Mrejesho: Hongera Baba Nasma kwa kuchomoa betri. Waache sasa wateseke na moto

Nachepuka, on my own risk.

Mtu akienda kumwambia mke wangu kwamba nimechepuka, sitokaa nkamlaumu huyo mtu kamwe, na wala sitolalamika kama mke wangu ataamua kuchkua uamuzi wa kunimwagilia mbali.

Naanzaje kumlaumu huyo mtu?? Ni wema ameufanya duniani na atalipwa kwa wema wake, mimi nikichepuka dakika hiyo hiyo naanza kuilaumu nafsi yangu, unadhani ntapata wapi ujasiri wa kumlaumu atakaepeleka taarifa kwa mamachanja?? Sembuse KUMTUKANA kama mlivyofanya nyinyi kwa mtoa mada hapa. Huu ndio ukweli kama unautaka.

Marafiki zangu wa kiume wakichepuka??? I think you already have an answer. By the way, ninachokipinga hapa ni nyinyi nyote kumtukana mtoa mada kwa kumuona amefanya mambo haya.

Sio eti kwa kuwa mimi nachepuka ndio iwe justification ya kwamba kuchepuka kunafaa.
Aiseee!!
 
Kwanza kabla ya kusema lolote ningependa kujipa hongera Mimi mwenyewe kwa kumuokoa mwanaume mwenzangu (baba Nasma) kutoka katika ndoa yake ambayo kwa asilimia kubwa alikuwa anasalitiwa na mke wake na yule fundi sofa, Deus au 'kijicho'.
Pili ningependa sana kuishukuru jamii forum kwa kutuunganisha pamoja kiasi kwamba nimeweza kutumia jukwaa hili kumpasha habari Baba Nasma ambaye ni memba wa jamii forum ambaye ID yake inaanza na 'M' juu ya usaliti wa mke wake na ujumbe umemfikia.
KILICHOTOKEA BAADA YA MIMI KUPOST HABARI HILE:
Baba Nasma alichelewa kidogo kuisoma habari ile humu jukwaani na mtu wa kwanza kuisoma habari yangu alikuwa bwana Salum Mwankenja ambaye ni baba mdogo wa Baba Nasma ambaye humu jukwaani anatumia ID inayoanza na herufi 'T'.
Bwana Salum alinifuata PM na kujitambulisha kwangu na akawa anataka nimuelekeze Rashka Lodge ilipo na akataka nimuhakikishie kama post yangu inaukweli. Na akawa ananishawishi nijitambulishe kwake kuwa mimi ni nani na ninaishi wapi. Mimi nilimjibu bwana Salumu kuwa amtafute Shadya (kuwadi wa mama Nasma) anajua Rashka lodge ilipo na pia anamjua kijicho.
Ila nilichomsaidia bwana Salum kule PM ni kumpa majina ambayo mama Nasma na bwana kijicho waliyoyaandike kwenye daftari la wageni pale Rashka Lodge, ambapo:-
Deus 'kijicho' aliandika kama RICHARD TOBERT na alikuwa jina namba 9 kwenye daftari.
Wakati mama Nasma aliandika kama HAPPYNESS JOHN na lilikuwa jina namba 14 kwenye daftari la pale Lodge. Wote waliandika majina ya uongo.
Ilipofika mida ya saa kumi na moja asubuhi, muhudumu wa Rashka Lodge, Dada Tamali maalufu kama 'mnyamwezi' alinipigia simu na kunitaarifu kuwa Baba Nasma alienda pale akiongozana na watu sita ambapo wanawake wakiwa watatu kwa lengo la kufumania.
Ila cha ajabu walipofika pale Rashka Lodge chumba kinachoitwa 'Tabora' walimkuta mama Nasma peke yake bila ya kuwepo bwana kijicho. Hata sijui jamaa alistukiaje au sijui nani alimtonya na Hata sijui ilikuwaje jamaa akasepa. Yule anamungu sana.
Mama Nasma alipoteza muelekeo bakisa na kuonesha kwamba hakutegea kumuona mume wake na watu wale pale Lodge. baada ya marumbano ya muda mrefu, kuna mzee mmoja anayeitwa Babu Shabani alishauri waondoke pale wakaongelee nyumbani.
Mpaka naandika Uzi huu mama Nasma kapigwa chini na sasa anaishi kijitonyama kwa Dada yake anayeitwa mama Nuru mkaanga samaki. Na bwana kijicho hajaonakana pale kazini kwake mpaka muda huu na hajulikani halipo.
HABARI ZA KIUCHUNGUZI.
 
Ushahidi wa kimazingira nini??? Lodge alikuwa na mishe zake binafsi, labda bibie anafanya kazi ya ukachero hataki mume ajue?? Anachukuwa room Kutoa data zake na kukamilisha mambo mengine ya kazi kisha anarudi home..... Mimi sikubaliani na namna talaka ilivyotolewa.... Na sisi waislamu kesi hiyo ni lazima uwe umewaona wale watu wakijamiiana tena uwe na mashahidi wanne ndipo huyo mwanamke aachwe na kupigwa mawe mpaka afe.... Sasa jamaa kamkuta maza katulia zake kitandani oooh talaka... Ni ujinga huo
Mishe kwa idhini ya nani, ukibakwa huko na nani alikwambia lodge ni maalum kwa mishe zako ukiwa Mke wa Mtu?
 
Nachepuka, on my own risk.

Mtu akienda kumwambia mke wangu kwamba nimechepuka, sitokaa nkamlaumu huyo mtu kamwe, na wala sitolalamika kama mke wangu ataamua kuchkua uamuzi wa kunimwagilia mbali.

Naanzaje kumlaumu huyo mtu?? Ni wema ameufanya duniani na atalipwa kwa wema wake, mimi nikichepuka dakika hiyo hiyo naanza kuilaumu nafsi yangu, unadhani ntapata wapi ujasiri wa kumlaumu atakaepeleka taarifa kwa mamachanja?? Sembuse KUMTUKANA kama mlivyofanya nyinyi kwa mtoa mada hapa. Huu ndio ukweli kama unautaka.

Marafiki zangu wa kiume wakichepuka??? I think you already have an answer. By the way, ninachokipinga hapa ni nyinyi nyote kumtukana mtoa mada kwa kumuona amefanya mambo haya.

Sio eti kwa kuwa mimi nachepuka ndio iwe justification ya kwamba kuchepuka kunafaa.

Nakubali bro umeitendea haki sana kauli hii ya ukikubali wajibu timiza wajibu.

Tatizo hili lipo sana na linazidi kuongezeka watu kupenda kuchagua upande, pasipo kugusa na kusimamia ukweli wa jambo

Mwingine anafanya utetezi sababu ni Mwanamke mwenzie au mwanamme mwenzie likiwa ni kosa au si jambo la kiungwana inabaki hivyo Tu, hakuna sababu ya kulipa uzuri jambo ambalo si la kiungwana
 
ila wakuu....mke anauma sana unakuta mtu anakesha usiku wa manane kuwataftia kula mke na wanawe kwa gharama yeyote....afya,usingizi,njaa n.k halafu hapo ukute baba nasma alienda kuchongesha masofa ili kwake papendeze na wao kama familia wapate pa kupumzika ukumbini....sasa akamleta mama nasma aje aone design ya sofa alilochagua tena kwa mapenzi tu! mama nasma akaanza harakati na fundi sofa aisee inauma sana....
 
Wanawake asee hawaeleweki, yaani humu huwa wanajifanya wanapinga michepuko ila wao ndio wanaongoza kumtukana mtoa mada kuanzia ule uzi wa kwanza.


Ndugu zangu usinuamini Mkeo, narudia tena usimuamini mkeo, mdukue uwezavyo

Wengi humu wanapiga vita michepuko ila ndio wa 1 kumtukana mtoa mada.
 
Yes really.... Katoa talaka kwa kigezo gani??? Kashuhudia mkewe anachomekwa na kuchomolewa na jamaa? Kama sio hilo tukio halina ushahidi kwa nini atoe talaka?? Usijifanye hujui sharti la fumanizi
anafanya nn lodge alfajiri?!..
hapo lodge ndo kwenye 40 ya marehemu aliekufa kwa ajali akiwa na pikipiki?! hapo ndo kwa mama ake mdogo mwenge?!...kwann alale lodge na home kwake ni hapohapo dsm?!...na hajampa taarifa yeyote mumewe?!....na zaidi ukute alikutwa na kanga moja na pembeni cdm zilizotumika kwenye dustbin aisee awamu ya kwanza ni kufa kwa presha hapohapo..
 
Back
Top Bottom