Sasa hv nimeitumia km week kadhaa hivi kiukweli nimeng'aa vizur sana rangi nzuri ya maji kunde Nani asiyetaka kupendeza?
Soma maandishi mekundu. Mwanzo ulikuwa na rangi gani?Tofautisha kati ya kung'aa Na kuwa mweupe pee
Jina tu la hiyo lotion linajieleza kua ni ya kuchubua 'perfect white',Kwahio ulikuwa unahitaji kujichubua ngozi sio kama ulikuwa unataka lotion nzuri.
Ndukiiiii
Wewe ndiye wa kwenye picha?
Caro light huwa hainipendez wala hainipi matokeo hata toneDada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu, pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.
Waooo sabuni zake bei gani?
Kuna dada ameharibikaaaaaaa kisa hayo macream yao, ngoja vije vianze kumchachia atarudi humu kuomba ushauri.Jina tu la hiyo lotion linajieleza kua ni ya kuchubua 'perfect white',
Hapo bado hatujalichambua jina la mtoa mada,
Lol
Ni lugha wanayotumia kufunika kombe ila ndio kujichubua huko.Natamani kuelewa tofauti ya kung'aa na kujichubua..... Kwa uelewa wangu kung'aa ni subset ya kujichubua.
Unatumia lotion unang'aa kwa siku 5..... This is very serious.
Ukisema utaitwa Hater,Kuna dada ameharibikaaaaaaa kisa hayo macream yao, ngoja vije vianze kumchachia atarudi humu kuomba ushauri.
Hiyo ni cream tena ina makemikali hatari, nimemuona alieharibika hivyo kama ni hate basi waendelee tu. Muda utaamua.Ukisema utaitwa Hater,
lol.
Wameaminishwa weupe ndio uzuri,Hiyo ni cream tena ina makemikali hatari, nimemuona alieharibika hivyo kama ni hate basi waendelee tu. Muda utaamua.
Hivi kwanini lakini watu wanahangaika sana kuziharibu ngozi zao nzuriii.
Top lemon!Jina tu la hiyo lotion linajieleza kua ni ya kuchubua 'perfect white',
Hapo bado hatujalichambua jina la mtoa mada,
Lol