Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

we have very long way to live maisha ya ndoa kuna mapungufu mengi saana ktk ndoa zetu na kikubwa ambacho mimi ninacho kiona ni ubinafsi ndo umetawala,naturally binadamu wote ni wabinafsi lkn nadhani ukiridhia maisha ya ndoa maana yake ni maisha ya wawili so ukubari kushirikiana kwa kila jambo
nawaasa dada zangu ukikubali kuolewa embu tumbukiza miguu yako yote miwili ktk ndoa yako kwani dada zetu wengi wa sasa wanaishi maisha ya ndoa lkn wanafanya mambo mengi nje ya ndoa haswa mambo ya maendeleo
jitahidini kuwa na maneno mazuri kwa waume zenu ,hivyo vichangu ambavyo wanaume tunavifuata havina lolote Zaidi ya kauli nzuri ya kubembeleza na ku care
fanya ndoa yako kama ya leoleo
na nyie kina baba wanawake ni wale wale hakuna jipya cha msingi mlee mkeo kama mwanamke,kuwa responsible man katika familia yako,jari mke ,lete zawadi. zoea kurudi na mfuko wenye kitu chchote nyumbani ,beba hata nyanya tu.,
 
Pole dada Kama ni kweli Haya maelezo, Mimi sio DR, ila Kama Haya ni kweli huyo Jamaa akapimwe akili, lakini angalia sana chanzo cha yeye kua Na mwanamke mwingine, huenda una matatizo ya kitabia, Na hili wanawake wengi wanalo, Na hata ukiolewa tena utakimbiwa, Na wanandoa pekee ndio wenye uwezo wa kurekebisha ndoa Yao, bado una nafasi, kaeni wawili lakini sio mafichoni, muulize sababu ya yeye kufanya hivyo, umemfanyia kosa gani, Na wewe mweleze makosa aliyokufanyia, msameheane, Kwani watoto ndio wanaumia, lakini Kwa utaratibu Na muundo wa jamii yetu ya TZ, kuna madhara makubwa sana, mkiachana Na kuanza kujenga familia mpia, ambayo nayo huna uhakika nayo.
 
''kapangisha nyumba ambayo tumejenga wote bila ridhaa yangu pia aliondoka na gari yangu''.........
Nahisi uongo hapa.... Haiwezekani yote haya yatokee.....Wanawake wengi wanatabia ya kusema uongo hasa linapokuja swala la talaka na kuachana na waume zao.

Mkuu wanawake wanafiki sana kwenye sehemu y kusema ukweli
 
Pamoja na ushauri wote muhimu wana jf nakushauri kipindi hiki usali sana ikibidi uwashirikishe wengine mfunge na kusali
 
Mkuu wanawake wanafiki sana kwenye sehemu y kusema ukweli[/QUOTE
Niongee uongo ili iweje haya mambo yanatokea katika hii jamii yetu kila siku.Na ninavyoandika hapa yeye yuko kwa kimada wake na kimada kaweka profile picture wakiwa pamoja whatsup.
 
Pole dada Kama ni kweli Haya maelezo, Mimi sio DR, ila Kama Haya ni kweli huyo Jamaa akapimwe akili, lakini angalia sana chanzo cha yeye kua Na mwanamke mwingine, huenda una matatizo ya kitabia, Na hili wanawake wengi wanalo, Na hata ukiolewa tena utakimbiwa, Na wanandoa pekee ndio wenye uwezo wa kurekebisha ndoa Yao, bado una nafasi, kaeni wawili lakini sio mafichoni, muulize sababu ya yeye kufanya hivyo, umemfanyia kosa gani, Na wewe mweleze makosa aliyokufanyia, msameheane, Kwani watoto ndio wanaumia, lakini Kwa utaratibu Na muundo wa jamii yetu ya TZ, kuna madhara makubwa sana, mkiachana Na kuanza kujenga familia mpia, ambayo nayo huna uhakika nayo.
Kumbuka kwamba amekuwa na wanawake tofauti tofauti wawili ndio nawafahamu kwa sura wengine siwajui na alishawaleta hapo nyumbani mmoja alikuja mimi nikiweka.Wazazi wake wenyewe wameshamshindwa na wakanishauri nikadai haki yangu kisheria. Kwangu vile tu siwezi kireveal identify za watu ningeattach messege kutoka kwa baba mkwe hapa. So nimejitahidi sana kuokoa hii ndoa na Mungu ni shahidi yangu. Naona ni mpango wa Mungu yote haya yanatokea. Kama alibyoniambiaalinioa kwa sababu labda malengo yake yametimia so hana haja na mimi
 
Wonderful & strong woman Mungu akutangulie upate haki yako huyo akishachunwa akaachwa ndo akili itamkaa sawa mxiuuuuuuu
 
Nacherewa

Yaani nilikuwa sijajua chanzo do pole sana ndugu hayo ndiyo maisha ila mshukuru mungu kwakuweza kukuonesha ukweli kwani wazungu husema unapokataliwa usilie bali kuwa na furaha kwani mwenyezi mungu amekupa nafasi nyingine yakuchagua mwingine mzur zaid.or the hard way is the only way.
 
Last edited by a moderator:
Njoo uone vtuko vya ndoa za kibongo Jimena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom