xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,320
- 4,697
Sijui kama nakosea lakini hiyo ndio maana na lengo kubwa la JF. Kusema vitu ambavyo mtu huwezi sema openly. Na kuwapa wengine experience. Sasa mods wanapofuta uzi kwa matakwa yao binafsi wanakua wanaharibu maana nzima ya mtandao wao huu (unless kuna term ya JF imekiukwa).
Maxence Melo et al.
Maxence Melo et al.
Huo uzi ulikuwa unaelezea maisha ya jela yalivyo yaani watu walifunguka sana matukio jela ni hatari mambo ya kustaajabisha yaliongelewa humo ndani na uliusu sana magereza ya hapa nchi labda ndio maana ulifungwa