Mrejesho: Hongera Baba Nasma kwa kuchomoa betri. Waache sasa wateseke na moto

Sababu itakayopelekea hiyo ndoa kuvunjika ni very genuine. Yaani nyinyi mnafurahia jamaa aendelee kuchapiwa tu?? Mmeniskitisha sana!

Halafu baadhi yao humu nlidhani ni watu na busara zao kumbe mavi ya kuku.

Chepuka at your own risk, ukikamatwa kubali kubeba lawama na stahiki zote za uchepukaji wako.

Watu wanachepuka, ndio wala sibishi but ukikamatwa kubali kubeba all consequences.

Umechukizwa na jamaa kumshtua baba nasma sio??
Hakukuwa na namna nyengine ya kuzuia hiyo michepuko hadi a address kwa namna hiyo...?, kuanzia mwanzo wa scenario hadi mwisho na kuja jukwaani kama shujaaa aliyefanikisha ndoa ya watu kuvunjika. Inawezekana munachukia michepuko ila ilikuwepo njia bora zaidi ya kuzuia uchepukaji na ukanusuru ndoa ya watu.
Jambo la msingi ni hekima na busara ingetumika zaidi katika ku handle situation kama hiyo na sio ushabiki kama alivyolibeba mtoa mada.
I stand to be corrected.
 
Hakukuwa na namna nyengine ya kuzuia hiyo michepuko hadi a address kwa namna hiyo...?, kuanzia mwanzo wa scenario hadi mwisho na kuja jukwaani kama shujaaa aliyefanikisha ndoa ya watu kuvunjika. Inawezekana munachukia michepuko ila ilikuwepo njia bora zaidi ya kuzuia uchepukaji na ukanusuru ndoa ya watu.
Jambo la msingi ni hekima na busara ingetumika zaidi katika ku handle situation kama hiyo na sio ushabiki kama alivyolibeba mtoa mada.
I stand to be corrected.
Keep standing!

You know the truth brother, uzuri wa ukweli ni kwamba, hubaki ndani yako hata kama nje yako utakuwa unaji-present tofauti.

One love man! No hard feelings
 
Naskitishwa sana kuona watu ninaowaamini na kuwaheshimu humu jukwaani waki-like comment za KIJINGA zinazomshambulia mtoa mada.

Yaani watu walitaka mtoa mada anyamaze kimya tu juu ya usaliti na unyama anaofanyiwa mtu mwengine?? Mna tofauti gani na wale waliokwenda kwenye ajali ya lori wakaanza kuchota mafuta na kuacha kumuokoa dereva na abiria?? Shame on you!

Mtume (s.a.w) ametuelekeza kwamba "utakapouona uovu wowote basi uondoshe kwa mkono wako, kama ukishindwa basi uondoshe kwa mdomo wako (uukemee) na ukishindwa basi uchukie ndani ya nafsi yako, na huko kuchukia ni udhaifu wa imani"

Mtoa mada ameuona uovu na kuamua kuuondoa, ajabu iliyoje GREAT THINKERS wanamshambulia. Halafu cha kuskitisha, wale ninaowaona ma-genius humu wamekaa wana-support hali hii??

I need to learn more and more really.
Brother ingekuwa kila wakati watu wanampelekea mkeo habari za changamoto zako au wewe unaletewa Yale aliyofanya nje sidhani kama ndoa zingedumu.
Yawezekana mkewe alimkosea lakini SI busara Sana kuanza kupeleka maneno maneno .
 
Upande mmoja umefanya haki upande wapili kosa nanidhambi ww ni sawa na doctor ulitakiwa ufiche siri za wateja wako
 
Hata kama
Dogo, your time will come and you will be in a marriage as well.
Mimi sitataka kumsikiliza atakayeanza kuniletea maneno maneno ya mume wangu.
Huo muda wa kuleta hayo maneno Ni Bora Angekaa asolve matatizo yake..na wengi wanaoleta hayo maneno lengo lao Ni kuona mnagombana..hata km Ni ya kweli ila huo Ni unafiki tu.
 
Hata kamaMimi sitataka kumsikiliza atakayeanza kuniletea maneno maneno ya mume wangu.
Huo muda wa kuleta hayo maneno Ni Bora Angekaa asolve matatizo yake..na wengi wansoleta hayo maneno lengo lao Ni kuona mnagombana..hata km Ni ya kweli ila huo Ni unafiki tu.
Ndio ndio wapeleka Umbea siku zote nia yao kubomoa sio kujenga.... Vijitu vyenye roho mbayaaa
 
RASHKA LODGE IPO WAPI?

MJI GANI,
JIJI GANI,
MTAA GANI,
MANISPAA GANI,
KIJIJI GANI,
KATA GANI,M
TARAFA GANI,
HALMASHAURI GANI,
NCHI GANI,
JIMBO GANI
N.K!!00LLLLLL

VINGINEVYO TUTAKUWA LL AU KULAUMU KWA STORY YA KUTUNGA.

HUENDA MLETA MADA ANA-TEST KITABU CHAKE KITAKACHOTOKA HIVI KARIBUNI KINACHOITWA "ZWAZWA NDIO HUSHADIDIA UDAKU"
Kwanza kabla ya kusema lolote ningependa kujipa hongera Mimi mwenyewe kwa kumuokoa mwanaume mwenzangu (baba Nasma) kutoka katika ndoa yake ambayo kwa asilimia kubwa alikuwa anasalitiwa na mke wake na yule fundi sofa, Deus au 'kijicho'.

Pili ningependa sana kuishukuru jamii forum kwa kutuunganisha pamoja kiasi kwamba nimeweza kutumia jukwaa hili kumpasha habari Baba Nasma ambaye ni memba wa jamii forum ambaye ID yake inaanza na 'M' juu ya usaliti wa mke wake na ujumbe umemfikia.

KILICHOTOKEA BAADA YA MIMI KUPOST HABARI HILE:
Baba Nasma alichelewa kidogo kuisoma habari ile humu jukwaani na mtu wa kwanza kuisoma habari yangu alikuwa bwana Salum Mwankenja ambaye ni baba mdogo wa Baba Nasma ambaye humu jukwaani anatumia ID inayoanza na herufi 'T'.

Bwana Salum alinifuata PM na kujitambulisha kwangu na akawa anataka nimuelekeze Rashka Lodge ilipo na akataka nimuhakikishie kama post yangu inaukweli. Na akawa ananishawishi nijitambulishe kwake kuwa mimi ni nani na ninaishi wapi. Mimi nilimjibu bwana Salumu kuwa amtafute Shadya (kuwadi wa mama Nasma) anajua Rashka lodge ilipo na pia anamjua kijicho.

Ila nilichomsaidia bwana Salum kule PM ni kumpa majina ambayo mama Nasma na bwana kijicho waliyoyaandike kwenye daftari la wageni pale Rashka Lodge, ambapo:-
Deus 'kijicho' aliandika kama RICHARD TOBERT na alikuwa jina namba 9 kwenye daftari.
Wakati mama Nasma aliandika kama HAPPYNESS JOHN na lilikuwa jina namba 14 kwenye daftari la pale Lodge. Wote waliandika majina ya uongo.

Ilipofika mida ya saa kumi na moja asubuhi, muhudumu wa Rashka Lodge, Dada Tamali maalufu kama 'mnyamwezi' alinipigia simu na kunitaarifu kuwa Baba Nasma alienda pale akiongozana na watu sita ambapo wanawake wakiwa watatu kwa lengo la kufumania.

Ila cha ajabu walipofika pale Rashka Lodge chumba kinachoitwa 'Tabora' walimkuta mama Nasma peke yake bila ya kuwepo bwana kijicho. Hata sijui jamaa alistukiaje au sijui nani alimtonya na Hata sijui ilikuwaje jamaa akasepa. Yule anamungu sana.

Mama Nasma alipoteza muelekeo bakisa na kuonesha kwamba hakutegea kumuona mume wake na watu wale pale Lodge. baada ya marumbano ya muda mrefu, kuna mzee mmoja anayeitwa Babu Shabani alishauri waondoke pale wakaongelee nyumbani.

Mpaka naandika Uzi huu mama Nasma kapigwa chini na sasa anaishi kijitonyama kwa Dada yake anayeitwa mama Nuru mkaanga samaki. Na bwana kijicho hajaonakana pale kazini kwake mpaka muda huu na hajulikani halipo.
 
Samahani perimeter unaweza kunsaidia link ya uzi flani hivi ulikuwa mrefu unahusu maisha ya jela na wewe uli koment kwenye ule uzi kama utojali nime nimeutafuta sana nimeukosa
Mkuu mbona umeandika kistaarabu sana. Iko na adabu sana veve.
 
Back
Top Bottom