Mrejesho: Hongera Baba Nasma kwa kuchomoa betri. Waache sasa wateseke na moto

MAGALLAH R

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
992
1,000
Kwanza kabla ya kusema lolote ningependa kujipa hongera Mimi mwenyewe kwa kumuokoa mwanaume mwenzangu (baba Nasma) kutoka katika ndoa yake ambayo kwa asilimia kubwa alikuwa anasalitiwa na mke wake na yule fundi sofa, Deus au 'kijicho'.

Pili ningependa sana kuishukuru jamii forum kwa kutuunganisha pamoja kiasi kwamba nimeweza kutumia jukwaa hili kumpasha habari Baba Nasma ambaye ni memba wa jamii forum ambaye ID yake inaanza na 'M' juu ya usaliti wa mke wake na ujumbe umemfikia.

KILICHOTOKEA BAADA YA MIMI KUPOST HABARI HILE:
Baba Nasma alichelewa kidogo kuisoma habari ile humu jukwaani na mtu wa kwanza kuisoma habari yangu alikuwa bwana Salum Mwankenja ambaye ni baba mdogo wa Baba Nasma ambaye humu jukwaani anatumia ID inayoanza na herufi 'T'.

Bwana Salum alinifuata PM na kujitambulisha kwangu na akawa anataka nimuelekeze Rashka Lodge ilipo na akataka nimuhakikishie kama post yangu inaukweli. Na akawa ananishawishi nijitambulishe kwake kuwa mimi ni nani na ninaishi wapi. Mimi nilimjibu bwana Salumu kuwa amtafute Shadya (kuwadi wa mama Nasma) anajua Rashka lodge ilipo na pia anamjua kijicho.

Ila nilichomsaidia bwana Salum kule PM ni kumpa majina ambayo mama Nasma na bwana kijicho waliyoyaandike kwenye daftari la wageni pale Rashka Lodge, ambapo:-
Deus 'kijicho' aliandika kama RICHARD TOBERT na alikuwa jina namba 9 kwenye daftari.
Wakati mama Nasma aliandika kama HAPPYNESS JOHN na lilikuwa jina namba 14 kwenye daftari la pale Lodge. Wote waliandika majina ya uongo.

Ilipofika mida ya saa kumi na moja asubuhi, muhudumu wa Rashka Lodge, Dada Tamali maalufu kama 'mnyamwezi' alinipigia simu na kunitaarifu kuwa Baba Nasma alienda pale akiongozana na watu sita ambapo wanawake wakiwa watatu kwa lengo la kufumania.

Ila cha ajabu walipofika pale Rashka Lodge chumba kinachoitwa 'Tabora' walimkuta mama Nasma peke yake bila ya kuwepo bwana kijicho. Hata sijui jamaa alistukiaje au sijui nani alimtonya na Hata sijui ilikuwaje jamaa akasepa. Yule anamungu sana.

Mama Nasma alipoteza muelekeo bakisa na kuonesha kwamba hakutegea kumuona mume wake na watu wale pale Lodge. baada ya marumbano ya muda mrefu, kuna mzee mmoja anayeitwa Babu Shabani alishauri waondoke pale wakaongelee nyumbani.

Mpaka naandika Uzi huu mama Nasma kapigwa chini na sasa anaishi kijitonyama kwa Dada yake anayeitwa mama Nuru mkaanga samaki. Na bwana kijicho hajaonakana pale kazini kwake mpaka muda huu na hajulikani halipo.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,603
2,000
Kwanza kabla ya kusema lolote ningependa kujipa hongera Mimi mwenyewe kwa kumuokoa mwanaume mwenzangu (baba Nasma) kutoka katika ndoa yake ambayo kwa asilimia kubwa alikuwa anasalitiwa na mke wake na yule fundi sofa, Deus au 'kijicho'.

Pili ningependa sana kuishukuru jamii forum kwa kutuunganisha pamoja kiasi kwamba nimeweza kutumia jukwaa hili kumpasha habari Baba Nasma ambaye ni memba wa jamii forum ambaye ID yake inaanza na 'M' juu ya usaliti wa mke wake na ujumbe umemfikia.

KILICHOTOKEA BAADA YA MIMI KUPOST HABARI HILE:
Baba Nasma alichelewa kidogo kuisoma habari ile humu jukwaani na mtu wa kwanza kuisoma habari yangu alikuwa bwana Salum Mwankenja ambaye ni baba mdogo wa Baba Nasma ambaye humu jukwaani anatumia ID inayoanza na herufi 'T'.

Bwana Salum alinifuata PM na kujitambulisha kwangu na akawa anataka nimuelekeze Rashka Lodge ilipo na akataka nimuhakikishie kama post yangu inaukweli. Na akawa ananishawishi nijitambulishe kwake kuwa mimi ni nani na ninaishi wapi. Mimi nilimjibu bwana Salumu kuwa amtafute Shadya (kuwadi wa mama Nasma) anajua Rashka lodge ilipo na pia anamjua kijicho.

Ila nilichomsaidia bwana Salum kule PM ni kumpa majina ambayo mama Nasma na bwana kijicho waliyoyaandike kwenye daftari la wageni pale Rashka Lodge, ambapo:-
Deus 'kijicho' aliandika kama RICHARD TOBERT na alikuwa jina namba 9 kwenye daftari.
Wakati mama Nasma aliandika kama HAPPYNESS JOHN na lilikuwa jina namba 14 kwenye daftari la pale Lodge. Wote waliandika majina ya uongo.

Ilipofika mida ya saa kumi na moja asubuhi, muhudumu wa Rashka Lodge, Dada Tamali maalufu kama 'mnyamwezi' alinipigia simu na kunitaarifu kuwa Baba Nasma alienda pale akiongozana na watu sita ambapo wanawake wakiwa watatu kwa lengo la kufumania.

Ila cha ajabu walipofika pale Rashka Lodge chumba kinachoitwa 'Tabora' walimkuta mama Nasma peke yake bila ya kuwepo bwana kijicho. Hata sijui jamaa alistukiaje au sijui nani alimtonya na Hata sijui ilikuwaje jamaa akasepa. pumbavu yule anamungu sana.

PUMBAVU SANA.
Ni kama umemchoma mtonyaji wako!
 
linguistics

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,530

Una roho mbaya sana wewe.

Kwani huyo baba nasma ni muaminifu sana?? Ungeacha akajua mwenyewe kwa njia zake...
 
macson3

JF-Expert Member
Nov 10, 2017
1,077

Ma.l.a.ya wenzie watakushambulia sana Mkuu,ila umefanya kitu sahihi sana. Hongera kwako,huyo fundi angekutwa KY ilikua inamuhusu sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom