Mrejesho: Hongera Baba Nasma kwa kuchomoa betri. Waache sasa wateseke na moto

Kwahiyo unasapoti ndoa yao kuvunjika
Sababu itakayopelekea hiyo ndoa kuvunjika ni very genuine. Yaani nyinyi mnafurahia jamaa aendelee kuchapiwa tu?? Mmeniskitisha sana!

Halafu baadhi yao humu nlidhani ni watu na busara zao kumbe mavi ya kuku.

Chepuka at your own risk, ukikamatwa kubali kubeba lawama na stahiki zote za uchepukaji wako.

Watu wanachepuka, ndio wala sibishi but ukikamatwa kubali kubeba all consequences.

Umechukizwa na jamaa kumshtua baba nasma sio??
 
madhara ya kuvunjika ndoa:
1.baba nasma ataanza kupiga punyeto sana baada ya muda atanza kuonja onja mpaka apate kitu konki ataoa tena maisha yataendelea end of story.

2.mama nasma atakua desperate,mabaharia watapita sana humo mpaka aje kupata mume na kutulia tayar bwawa{joking].

anyway Mkuu ulitakiwa uwape ushauri wasivunje ndoa yao maana udhinifu hauna mwisho hapo hujazuia kitu
 
Wewe huwa unachepuka au hauchepuki?
Mtu akienda kumwambia mke wako na mke wako akaondoka akarudi kwao utaenda kumpomgeza aliyetoa taarifa zako za uchepukaji?
Kama ni vizuri, je marafiki wako wa kiume wakichepuka huwa unafuata wake zao kuwaambia "shemeji mume wako anachepuka"?
Nachepuka, on my own risk.

Mtu akienda kumwambia mke wangu kwamba nimechepuka, sitokaa nkamlaumu huyo mtu kamwe, na wala sitolalamika kama mke wangu ataamua kuchkua uamuzi wa kunimwagilia mbali.

Naanzaje kumlaumu huyo mtu?? Ni wema ameufanya duniani na atalipwa kwa wema wake, mimi nikichepuka dakika hiyo hiyo naanza kuilaumu nafsi yangu, unadhani ntapata wapi ujasiri wa kumlaumu atakaepeleka taarifa kwa mamachanja?? Sembuse KUMTUKANA kama mlivyofanya nyinyi kwa mtoa mada hapa. Huu ndio ukweli kama unautaka.

Marafiki zangu wa kiume wakichepuka??? I think you already have an answer. By the way, ninachokipinga hapa ni nyinyi nyote kumtukana mtoa mada kwa kumuona amefanya mambo haya.

Sio eti kwa kuwa mimi nachepuka ndio iwe justification ya kwamba kuchepuka kunafaa.
 
Poa... nenda ukaolewe wewe sasa baada ya mama nasma kupigwa chini.
Yaani unasimulia story kama vile huyo mama nasma alikuibia mume
Kuchepuka mnataka na ndoa mnataka vile vile. Huwezi kuwatumikia mabwana wawili
Jamaa nampongeza sana maana ndoa iheshimiwe na watu wote. ULITAKIWA UMPONGEZE BWANA SOFA KWA KUACHIWA MKE MAANA WATAKUWA HURU SANA KUFANYA YAO
 
Kwanza kabla ya kusema lolote ningependa kujipa hongera Mimi mwenyewe kwa kumuokoa mwanaume mwenzangu (baba Nasma) kutoka katika ndoa yake ambayo kwa asilimia kubwa alikuwa anasalitiwa na mke wake na yule fundi sofa, Deus au 'kijicho'.

Pili ningependa sana kuishukuru jamii forum kwa kutuunganisha pamoja kiasi kwamba nimeweza kutumia jukwaa hili kumpasha habari Baba Nasma ambaye ni memba wa jamii forum ambaye ID yake inaanza na 'M' juu ya usaliti wa mke wake na ujumbe umemfikia.

KILICHOTOKEA BAADA YA MIMI KUPOST HABARI HILE:
Baba Nasma alichelewa kidogo kuisoma habari ile humu jukwaani na mtu wa kwanza kuisoma habari yangu alikuwa bwana Salum Mwankenja ambaye ni baba mdogo wa Baba Nasma ambaye humu jukwaani anatumia ID inayoanza na herufi 'T'.

Bwana Salum alinifuata PM na kujitambulisha kwangu na akawa anataka nimuelekeze Rashka Lodge ilipo na akataka nimuhakikishie kama post yangu inaukweli. Na akawa ananishawishi nijitambulishe kwake kuwa mimi ni nani na ninaishi wapi. Mimi nilimjibu bwana Salumu kuwa amtafute Shadya (kuwadi wa mama Nasma) anajua Rashka lodge ilipo na pia anamjua kijicho.

Ila nilichomsaidia bwana Salum kule PM ni kumpa majina ambayo mama Nasma na bwana kijicho waliyoyaandike kwenye daftari la wageni pale Rashka Lodge, ambapo:-
Deus 'kijicho' aliandika kama RICHARD TOBERT na alikuwa jina namba 9 kwenye daftari.
Wakati mama Nasma aliandika kama HAPPYNESS JOHN na lilikuwa jina namba 14 kwenye daftari la pale Lodge. Wote waliandika majina ya uongo.

Ilipofika mida ya saa kumi na moja asubuhi, muhudumu wa Rashka Lodge, Dada Tamali maalufu kama 'mnyamwezi' alinipigia simu na kunitaarifu kuwa Baba Nasma alienda pale akiongozana na watu sita ambapo wanawake wakiwa watatu kwa lengo la kufumania.

Ila cha ajabu walipofika pale Rashka Lodge chumba kinachoitwa 'Tabora' walimkuta mama Nasma peke yake bila ya kuwepo bwana kijicho. Hata sijui jamaa alistukiaje au sijui nani alimtonya na Hata sijui ilikuwaje jamaa akasepa. Yule anamungu sana.

Mama Nasma alipoteza muelekeo bakisa na kuonesha kwamba hakutegea kumuona mume wake na watu wale pale Lodge. baada ya marumbano ya muda mrefu, kuna mzee mmoja anayeitwa Babu Shabani alishauri waondoke pale wakaongelee nyumbani.

Mpaka naandika Uzi huu mama Nasma kapigwa chini na sasa anaishi kijitonyama kwa Dada yake anayeitwa mama Nuru mkaanga samaki. Na bwana kijicho hajaonakana pale kazini kwake mpaka muda huu na hajulikani halipo.
kumbe kuna udukuzi unawezekana kabisa.... Mimi nikupe tu pongezi kwa huu mrejesho
 
Rashka Lodge wahudumu mliokosa uwadilifu...what if mtu angeuliwa hapo kwenye lodge yenu? Hakunaga fumanizi salama hata siku moja.
Kwa usalama, hiyo lodge sio nzuri kwenda, wanadukua maelezo ya wateja wao kama Huawei inavyodukua mawasiliano ya wapinzani wa Mu 7 uko uganda.
 
Mkuu umefanya jambo jema sana japo kuna masaliti ya ndoa zao yatakuja kukushushua hapa.

Congrat

Back
Top Bottom