Ndugu ningefurahi sana kumkabidhi kwa wazazi ama ndugu zake. Kuna watu nimewaelezea lkn mmoja amenishtua sana kwa kuniambia usije kuta usiku kanaenda kula uchawini!! Nimeogopa sana ila namwachia munguMungu akujaze kheri. Endelea kukaa nae ipo siku wahusika watajotokeza.
Asante sana ndugu, soon nikikosa kabisa msaada tampeleka tu kituoni mkuu kama ni msaada takuwa nimechangia kiasi.Huruma ni tabia njema, lakini huruma hiyo hiyo inaweza kukuletea majuto, usije kushangaa unarudi home na usimkute huyu dada na mwanao.
Chunga sana dunia imekuwa na akili kupita wanadamu
Nakushauri usimwache peke yake na mtoto, hata kitendo cha kumlaza na wanao ni kizuri but si salamaAsante sana ndugu, soon nikikosa kabisa msaada tampeleka tu kituoni mkuu kama ni msaada takuwa nimechangia kiasi.
Mkuu nashukru sana kwa ushauri wako, mimi nilifanya vile nikiamini muda si mrefu tapata ndugu zake ukizigatia hata mimi ni mwenyeji wa Kanda ya ziwa (Shinyanga, Mwanza, Geita, Sengerema n.k). Ni kweli binti anaweza kuja aidha kunishutumu kwa kuweka picha zake lkn naweka kwa nia njema kabisa ya kumrudisha katika mikono salama. Ndugu haya maeneo tunayoishi 75% ni watu wanaotegemea madini kuendesha maisha hivyo nawafahamu tabia zao A-Z. Jumatatu nampeleka kituo cha polisi na kumkabidhi hapo. Taongea na polisi kama wazazi wake wakipatikana iwe huko Sengerema ama popote na wakilizia niishi nae mimi tampeleka tu shule hizi hizi za watu maskini ili angalau aje kufahamu umuhimu wa elimu, ni vigumu sana kuishi na mtoto wa watu pasipo kufahamu historia yake, hicho tu ndicho kinanisumbua akilini mkuu. Nasikitika sana watu wa Sengerema walioko hapa Jamii forum kushindwa kunisaidia hata namba za ofisi ya mbuge wao ili tu nipate mawasiliano na uongozi wa Mchangani. Kama ningepata nilipanga niwapate ndugu zake harafu nimkatie tiketi wampokee na tungeanza mawasiliano aidha wamuache kwangu asome ama wamsomeshe wao. Huku mgodini kama mtoto ana uwezo na wazazi hawapo huwa mgodi unawasomesha ngazi ya secondary hadi level zingine na uongozi wa hapa wasingekataa kupitisha jina lake maana nimemtoa mikononi mwao baada ya kukosekana mtu wa kumchukua siku hiyo.Pole sana mkuu. Unatenda wema kuishi nae lakini kila unachokifanya kuhusu huyo binti ikiwa na pamoja na haya unayoandika humu JF na picha unazoweka zinaweza kuja kukugharimu siku na muda usiotarajia kutoka kwa huyo huyo binti. Mfano akikua na kuona mtandaoni hiyo picha aliyotulia kwenye sofa akiangalia TV huku chakula kikiwa pembeni, maelezo yake na pia michango ya wadau hapa juu yake anaweza kufuta kumbukumbu zote za wema uliomfanyia na kuona kuwa ulikuwa ukimdharirisha. Hicho kitendo cha kutokula usiku kinastaajabisha pamoja na majibu yake kuwa kwao wamezoea kutokula usiku. Yaani nyamanyama zote hizo ninazoziona mezani na sijui parachichi linavyong'aa vile binti hata asivitamani kuvila eti kisa kwao hajazoea kula usiku?!
Kingine cha kustaajabisha iweje katika kipindi hiki cha utandawazi muda wote huo hata ndugu yake mmoja asiwe ameshajitokeza na kuja kumchukua? Na je hata kwenye whatsapp groups uliweka picha na maelezo ya kuwatafuta ndugu zake?
Miaka ya nyuma familia yangu iliwahi kuwa na dada msaidizi wa kazi za nyumbani. Huyo dada alikuwa akiugua ugonjwa wowote hakubali kabisa kumeza dawa yoyote ya hospitali. Kila akiugua alikuwa anadai ataenda porini kuchuma unyasi na kuutafuna na kwamba ndiyo utakao mponyesha. Haikuchukua muda mrefu tukaja kugundua mambo kadhaa yenye kuthibitisha kwamba alikuwa na ushirikina na kwamba familia yao ni shirikina. Hivyo ikabidi tusitishe ajira yake na kumrudisha kwao.
Ushauri wangu ni kwamba umeshafanya wema wa kutosha. Kama ndugu zake hawaji kwa kutojua kuwa unaishi nae au kwa makusudi, fanya juu chini umkabidhi huyo binti kwenye taasisi zinaolea watoto wasio na makwao ili utue huo mzigo. Ukipenda unaweza kuendelea kutoa msaada kwake akiwa huko huko kwenye taasisi zinazolea watoto.
Pengine hisia tunazozipata juu yake siyo sahihi sana. Lakini pia hatuna hakika kama wema wako hautakuja kukuponza baadae. Na kwa nini majuto yaje kuwa mjukuu wakati huna hata hadithi moja ya kuja kumhadithia?
Pole sana mkuu. Mbunge wa jimbo la Sengerema ni William Ngeleja. Na kwa mujibu wa kumbukumbu za bunge zilizo public kuhusu mbunge huyo namba zake za simu ni 0753 692 692. Na email yake ni w.ngeleja@bunge.go.tz. Pengine jaribu kuwasiliana nae kupitia namba na email hiyo kuona ni kwa kiasi gani anaweza kushiriki kutatua tatizo hilo linalohusu mmoja wa watoto wa wapiga kura wake.Mkuu nashukru sana kwa ushauri wako, mimi nilifanya vile nikiamini muda si mrefu tapata ndugu zake ukizigatia hata mimi ni mwenyeji wa Kanda ya ziwa (Shinyanga, Mwanza, Geita, Sengerema n.k). Ni kweli binti anaweza kuja aidha kunishutumu kwa kuweka picha zake lkn naweka kwa nia njema kabisa ya kumrudisha katika mikono salama. Ndugu haya maeneo tunayoishi 75% ni watu wanaotegemea madini kuendesha maisha hivyo nawafahamu tabia zao A-Z. Jumatatu nampeleka kituo cha polisi na kumkabidhi hapo. Taongea na polisi kama wazazi wake wakipatikana iwe huko Sengerema ama popote na wakilizia niishi nae mimi tampeleka tu shule hizi hizi za watu maskini ili angalau aje kufahamu umuhimu wa elimu, ni vigumu sana kuishi na mtoto wa watu pasipo kufahamu historia yake, hicho tu ndicho kinanisumbua akilini mkuu. Nasikitika sana watu wa Sengerema walioko hapa Jamii forum kushindwa kunisaidia hata namba za ofisi ya mbuge wao ili tu nipate mawasiliano na uongozi wa Mchangani. Kama ningepata nilipanga niwapate ndugu zake harafu nimkatie tiketi wampokee na tungeanza mawasiliano aidha wamuache kwangu asome ama wamsomeshe wao. Huku mgodini kama mtoto ana uwezo na wazazi hawapo huwa mgodi unawasomesha ngazi ya secondary hadi level zingine na uongozi wa hapa wasingekataa kupitisha jina lake maana nimemtoa mikononi mwao baada ya kukosekana mtu wa kumchukua siku hiyo.
Asante ndugu ngoja nimtafutePole sana mkuu. Mbunge wa jimbo la Sengerema ni William Ngeleja. Na kwa mujibu wa kumbukumbu za bunge zilizo public kuhusu mbunge huyo namba zake za simu ni 0753 692 692. Na email yake ni w.ngeleja@bunge.go.tz. Pengine jaribu kuwasiliana nae kupitia namba na email hiyo kuona ni kwa kiasi gani anaweza kushiriki kutatua tatizo hilo linalohusu mmoja wa watoto wa wapiga kura wake.
Mkuu kwa umri wa huyo dada sio wa kupotea, hebu jiongeze, muulize maswali ya kutosha tena ukiwa serious akupe majibu ya uhakika kuhusu alikotoka, vinginevyo kuna siku utakuja kuleta mrejesho hasi hapa, tumeona mengi, nia yako ni njema lakini chunguza na chukua hatua za haraka mpeleke kwao au kwa vyombo vya usalamaNdugu ningefurahi sana kumkabidhi kwa wazazi ama ndugu zake. Kuna watu nimewaelezea lkn mmoja amenishtua sana kwa kuniambia usije kuta usiku kanaenda kula uchawini!! Nimeogopa sana ila namwachia mungu