Mrejesho: Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

new gal

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,474
2,716
Habari wadau, naandika huku nacheka jamani ah, okay niende straight kwenye mada tajwa ila kabla sijasema deep naomba niwashukuru wote mlionishauri haswa wale mlioniPM na wengine mmeenda mbali zaidi kuwasiliana na mimi kwenye simu.Mmenisaidia sana!

Basi baada ya ushauri niliamua kufanya alichoshauri mtu mmoja, aliniambia nijifanye sina hela kabisa kipindi hiki niwe nalia shida tu kila siku. Bas bwana nikaapply. bi mkubwa akanipigia simu nkamwambia sina hela kwa ss, ikatokea akaomba mara ya pili jibu lile lile, akaomba mara ya 3. Sasa akamuomba mwanae akamwambia hana mama mtu akamwambia aniambie mm, jamaa akamwambia mm sina mama ake akamwambia kwann anakua na watu wasio na faida, nkamuulza jamaa kwaio mi sina faida akawa anatetea tetea yakapita.

Nikaanza lalamika kuwa hamna chakula ndani, mana siku zote mm ndo huwa nanunua na nampkia ingawa sio kila sku. kuna wiki tulikula nje kama 3 times, alitumia 50k akaanza lalamika kuwa anatumia hela nyingi kula na mm. Basi vituko vilianza alinipa hela ya mafuta 50k, akawa hatak niende kokote, nikamwambia nimejazia mafuta mbona haelew anataka nikae ndani tu nisiende hata kwa rafiki. zile kuitwa bby zikaisha natumiwa msg kavu😂😂. Akaanza kukataa kuja kwangu kulala anadai anatakiwa kuwa kwao.

Mbaya zaidi nikawa nikiomba dushe nanyimwa yan ananipanga kabisa halaf haji. mtt najiandaa we nakuta holla. Basi kuna sku nikamsihi alale kwangu usiku kucha amsha na ww nipewe dushe ndo kwanza anageuka upande wa pili. Nikajiuliza hiki nn asubuh nikamwambia naona tumechokana tayari kila mtu achukue 50 zake, akaondoka zake!

Sasa hv nasikia tu anatembeza maneno kuwa mm napenda starehe sijui nilikua sipiki (As if ananunua), Mungu anajua nilikua had nampelekea msos kazini(nasikia hasira nkikumbuka). Kwaio nashukuru sana aliyenishauri nifake maisha, kweli kosa hela ujue kama mtu anakupenda kweli au yupo kimaslahi.

Am officially single na sina muda wa kudate tena. maana nkidate ss sitakuwa na imani na mtu, sitapika narudia SITAPIKA maana inauma kujituma halaf unaambiwa ulkua unakunja nne unapikiwa!

Mimi kupenda tena mwanaume niliyemzidi kipato nipigwe narudia nipigwe NAWASILISHA!


Pia soma>>>Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?
 
Pole na hongera, ila kuna wanaume wamezidiwa vipato na wanawake lakini they still play big, Muombe Mungu akupe mwanaume mwenye mapenzi ta dhati bila kujali hali ya kipato au material things, unaweza kumpata aliyekuzidi kipato nae akawa worse zaidi
 
kumbe kweli kuna dume zinalelewa na wanawake na bado zinarusha tako 1??!!!!
linalishwa bure kikojolewo bure bado linadengua khaaaaa..
pole sana bebii nishikie uchumba mi nakuja kukuoa walaiii
 
Pole na hongera, ila kuna wanaume wamezidiwa vipato na wanawake lakini they still play big, Muombe Mungu akupe mwanaume mwenye mapenzi ta dhati bila kujali hali ya kipato au material things, unaweza kumpata aliyekuzidi kipato nae akawa worse zaidi
yani hapo ndo nikiwazaga kichwa kinawaka, ngoja nikae benchi tu
 
kumbe kweli kuna dume zinalelewa na wanawake na bado zinarusha tako 1??!!!!
linalishwa bure kikojolewo bure bado linadengua khaaaaa..
pole sana bebii nishikie uchumba mi nakuja kukuoa walaiii
nmechekaaa 😂 😂 😂
 
Ewaaaa.
Asante sana kwa kufata ushauri wangu na sasa niko tayari kukupokea nikupe mahaba ya dhati, pia mashine nakupiga january hadi december.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom