Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,322
Duuuhh kazi kweli kweli. Napenda kulaa tabia mbaya na chafu aliyokuonyesha mumeo. Inatia simanzi kama sio kuvunja moyo.
Nakupa hongera kwa hatua uliochukua kwa kuhakikisha unaitafuta haki yako.
Napenda kutoa lawama zangu kwa familia (baba & mama) kwa kashindwa kutoa malezi bora kwa mumeo. Na si mumeo tu bali inasikitisha kuona watu wanakuwa kero au karaha kwa jamii badala ya kuwa furaha. Wazazi watambue/tutambue wajibu wetu wa "kuumba" watu wanyenyekevu wa moyo na wenye kuwa faraja na karaha ktk jamii.
Siku zote nimekuwa nikiwashangaa wabunge wa viti maalum kwa kushindwa kutetea utungaji wa sheria yenye tija kwa wanandoa wenye kuonewa na kunyanyaswa. Sheria iliyopo imejaa urasimu na haitoi haki ktk Muda muafaka.
NB: