nikimuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Best Daddy

    Kaniahidi na kujiapiza kuwa nikimuacha anajiua

    Good morning, Members! Naheshimu sana wakati wenu na bila kuwachosha niwatakie kila lenye kheri katika utafutaji wenu. Story inaanza hivi, miaka minne iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja ambaye tulitokea kupendana sana, bila kuongezea kuwa alionesha kunipenda sana tena sana basi hii story...
  2. N

    Mrejesho: Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Habari wadau, naandika huku nacheka jamani ah, okay niende straight kwenye mada tajwa ila kabla sijasema deep naomba niwashukuru wote mlionishauri haswa wale mlioniPM na wengine mmeenda mbali zaidi kuwasiliana na mimi kwenye simu.Mmenisaidia sana! Basi baada ya ushauri niliamua kufanya...
  3. N

    Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah. Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka...
Back
Top Bottom