sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
Yah man woyiiiii maisha yamewa ngete te Mae.Duh kwa hiyo tufe kibishi bishi
Yah man woyiiiii maisha yamewa ngete te Mae.Duh kwa hiyo tufe kibishi bishi
Alijiharibu mwenyewe kisaikorojia kwa kumpa mimba shemeji yake wala pasitafutwe sababu ni yeye full stop,angekua mwaminifu haya yote yasingetokeaa.Teh teh teh[emoji115] hizo mambo alimjengea mwenyewe na mana hata mpaka hapo alikuwa kashamdhihirishia kuwa kamkalia kichwani kwa kumfukuza. Je alitaka aje aombe radhi ya nini kama tayari alimfukuza? Hata wangerudiana akamsamehe suala la mmewe kukaa hapo nyumbani kwa moyo mmoja lisingewezekana ingekuwa inampa stress. All in all alishamwaribu kisaikolojia, kwa kumfukuza then kuwepo na kikao aje aombe samahan sawa hilo la samahan hatukatai ila ungekuwa na moyo wa kumsamehe angekwisha onesha moyo huo toka kitambo na pili alikuwa anamdhalilisha kisaikolojia mbele za watu kwamba bila yeye mmewe Hana malazi nk nk nk. Ndoa sio dodo useme utajiokotea kiulaini lazima kuna miiba njiani ikutoboe kwanzaaa afu ndo uenjoy utamu wa dodo.
Vp mtoto atakayezaliwa atamwita nani? Je akiwa anamwangalia atakuwa na furaha ya moyo juu yake?[emoji57] [emoji19]Hii inanikumbusha pale Adam alipo ulizwa na Mungu wetu muweza, nani ka kuambia ule tunda la mti wa katikati nilio kukataza; BADALA YA KUOMBA MSAMAHA yeye akajibu ni huyu mwanamke uliyenipa kanidanganya;
Kimsingi huyu mwanmme alitakiwa aishie kuomba msamaha down to Earth ili hata ile kauli ya samehe mara sabini labda ingempitia....
Nahisi kampoteza mke mwema tena mwenye mapenzi!
Lekya tupuYah man woyiiiii maisha yamewa ngete te Mae.
Usihukumu ndoa zina mengi kuna mafundo yamefichwa hapa hii ni apper layer ameiweka hapa. Naye kamletaje mdogo kukaa kwake mda wote huo, hata hajakaa naye kampa somo juu ya familia yake ashike kipi na aache kipi angali anamwona keshapevuka. Je vp mtoto akizaliwa atamwita nani?joke [emoji38]Alijiharibu mwenyewe kisaikorojia kwa kumpa mimba shemeji yake wala pasitafutwe sababu ni yeye full stop,angekua mwaminifu haya yote yasingetokeaa.
Nakubaliana na wewe kabisa dada ila ilitakiwa mume na mke wamalizane kabisa kwanza huku kabla hata ya kushirikisha wazazi kiasi kwamba mnapoenda kwa wazazi ni kwenda kuwaomba radhi na kutafuta solution ya tatizo na sio kwenda kushitakiana na kuvuana nguo. Hili lingewezekana tu iwapo mke angekuwa radhi kumsamehe mumewe.Mimi binafsi wanaume hua mnanishangaza inshu kama hii kweli asishirikishe wazazi? Seriously?
Haya mdogo wake kapewa mimba ili Hali anaishi nae angewaambiaje wazazi kua hiyo mimba niya Nani?
Pia swala la kuomba msamaha si nature kuna wanaume wengi tu wanajua kuomba msamaha nakujishusha pale wanapohisi wamekosea huo ndo ungwana.
Sema huyu jamaa Ana kiburi,ama mazingira aliyolelewa hakufundishwa kuomba msamaha hivyo amejikuta ikimuathiri anaona kuomba msamaha kama sijui kitu gani!!!!!
Una matatizo ya ufahamu bila shaka au unaweza kuwa unajua kusoma lkn kile ukisomacho hukielewi:
Kwenye uzi wangu wa kwanza nilisema tulikubaliana nimalize kwanza masters ndipo nizae sikusema nilimua peke yangu acha uzushi kuongea mambo usiyo yajua
Oooh kumbe nawe pia usihukumu maana wote hatufahamu.Usihukumu ndoa zina mengi kuna mafundo yamefichwa hapa hii ni apper layer ameiweka hapa. Naye kamletaje mdogo kukaa kwake mda wote huo, hata hajakaa naye kampa somo juu ya familia yake ashike kipi na aache kipi angali anamwona keshalevuka. Je vp mtoto akizaliwa atamwita nani?joke [emoji38]
Dogo nimemsamehe kweli, na nilimshauri asijerudisha mahusiano tena..na yeye alikili kutorudia na wazazi wakampa kiapo na kumlisha yamini ikitokea amerudia atapatwa na laana.Well, probably ameshachezea nafasi ya pili ambayo ulishakuwa tayari kumpa, kumbe you're such a forgiving person.
Katika maelezo yako umesema umemsamehe dogo, which means utarudisha mahusiano yako na yeye, ni jambo jema. Sasa, umemtahadharisha dogo asihusiane na soon-to-be ex husband kwa lolote. Je, nani atamtunza mtoto pindi akija? Wazazi/wewe upo tayari kumtunza mtoto wenu?
At least umenielewa mpwa hii makitu inayoitwa ndoa hiii agrrr. Tuwaombee tuu mola awasaidie kwa kweli.Oooh kumbe nawe pia usihukumu maana wote hatufahamu.
Sijui kwanini ningependa sana siku moja msameheane na muwe pamoja tena
Nimekuelewa,tatizo huyo bwana toka mwanzo hili swala hakulipa uzito tena hakuomba hata msamaha tu kwa mkewe kua hiki nilichofanya Mke wangu sio nisamehe,hakufanya hivyo.Nakubaliana na wewe kabisa dada ila ilitakiwa mume na mke wamalizane kabisa kwanza huku kabla hata ya kushirikisha wazazi kiasi kwamba mnapoenda kwa wazazi ni kwenda kuwaomba radhi na kutafuta solution ya tatizo na sio kwenda kushitakiana na kuvuana nguo. Hili lingewezekana tu iwapo mke angekuwa radhi kumsamehe mumewe.
Teh teh teh[emoji115] hizo mambo alimjengea mwenyewe na mana hata mpaka hapo alikuwa kashamdhihirishia kuwa kamkalia kichwani kwa kumfukuza. Je alitaka aje aombe radhi ya nini kama tayari alimfukuza? Hata wangerudiana akamsamehe suala la mmewe kukaa hapo nyumbani kwa moyo mmoja lisingewezekana ingekuwa inampa stress. All in all alishamwaribu kisaikolojia, kwa kumfukuza then kuwepo na kikao aje aombe samahan sawa hilo la samahan hatukatai ila ungekuwa na moyo wa kumsamehe angekwisha onesha moyo huo toka kitambo na pili alikuwa anamdhalilisha kisaikolojia mbele za watu kwamba bila yeye mmewe Hana malazi nk nk nk. Ndoa sio dodo useme utajiokotea kiulaini lazima kuna miiba njiani ikutoboe kwanzaaa afu ndo uenjoy utamu wa dodo.
Best wishes ktk maisha yako. Wewe niwanamke wa ukweli.Nipo katka maandalizi ya kuhamia mahali pengine, siwezi kuwa comfortable kuendelea kuishi hapa.
Huo ndio ukweli mkuu. Angekuwa bado ana mpango naye angempa nafasi kwenye privacy yani kidume hata chozi angemwagaAaah! Kumbe bi dada alikuwa anatafuta justification tu, aisee kumbe mshikaji alishagu dua hilo ndio maana akaamua kama mbwai iwe mbwai tu.
Yeye si alimtakia mwenyewe mwanaume wa hivyo mkuu? In short mim sio muumini wa kulelewa Mimi siwezi ingia hata kulala kwenye getto la mwanamke kabisa kamwe.Na huku kupenda kitonga nako kunatuangusha wanaume, kuwa na kidogo lkn kiwe xhako kama mwanaume, unawezaje kuoa mke halafu kila kitu chake, nyumba yake, faniture yake, elimu yeye, usioe mke kutaka sifa, oa wa level yako maisha kuyafurahia, ona sasa kutimuliwa kote huko??
Ndi ndi ndi!!!
Mungu hasamei bila kuombwa msamaha tena inategemea na kosa..makosa mengine hugharim toba ya machozi kama unabisha muulize mtume petro alipomkana Yesu Mara tatu toba yake ilikuaje..kingine muulize Yuda yule eskarioti alipo msaliti Yesu hakupewa msamaha mpaka akaamua kujinyonga kukimbia dhambi yake. Anachofanya Mungu ni kukusanya hasira kwaajili ya hukumu ya siku ya mwisho. Kama huamini endelea kutenda dhambi na usizitubie ukijidanganya utasamehewa...kuna jambo moja kubwa sana ambalo watu wengi sio rahisi kukushauri. kwanza kabisa nakupa pole, pili nakupongeza kwamba bado unampenda mume wako maana umesema ulimkanya mdogo wako asiendelee baada ya kumsamehe.
jambo unalotakiwa kulifikiria muda wote ni kwamba,HAUTAKIWI KULISHIKILIA HILI JAMBO MOYONI, achilia, release it ili uwe huru. kwa kawaida, sisi wanadamu vile tunavyoumia tunavyoumia tunavyotendwa, ndivyo Mungu anavyoumia sisi tunavyomkosea. mimi na wewe tumeshamkosea Mungu katika nyakati nyingi sana, mara nyingi sana hata hazihesabiki na kama Mungu angelihesabu maovi yetu nani angelisimama? kama Mungu angehesabu na kutoa adhabu kila kosa ulilowahi kulifanya hapa duniani, wewe na mimi tungeshateketezwa muda mrefu sana ndio maana MUNGU AMEKUWA AKITUSAMEHE.
hii ndio sababu Mungu amesema katika neno lake, ukiwa katika kuomba, samehe kwanza watu makosa yao, ndipo na Mungu wa Mbinguni atawasamehe dhambi zenu. usiposamehe na Mungu hatakusamehe hivyo utaishi na dhami maisha yako yote na ukifa unaenda motoni kwasababu haukusamehe ili uqualify kusamehewa na Mungu wa mbinguni. hii ndio sababu ninayokushauri UMSAMEHE MUME WAKO unconditionally, bila masharti. pia, usifikiri kwamba unao uwezo kupambana naye, hapo haupambani na yeye, unapambana na shetani, shetani amekaa pembeni amewashika vichwa anawagonganisha wewe na Mume wako na alimtumia huyo msichana kama mlago wa kuingilia ili aivuruge ndoa yenu kabisa kabisa na baada ya kuivuruga ndoa, awagombanishe muingie kwenye vita muchinjane, mteketezane, muaibishane ninyi kwa ninyi....
na mbinu ambazo mume wako atazitumia kupambana na wewe atapewa na shetani mwenyewe, shetani atakuwa anampa hizo silaha na mbinu, wewe pia mawazo yako yote na mbinu utakazokuwa unaziwaza kumkomesha mume wako, itakuwa ni ushauri toka kwa shetani, sio toka kwa Mungu.
mwisho wa siku, utajikuta mmesambaratishana kupindukia, mmeaibishana ,kupundukia, umeumia moyo katika hizo vita zaidi ya hapo ulipoumia sasa, hivyo itakuwa hasara zaidi kuliko ungeachilia, ukamwomba Mungu akupe solution. kwa kawaida, ndoa yako hiyo bado ni nzima, mume wako anakupenda bado ndio maana anasema anaingia vitani na wewe kwasababu hataki kukuacha. vilevile, kuna siku huyohuyo mume wako unayemwona amebadilika, ni shetani tu, atakuja kufunguliwa na Mungu hadi hautaamini, yeye mwenyewe atasikitika kwanini alifanya hayo. sisi sote tulikuwa kama huyo mume wako, Mungu alipotubadilisha, tulirudi kwenye ndoa zetu, tumewapigia magoti wake zetu hata kama zamani tulijifanya jeuri lakini akili ilipokuja kurudi hakika tumejuta sana na ndoa zetu zimepona bila hata kuaibishana mtaani. vita mtakavyopigana naye mumeo hakutakuja kuwa na mshindi, na hakuna kati yenu atakayefaidika na hiyo vita/ugomvi.
nakushauri kwa moyo wangu wote, usishindane na mwanadamu, usipigane vita vya kimwili, pigana vita vya kiroho kwa kupeleka maombi yako mbele za Mungu ili Mungu mwenyewe aamue hiyo kesi na wakati wa kufanya ayo, jua wewe ni mwanadam mwenye madhaifu unayetakiwa kusamehe ili na wewe usamehewe, usiposamehe na Mungu hatakusamehe. Mungu akubariki.