Mrejesho: Binti wa Sengerema aliyepotea

Mrejesho: Binti wa Sengerema aliyepotea

Kama mission done tengemea msiba mkubwa sana hapo!! Sisemi umfukuze kaa nae jinsi moyo wako ulivyo ridhika! Lakini kama hutompeleka kwenye maombi tengemea mpasuko kwenye familia yako
Leo ni siku ninayoenda kumkabidhi polisi. Nilishawaambia mimi niko tayari kukaa nae lakini hadi pale nitakapofahamu wazazi na ndugu zake walipo pia historia yake. Nilimchukua si kumfanya mfanyakazi kwangu hapana maana mfanyakazi anayepikia wanangu na mimi tukiwa kwenye mihangaiko na wife yupo.
 
Thanks.

So then, that defeats the mentality which stands for :"once a devil always a devil?"

I can't wait seeing a devil in angelic costumes or so.

That said, I am keeping my fingers crossed and hope for the best.
 
Unamwachia Mungu?
Hapana!! Usimwachievtu Mungu and take a step.... Mpeleke kwenye maombi sawa ila peleka taarifa polisi pia.. Na usipende kumwachia wanao muda wote

Mungu amfanye mwema

Siku nyingine usirudie kosa la kulaza watoto wako na mtu baki
Nimeagana nae kazini kwangu leo asubuhi, nimemkabidhi kwa lugha ya kumwambia nikapate kibali cha polisi cha kuishi na wewe huku nikiwa nimeficha nguo nilizompatia ambazo atapewa akiwa polisi, nimefanya hivyo ili asinikimbie au kutoroka. Nimeikabidhi ofisi ya kijiji changu ambayo itatoa ushirikiano wa kumpeleka kituoni (Polisi) baada ya kutoa maelezo yangu jana kwa polisi. Inauma sana maana hana amani kabisa. Mwisho wazazi tuwapende watoto wetu naamini huyu mtoto anatembea baada ya kukosa upendo toka kwa ndugu hasa wanawake.
b8e5fc18c3a7f549519183550bf0e28f.jpg
af82b2dec388222fe3e5e9cc41235d7b.jpg

1dbaed96bdb2e4c7ff76fad69e60c5dd.jpg
 
Dah, kiongozi na mimi huruma inaniingia .. Sema kwa vile bi mikoani ila kama umempenda unaweza kumfuatilia uanze kumtunza
 
Kaka acha kabisa mimi nakahurumia sana ila basi tu. Tatizo historia yake sina ningekaa nae tu tukagawana umaskini.
 
wakati huohuo unasubiri hatua ya polisi na ndugu unakubidi umshirikishe mungu katika maombi ,tena inabidi maombi umpeleke kwenye makanisa ya kilokole wamuombee,unajua hakuna kitu ambacho hakita jidhiirisha mbele za MUNGU hapo ndipo utapata jibu ebu chukua hatua sasa ya kwenda uko utatupa jibu usianze kuwaza maswali mengii juu yake.
Wewe nani kakwambia Mungu yuko kwenye makanisa ya kilokole tu? Mwambie amuombe Mungu kwa imani yake, that is all. Else utakuwa unapiga porojo tu.
 
Huyo mkeo mbona hajui kupika???mchuzi mweupe nyanya zinaelea...hazijaiva....uje sasa sahani hata kukupambia baba sahani kashindwa hata kuubanda....tu anyway huyo dogo panda nqe bus hadi sengerema mchangani mpeleke kwao kabla hujaja na mengine hapa...
 
Nimeagana nae kazini kwangu leo asubuhi, nimemkabidhi kwa lugha ya kumwambia nikapate kibali cha polisi cha kuishi na wewe huku nikiwa nimeficha nguo nilizompatia ambazo atapewa akiwa polisi, nimefanya hivyo ili asinikimbie au kutoroka. Nimeikabidhi ofisi ya kijiji changu ambayo itatoa ushirikiano wa kumpeleka kituoni (Polisi) baada ya kutoa maelezo yangu jana kwa polisi. Inauma sana maana hana amani kabisa. Mwisho wazazi tuwapende watoto wetu naamini huyu mtoto anatembea baada ya kukosa upendo toka kwa ndugu hasa wanawake.
b8e5fc18c3a7f549519183550bf0e28f.jpg
af82b2dec388222fe3e5e9cc41235d7b.jpg

1dbaed96bdb2e4c7ff76fad69e60c5dd.jpg
She looks decent and innocent. Mungu akutie nguvu na moyo wa upendo. You've a big heart brother. Much love
 
Mungu akubariki sana kwa wema wako.

Cha msingi ni kuhakikisha hafanyi tukio baya, maana binadamu siku hizi wamekuwa waovu sana.
 
Nimemkabidhi kwenye mikono salama ndugu. Sijapata feedback kutoka polisi ila nimemkabidhi ofisi ya kijiji baadae apelekwe polisi kwa utambuzi zaidi.
 
Mkuu menu imetulia ila mboga za majani sizioni apo mkuu.
 
Hahahaaaa jamii forum mna vituko!! Poa kaka tafuata balance diet bro. Usukumani huku kaka bora tu hujalala njaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
She looks decent and innocent. Mungu akutie nguvu na moyo wa upendo. You've a big heart brother. Much love
Thx buddy!! I take care as ma fellow Tanzanian who needs help. Today I used to buy for her some little drinking water when was still at village office as its so hot ths side also am not sure if polices will assist her with drinking water. Anyway najutia kumchukua kwani nimejikuta naumiza sana moyo wangu kwani sijui huko atakakoenda watampokea vipi.
2b16e9c6fa11fb773c0d2842bc21682b.jpg
 
Brother, God knows how your heart feels and that's the greatest sacrifice a person in our current world would offer. You did it with love and for the love of humanity. Keep praying for her you never know what a fortune she carries. Nadhani unakumbuka hadithi ya Abraham alivyowakirimia wale wageni waliomtembelea, though wengi wamekutisha, I tell you yawezekana ulikuwa na Malaika hapo ndani. You did all that in good faith and affection, God will watch over you and your entire family. Keep your faith up.
 
Hatukumtisha ila shetani ametawala dunia sasa kwa hapana.sisi wenyewe tumejitenga na wema,baraka,utukufu Wa MUNGU MKUU.ndio maana tumemtadharisha mapema najua atawewe usingeweza kufanya hivyo alivyofanya yeye
 
Ndio maana nimesema he has a "big heart" kwa taarifa yako tangu nilipousoma uzi huu kuanzia mwanzo nimejifunza jambo kubwa sana kwa mleta maada, pia nimeelewa ni jinsi gani wachangia uzi walivyo na mioyo tofauti tofauti kila mmoja kwa aliyojaaliwa na Mola wake. All in all nampongeza sana huyu mdau, nimejifunza jambo kubwa sana kutoka kwake, and that is selfless love
 
Wapo wachache sana duniani ndugu
 
Huruma ni tabia njema, lakini huruma hiyo hiyo inaweza kukuletea majuto, usije kushangaa unarudi home na usimkute huyu dada na mwanao.
Chunga sana dunia imekuwa na akili kupita wanadamu
Hapo ndo pagumu mkuu,

Inawezekana katumwa kwake kuchunguza vitu kadha wa kadha

Pia inawezekana sio binadamu huyo

Lakini pia inawezekana ni binadamu kweli ... Sasa ili kujua lipi ni sahihi itakubidi ufanye tahajudi ili ufunguke jicho la tatu vinginevyo ... nakuhurumia sana.
 
Uko sahihi, wengine tumejaribu sana kuwahurumia kumbe mtu yuko kukumaliza.
 
Hivi kuna umbali gani toka hapo ulipo na kwao? hivi polisi hawana network ya kuweza kusaidia? Ni jambo la ajabu sana kwamba mpaka leo kwao hakuja julikana. Hata mimi machozi yamenitoka nilivyo ona picha za mwisho. Sura yake inaonesha kukata tamaa. Na wewe ndio ulikuwa tumaini lake. Serikali kupitiwa wilaya, ofisi za kata mpaka serekali za vijiji haviwezi kusaidia. kwa kweli moyo wangu umeuma sana ingawa na wewe ni lazima ujilinde. Mungu akubariki kwa hayo uliyofanya.
 
Back
Top Bottom