishaamua kumuacha. Embu ona sasa alivyojidhalilisha huyo maana baada ya mumewe kuropoka mambo ya ndani ya ndoa baada ya kuwa provoked...... Tukue jamani ndoa sio fashion
 
Kama unadhani ni hadithi hulazimishwi pita kimya kimya, nina mambo mengi ya kufanya wala nisingepoteza muda na jambo lisilo la kweli
Pole sana best..yatapita Na utampata mwenza mwingine mwaminifu haiwezekani woote wawe wale wale..kuhusu Huyoo aliyejibu Eti Ni hadithi ya shigongo..yy amezoea Kusoma zile hadithi (kazijuaje)Ndo Maana kila MTU ajipost chochote anakuja Na upotoshaji Eti hadithi...labda nimwambie asilojua Ni kwamba tamthilia hadithi zoote anazozijjua..chanzo kilitokea kwenye Social Realities....Sasa kwa ulimbukeni wake Na ushamba..maskini ya Mungu Hajui kwamba kwa hayo uliyopitia unayopita..MTU anatengenezea story Na kuuza..nae anajiita Eti yupo ndani ya Wana Great Thinks...Hakika he/she is a Loser!!!!!!!!!!
 
Ref. Kwenye bible kuna jamaa alitaka kumuoa msichana ila akatakiwa aoe kwanza dada mtu ndio baadae aweze kuoa mlengwa. Kwa wanaojua majina yao waseme
Allkuwa yakobo alipotaka kuoa kwa mjomba wake, huyu mjomba Laban alikuwa na mabinti wawili mkubwa Lea na mdogo rebeca, Yakobo slimpenda kwanza mdogo( rebeca) alichunga kondoo kwa miaka kumi na mbili ili apewe mke.
Muda ulipofika apewe chake, mzee labani alimgeuka, akamwambia kwa mila zao mdogo hawezi kuolewa kabla ya mkubwa hivyo aoe wote la sivyo hata mdogo atamkosa.
 
Pole sana ila hata wewe uwe unawajuwa wake zetu hasa waliosoma. Ni shida na wanapenda kusifiwa ukimweleza ukweli uwe Na kifua cha kupata matusi. Huwezi kubadili ulimwengu ila kubali kutokubaliana. Ipo kwa bahati mbaya tuna watu ambao si wepesi kuelewa ila siku moja atakuelewa. Nakuapia mumewe alipata shida sana Na si ajabu k ya huyu mtoa mada alikuwa akiiona inavyovalishwa chupi tu. Hata mdogo mtu alikuwa anamhurumia shemejie MATESO ya kukosa papuchi akaamua kumsevu. Superiority complex ya mtoa mada ndiyo inamfanya dume lidharau hicho kikao. After all aliwafukuza katika Nyumba yake. Ingelikuwa Mimi naoa mdogo wake tunaanza moja
Teh teh teh[emoji115] hizo mambo alimjengea mwenyewe na mana hata mpaka hapo alikuwa kashamdhihirishia kuwa kamkalia kichwani kwa kumfukuza. Je alitaka aje aombe radhi ya nini kama tayari alimfukuza? Hata wangerudiana akamsamehe suala la mmewe kukaa hapo nyumbani kwa moyo mmoja lisingewezekana ingekuwa inampa stress. All in all alishamwaribu kisaikolojia, kwa kumfukuza then kuwepo na kikao aje aombe samahan sawa hilo la samahan hatukatai ila ungekuwa na moyo wa kumsamehe angekwisha onesha moyo huo toka kitambo na pili alikuwa anamdhalilisha kisaikolojia mbele za watu kwamba bila yeye mmewe Hana malazi nk nk nk. Ndoa sio dodo useme utajiokotea kiulaini lazima kuna miiba njiani ikutoboe kwanzaaa afu ndo uenjoy utamu wa dodo.
 
Nilikuwa tayari kutoa msamaha kabsa lakn kwa majibu yale akanirudishia hasira za awali.
Well, probably ameshachezea nafasi ya pili ambayo ulishakuwa tayari kumpa, kumbe you're such a forgiving person.

Katika maelezo yako umesema umemsamehe dogo, which means utarudisha mahusiano yako na yeye, ni jambo jema. Sasa, umemtahadharisha dogo asihusiane na soon-to-be ex husband kwa lolote. Je, nani atamtunza mtoto pindi akija? Wazazi/wewe upo tayari kumtunza mtoto wenu?
 
Hapo unapingana na nature mkuu maana hata Adam mwenyewe hakuomba msamaha bali alitafuta kisingizio.
Kwa jinsi huyu jamaa alivyokuwa amebanwa na wazazi na wakwe zake na wazee wa kanisa asingeweza kamwe kuomba msamaha kama unavyotaka. Hapa mkewe alitakiwa ampe nafasi amuombe msamaha wakiwa wao wawili tu tena katika mazingira tofauti. Lakini kwa jinsi alivyomuitia jopo ina maana lengo lake lilikuwa kuonyesha dunia ni jinsi gani mumewe alivyo mdhambi halafu ndio amuache kuepuka lawama mtaani. Kwenye hili namlaumu mke japo alikosewa lakini alipaswa kumsitiri mumewe japo alishaamua kumuacha. Embu ona sasa alivyojidhalilisha huyo maana baada ya mumewe kuropoka mambo ya ndani ya ndoa baada ya kuwa provoked...... Tukue jamani ndoa sio fashion
Mimi binafsi wanaume hua mnanishangaza inshu kama hii kweli asishirikishe wazazi? Seriously?
Haya mdogo wake kapewa mimba ili Hali anaishi nae angewaambiaje wazazi kua hiyo mimba niya Nani?
Pia swala la kuomba msamaha si nature kuna wanaume wengi tu wanajua kuomba msamaha nakujishusha pale wanapohisi wamekosea huo ndo ungwana.
Sema huyu jamaa Ana kiburi,ama mazingira aliyolelewa hakufundishwa kuomba msamaha hivyo amejikuta ikimuathiri anaona kuomba msamaha kama sijui kitu gani!!!!!
 
Aaah! Kumbe bi dada alikuwa anatafuta justification tu, aisee kumbe mshikaji alishagu dua hilo ndio maana akaamua kama mbwai iwe mbwai tu.

Hapo unapingana na nature mkuu maana hata Adam mwenyewe hakuomba msamaha bali alitafuta kisingizio.
Kwa jinsi huyu jamaa alivyokuwa amebanwa na wazazi na wakwe zake na wazee wa kanisa asingeweza kamwe kuomba msamaha kama unavyotaka. Hapa mkewe alitakiwa ampe nafasi amuombe msamaha wakiwa wao wawili tu tena katika mazingira tofauti. Lakini kwa jinsi alivyomuitia jopo ina maana lengo lake lilikuwa kuonyesha dunia ni jinsi gani mumewe alivyo mdhambi halafu ndio amuache kuepuka lawama mtaani. Kwenye hili namlaumu mke japo alikosewa lakini alipaswa kumsitiri mumewe japo alishaamua kumuacha. Embu ona sasa alivyojidhalilisha huyo maana baada ya mumewe kuropoka mambo ya ndani ya ndoa baada ya kuwa provoked...... Tukue jamani ndoa sio fashion
 
Maumivu ya moyo ni makali sana hasa kwa mume inauma sana isikie tu..nilikuwa hata kula siwezi mpaka ikabidi mama aje ndo angalau akawa ananihimiza kula.
kuna jambo moja kubwa sana ambalo watu wengi sio rahisi kukushauri. kwanza kabisa nakupa pole, pili nakupongeza kwamba bado unampenda mume wako maana umesema ulimkanya mdogo wako asiendelee baada ya kumsamehe.

jambo unalotakiwa kulifikiria muda wote ni kwamba,HAUTAKIWI KULISHIKILIA HILI JAMBO MOYONI, achilia, release it ili uwe huru. kwa kawaida, sisi wanadamu vile tunavyoumia tunavyoumia tunavyotendwa, ndivyo Mungu anavyoumia sisi tunavyomkosea. mimi na wewe tumeshamkosea Mungu katika nyakati nyingi sana, mara nyingi sana hata hazihesabiki na kama Mungu angelihesabu maovi yetu nani angelisimama? kama Mungu angehesabu na kutoa adhabu kila kosa ulilowahi kulifanya hapa duniani, wewe na mimi tungeshateketezwa muda mrefu sana ndio maana MUNGU AMEKUWA AKITUSAMEHE.

hii ndio sababu Mungu amesema katika neno lake, ukiwa katika kuomba, samehe kwanza watu makosa yao, ndipo na Mungu wa Mbinguni atawasamehe dhambi zenu. usiposamehe na Mungu hatakusamehe hivyo utaishi na dhami maisha yako yote na ukifa unaenda motoni kwasababu haukusamehe ili uqualify kusamehewa na Mungu wa mbinguni. hii ndio sababu ninayokushauri UMSAMEHE MUME WAKO unconditionally, bila masharti. pia, usifikiri kwamba unao uwezo kupambana naye, hapo haupambani na yeye, unapambana na shetani, shetani amekaa pembeni amewashika vichwa anawagonganisha wewe na Mume wako na alimtumia huyo msichana kama mlago wa kuingilia ili aivuruge ndoa yenu kabisa kabisa na baada ya kuivuruga ndoa, awagombanishe muingie kwenye vita muchinjane, mteketezane, muaibishane ninyi kwa ninyi....

na mbinu ambazo mume wako atazitumia kupambana na wewe atapewa na shetani mwenyewe, shetani atakuwa anampa hizo silaha na mbinu, wewe pia mawazo yako yote na mbinu utakazokuwa unaziwaza kumkomesha mume wako, itakuwa ni ushauri toka kwa shetani, sio toka kwa Mungu.

mwisho wa siku, utajikuta mmesambaratishana kupindukia, mmeaibishana ,kupundukia, umeumia moyo katika hizo vita zaidi ya hapo ulipoumia sasa, hivyo itakuwa hasara zaidi kuliko ungeachilia, ukamwomba Mungu akupe solution. kwa kawaida, ndoa yako hiyo bado ni nzima, mume wako anakupenda bado ndio maana anasema anaingia vitani na wewe kwasababu hataki kukuacha. vilevile, kuna siku huyohuyo mume wako unayemwona amebadilika, ni shetani tu, atakuja kufunguliwa na Mungu hadi hautaamini, yeye mwenyewe atasikitika kwanini alifanya hayo. sisi sote tulikuwa kama huyo mume wako, Mungu alipotubadilisha, tulirudi kwenye ndoa zetu, tumewapigia magoti wake zetu hata kama zamani tulijifanya jeuri lakini akili ilipokuja kurudi hakika tumejuta sana na ndoa zetu zimepona bila hata kuaibishana mtaani. vita mtakavyopigana naye mumeo hakutakuja kuwa na mshindi, na hakuna kati yenu atakayefaidika na hiyo vita/ugomvi.

nakushauri kwa moyo wangu wote, usishindane na mwanadamu, usipigane vita vya kimwili, pigana vita vya kiroho kwa kupeleka maombi yako mbele za Mungu ili Mungu mwenyewe aamue hiyo kesi na wakati wa kufanya ayo, jua wewe ni mwanadam mwenye madhaifu unayetakiwa kusamehe ili na wewe usamehewe, usiposamehe na Mungu hatakusamehe. Mungu akubariki.
 
huyo mume ni hatary xana, yan anajiamini kupita maelezo tena mbele ya jopo la wazazi, nlitegemea mwishowe angeomba radhi na kujuti kumbe ndo anathibitisha urijal wake kuwa kafanya ktu sahihi kabixa yan, ukimchunguza zaidi hyoo ana mwanamke mwingine ukiacha wewe, mdogo wako ndo mana hajutii kukuacha wala hana mpango na wewe ,but mapenz yana nguvu xana anaweza akajirudi badayeee
Hajawahi kumwona kabanwa na polisi kende mpaka kakubali kosa maana hamna namna tena nini mkuu. Ivi unaamin kutoa ushauri kwa kusikiliza upande mmoja? Hata yeye Ana chembechembe za makosa take anyway soma majibu anayoreaply utagundua kitu ndani yake.
 
Back
Top Bottom