Tunajifunza kupitia makosa ndiyo sababu wanasema "elimu haina mwisho" nimejifunza mengi sana na nimekusoma ndugu.Wewe ndg nimekushangaa mgeni hata hujamjua vizuri unamkabidhi kulala na wtt? Uko sawa ww eti huna ubaguzi du. Unajua maana ya ubaguzi? Hiyo ni kukosa umakini. Hata kama angekuwa ni ndg yako toka kijijini wanao hawatakiwi kufanyiwa hivyo.
Wewe ndg nimekushangaa mgeni hata hujamjua vizuri unamkabidhi kulala na wtt? Uko sawa ww eti huna ubaguzi du. Unajua maana ya ubaguzi? Hiyo ni kukosa umakini. Hata kama angekuwa ni ndg yako toka kijijini wanao hawatakiwi kufanyiwa hivyo.
usifundishe watu roho mbaya kila mtu na moyo wake,ulitaka amlaze stoo ? au nje mungu ni mwanifu kwake huu hurum alio ufanya mungu anaenda kufanya kitu kipya maishani kwake.
Dunia ya leo sio ile ya zamani wewe, kulaza watoto na mtu usiyemjua? Huyo ndugu unayemfahamu bado haaminiki itakuwa huyo bintiusifundishe watu roho mbaya kila mtu na moyo wake,ulitaka amlaze stoo ? au nje mungu ni mwanifu kwake huu hurum alio ufanya mungu anaenda kufanya kitu kipya maishani kwake.
Nimekuelewa kakaMkuu wanaokushauri umpeleke kwenye maombi wala usiwadharau, hebu fanya hivyo mara moja na please mtafutie pa kumpeleka hata kama ni polisi tena. Ni vizuri kuwa wakarimu lakini hebu ukarimu wako uongozwe na Roho wa MUNGU.
Halafu samahani, lakini mbona macho tu ya huyo mtoto yanaonesha kuwa si wa kawaida, hapo tu mkuu huoni? wala hata haihitaji macho ya rohoni. MUNGU anisamehe lakini utakuja kusema humu, mi nakwambia the moment tu unamfikisha kwenye maombi, hapo lazima yalipuke, huyo mtoto hana macho ya kawaida kabisa, atakuwa anatumiwa si bure. Na plse usimwache na wanao bila mtu mwingine.
Unamwachia Mungu?Ndugu ningefurahi sana kumkabidhi kwa wazazi ama ndugu zake. Kuna watu nimewaelezea lkn mmoja amenishtua sana kwa kuniambia usije kuta usiku kanaenda kula uchawini!! Nimeogopa sana ila namwachia mungu
Yalaaaaaa!Huyo mkeo mbona hajui kupika???mchuzi mweupe nyanya zinaelea...hazijaiva....uje sasa sahani hata kukupambia baba sahani kashindwa hata kuubanda....tu anyway huyo dogo panda nqe bus hadi sengerema mchangani mpeleke kwao kabla hujaja na mengine hapa...
Ila hapana. Huu uzungu utamgharimu tu. Hapo ni maombi maombi maombi. BaasNi vema akaweka camera chumbani na sebuleni ili kujua in their absence nini kinaendelea, la piga dua kwa imani yako ili kufunuliwa yaliyojificha
YesInaleta maana. Tahadhari nzuri.
But: Even a devil was an angel.
In that sense, an angel can change into a devil.
Then, the question is: if a devil was once an angel, can a devil become an angel again at some point...?
Ndugu ningefurahi sana kumkabidhi kwa wazazi ama ndugu zake. Kuna watu nimewaelezea lkn mmoja amenishtua sana kwa kuniambia usije kuta usiku kanaenda kula uchawini!! Nimeogopa sana ila namwachia mungu
Mkuu nakushauri ujiridhishe kama kweli kapotea kutoka sengerema. Alifikaje hapa DSM? Isije ikawa mtego, siku moja usiyoijua ukirudi unakuta hayupo pamoja na mtoto plus kila kitu kusombwa hapo nyumbani. Nyumbani kwako kuna mtu mzima anayebaki unapokuwa haupo? Nakushauri uache mtu mzima hapo. Huyo binti anaweza kuwa chambo cha wahalifu fulani wakisingizia kapotea kumbe wamemtuma ili watekeleze uhalifu. Mkuu nakushauri umpeleke kwenye vituo vya kulelea watoto akakae huko.Siku chache zilizopita nilileta habari ya kupotea kwa mtoto (binti) aitwaye Prisca kutoka Sengerema sehemu iitwayo Mchangani. Hadi leo sijapata mawasiliano pamoja na baadhi ya wanajamii forum kuniahidi kunipatia mawasiliano ya mkuu wa shule Mchangani.![]()
Polisi waliniambia nikute namtunza kwa siku chache wakiwa wanafanya mawasiliano lkn siku zinazidi kusonga pasipo mafanikio. Huyu binti tangu nimchukue tulishauriana na wife awe analala na watoto wangu kitanda kimoja kwani sipendi kabisa ubaguzi kulingana na maisha niliyopitia. Sasa tangu nimchukue nimegundua ni mtu mwenye akili timamu na mtu ambaye anapambanunua mambo kama mtu mkubwa.
Kuanzia ninapomuaga kwenda kwenye shughuli zangu na ninaporudi kwani mara nyingi anakuwa karibu sana na mtoto wangu mdogo 3yrs na 9 months. Lakini tabia ambayo imenifanya nirudi tena kwenu ni huyu binti kutokula chakula cha usiku (dinner) huku chakula cha asubuhi (kifungua kinywa) na kile cha mchana akila tena kwa furaha.
Jana wakati tunakula ilibidi nimuulize kwa nini usiku hataki kula akanijibu wamezoea kula mchana tu tangu azaliwe na hadi umri huu alionao kitu ambacho hakiingii akilini tena anakujibu akiwa flexible kabisa (anatabasamu)!!! Kumbuka mimi mwenyewe nimezaliwa na kukulia kijijini pamoja na maisha magumu lkn ilikuwa sharti kila familia tupate chakula cha usiku hata kama nichakugombania.
Jana hadi tunaanza kula na kumaliza binti alikuwa busy tu kucheki video. Nilijaribu kupiga picha kisiri pasipo frash.![]()
![]()