Mrejesho: Binti wa Sengerema aliyepotea

Mrejesho: Binti wa Sengerema aliyepotea

Ushari wa ni kwamba mtangaze kwenye TV kama ITV au Star TV na ikishindikana mrudishe kwa mapolisi wampeleke ustawi wa jamii. Unaweza kujuta sana kwa huruma iliyopitiliza mipaka.
Hongera kwa balanced diet naona pembeni kuna na fruits za kutosha.
 
0f944f8b98fc7c28941b089be61d367c.jpg
Siku chache zilizopita nilileta habari ya kupotea kwa mtoto (binti) aitwaye Prisca kutoka Sengerema sehemu iitwayo Mchangani. Hadi leo sijapata mawasiliano pamoja na baadhi ya wanajamii forum kuniahidi kunipatia mawasiliano ya mkuu wa shule Mchangani.

Polisi waliniambia nikute namtunza kwa siku chache wakiwa wanafanya mawasiliano lkn siku zinazidi kusonga pasipo mafanikio. Huyu binti tangu nimchukue tulishauriana na wife awe analala na watoto wangu kitanda kimoja kwani sipendi kabisa ubaguzi kulingana na maisha niliyopitia. Sasa tangu nimchukue nimegundua ni mtu mwenye akili timamu na mtu ambaye anapambanunua mambo kama mtu mkubwa.

Kuanzia ninapomuaga kwenda kwenye shughuli zangu na ninaporudi kwani mara nyingi anakuwa karibu sana na mtoto wangu mdogo 3yrs na 9 months. Lakini tabia ambayo imenifanya nirudi tena kwenu ni huyu binti kutokula chakula cha usiku (dinner) huku chakula cha asubuhi (kifungua kinywa) na kile cha mchana akila tena kwa furaha.

Jana wakati tunakula ilibidi nimuulize kwa nini usiku hataki kula akanijibu wamezoea kula mchana tu tangu azaliwe na hadi umri huu alionao kitu ambacho hakiingii akilini tena anakujibu akiwa flexible kabisa (anatabasamu)!!! Kumbuka mimi mwenyewe nimezaliwa na kukulia kijijini pamoja na maisha magumu lkn ilikuwa sharti kila familia tupate chakula cha usiku hata kama nichakugombania.

Jana hadi tunaanza kula na kumaliza binti alikuwa busy tu kucheki video. Nilijaribu kupiga picha kisiri pasipo frash.
cf8447c89a2b0aa57b09ee2248608d30.jpg
8d63dd2245d7c4784d692e2d659fcb58.jpg

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Ninashindwa kusema.

Mungu akusaidie kufanya sahihi.
 
Wewe nani kakwambia Mungu yuko kwenye makanisa ya kilokole tu? Mwambie amuombe Mungu kwa imani yake, that is all. Else utakuwa unapiga porojo tu.
Huelewi unachokizungumza ww nitafute pm nikujue unijue nikupe elimu.
Mungu hatendi kiurahisi kama unavyofikiria ww.
Elimu ya kumwelewa Mungu/nguvu zake zinatendaje kazi au zinatenda na mtu gani ni pana sana.
 
0f944f8b98fc7c28941b089be61d367c.jpg
Siku chache zilizopita nilileta habari ya kupotea kwa mtoto (binti) aitwaye Prisca kutoka Sengerema sehemu iitwayo Mchangani. Hadi leo sijapata mawasiliano pamoja na baadhi ya wanajamii forum kuniahidi kunipatia mawasiliano ya mkuu wa shule Mchangani.

Polisi waliniambia nikute namtunza kwa siku chache wakiwa wanafanya mawasiliano lkn siku zinazidi kusonga pasipo mafanikio. Huyu binti tangu nimchukue tulishauriana na wife awe analala na watoto wangu kitanda kimoja kwani sipendi kabisa ubaguzi kulingana na maisha niliyopitia. Sasa tangu nimchukue nimegundua ni mtu mwenye akili timamu na mtu ambaye anapambanunua mambo kama mtu mkubwa.

Kuanzia ninapomuaga kwenda kwenye shughuli zangu na ninaporudi kwani mara nyingi anakuwa karibu sana na mtoto wangu mdogo 3yrs na 9 months. Lakini tabia ambayo imenifanya nirudi tena kwenu ni huyu binti kutokula chakula cha usiku (dinner) huku chakula cha asubuhi (kifungua kinywa) na kile cha mchana akila tena kwa furaha.

Jana wakati tunakula ilibidi nimuulize kwa nini usiku hataki kula akanijibu wamezoea kula mchana tu tangu azaliwe na hadi umri huu alionao kitu ambacho hakiingii akilini tena anakujibu akiwa flexible kabisa (anatabasamu)!!! Kumbuka mimi mwenyewe nimezaliwa na kukulia kijijini pamoja na maisha magumu lkn ilikuwa sharti kila familia tupate chakula cha usiku hata kama nichakugombania.

Jana hadi tunaanza kula na kumaliza binti alikuwa busy tu kucheki video. Nilijaribu kupiga picha kisiri pasipo frash.
cf8447c89a2b0aa57b09ee2248608d30.jpg
8d63dd2245d7c4784d692e2d659fcb58.jpg
Wema ni kitu chema, lkn wema ukizidi ni hatari. Hasara anayoweza sababisha baadae, unawezajuta kumfahamu.

Nakushauri, kesho mchukue hadi shule hiyo anayosoma, hakikisha unakutana na walimu wake, darasa lake na nyumbani pajue umkabidhi kwao. La sivyo, unaweza kujuta.

Miaka ya 2006, jamaa yangu alioa mke wa kutoka mbeya. Alipopata mtoto, mke wake akaagiza msaidizi toka mbeya, akampokea maisha yakaanza.

Huyo binti yeye hakuwahi kuosha vyombo mchana au muda mwingine isipokuwa kuanzia 00:00hrs hadi 03/04 alfajiri. Akiulizwa anajibu pumba tu.

Mkimjadili, kesho yake anawaambia mlikuwa mnamjadili

Mkipanga kumrejesha kwao asubuhi anawambia mmejadili kunipeleka home siendi hata mfanyeje.

Mama mmoja jirani alikuwa witch doctor, wakaanza kupigana mkwara lkn binti wa muaka 13, alimgeuza bibi na mganga wa siku nyingi msambaa akawa kama panya halafu, binti akawaagiza watoto wa bibi, waingie ndani, wachukue kibuyu cha bibi fulani, watoe dawa wampe. Bibi kupewa, akapona siku hiyohiyo akapona.

Sasa kali ilikuwa mke wa jamaa yangu alifariki, mwili ukiwa mortuary, wakiandaa mazishi, binti analia sana, akiulizwa kwa nini unalia, anasema dada hajafa, bibi yake mbeya anamlazimisha wamchukue msukule lkn kenyewe hakataki. Walisumbuka kwa zaidi ya wiki wakaamua kuzika.

Binti aligoma kutoka wakaona usiwe taabu, akapelekwa zenji wkt wa mwezi mtakatifu/mtukufu, aliwasumbua masheih hadi wakapanga kikao wamfukuze lkn akawaambie masheikh, ataondoka zenj akichoka sio kwa shinikizi, na wazenj walitulia.

Hivyo angalia binti asiwe type hiyo
 
Wapo wachache sana duniani ndugu
Nakubaliana na wewe mkuu
Huelewi unachokizungumza ww nitafute pm nikujue unijue nikupe elimu.
Mungu hatendi kiurahisi kama unavyofikiria ww.
Elimu ya kumwelewa Mungu/nguvu zake zinatendaje kazi au zinatenda na mtu gani ni pana sana.
Kwa hiyo Mungu anatenda kwa jinsi unavyotaka wewe? Huna sifa ya kunifundisha kuhusu Mungu maana wewe sio Roho Mtakatifu
 
Nakubaliana na wewe mkuu

Kwa hiyo Mungu anatenda kwa jinsi unavyotaka wewe? Huna sifa ya kunifundisha kuhusu Mungu maana wewe sio Roho Mtakatifu
Haya Subiri Roho Mtakatifu akufuate hapo ulipo akufundishe.
Kingne usizungumze pumba ambazo huzielewi.
Dini inawaharibu sana watu kama ww.
Badala ya kumjua Yesu,mnaijua Dini.
Mnapotosha watu kwa mafundisho yenu ya dini na viongozi wenu wa dini.
 
Kwa hiyo nije unifundishe wewe 😀😀😀😀
 
Wema ni kitu chema, lkn wema ukizidi ni hatari. Hasara anayoweza sababisha baadae, unawezajuta kumfahamu.

Nakushauri, kesho mchukue hadi shule hiyo anayosoma, hakikisha unakutana na walimu wake, darasa lake na nyumbani pajue umkabidhi kwao. La sivyo, unaweza kujuta
Lakini mbona mleta hoja ameshaeleza kupitia post yake #83 kwamba tayari ameshamkabidhi huyo mtoto ofisi ya kijiji ili nao wafanye taratibu za kumkabidhi polisi? Na picha kaweka zikimwonyesha mtoto akiwa ofisi ya kijiji.
 
Thx buddy!! I take care as ma fellow Tanzanian who needs help. Today I used to buy for her some little drinking water when was still at village office as its so hot ths side also am not sure if polices will assist her with drinking water. Anyway najutia kumchukua kwani nimejikuta naumiza sana moyo wangu kwani sijui huko atakakoenda watampokea vipi.
2b16e9c6fa11fb773c0d2842bc21682b.jpg
Ni vigumu mnoo kuamini kwa dunia tunayoishi sasa hivi kuna binadamu wenye roho safi na mioyo myeupe kama wewe ndugu yangu. Binafsi nilishakata tamaa sana na binadamu wa leo, lakini kumbe kumbe bado dunia ina binadamu. Whether huyo binti alikua na nia mbaya au alikua totally innocent, Mungu mwenyewe anajua, na kwa hili Mungu atalikumbuka na kukulipa kwa wakati wake, mark my words.
 
0f944f8b98fc7c28941b089be61d367c.jpg
Siku chache zilizopita nilileta habari ya kupotea kwa mtoto (binti) aitwaye Prisca kutoka Sengerema sehemu iitwayo Mchangani. Hadi leo sijapata mawasiliano pamoja na baadhi ya wanajamii forum kuniahidi kunipatia mawasiliano ya mkuu wa shule Mchangani.

Polisi waliniambia nikute namtunza kwa siku chache wakiwa wanafanya mawasiliano lkn siku zinazidi kusonga pasipo mafanikio. Huyu binti tangu nimchukue tulishauriana na wife awe analala na watoto wangu kitanda kimoja kwani sipendi kabisa ubaguzi kulingana na maisha niliyopitia. Sasa tangu nimchukue nimegundua ni mtu mwenye akili timamu na mtu ambaye anapambanunua mambo kama mtu mkubwa.

Kuanzia ninapomuaga kwenda kwenye shughuli zangu na ninaporudi kwani mara nyingi anakuwa karibu sana na mtoto wangu mdogo 3yrs na 9 months. Lakini tabia ambayo imenifanya nirudi tena kwenu ni huyu binti kutokula chakula cha usiku (dinner) huku chakula cha asubuhi (kifungua kinywa) na kile cha mchana akila tena kwa furaha.

Jana wakati tunakula ilibidi nimuulize kwa nini usiku hataki kula akanijibu wamezoea kula mchana tu tangu azaliwe na hadi umri huu alionao kitu ambacho hakiingii akilini tena anakujibu akiwa flexible kabisa (anatabasamu)!!! Kumbuka mimi mwenyewe nimezaliwa na kukulia kijijini pamoja na maisha magumu lkn ilikuwa sharti kila familia tupate chakula cha usiku hata kama nichakugombania.

Jana hadi tunaanza kula na kumaliza binti alikuwa busy tu kucheki video. Nilijaribu kupiga picha kisiri pasipo frash.
cf8447c89a2b0aa57b09ee2248608d30.jpg
8d63dd2245d7c4784d692e2d659fcb58.jpg
Ninaomba namba yake ya simu nimuombee
 
Ni vigumu mnoo kuamini kwa dunia tunayoishi sasa hivi kuna binadamu wenye roho safi na mioyo myeupe kama wewe ndugu yangu. Binafsi nilishakata tamaa sana na binadamu wa leo, lakini kumbe kumbe bado dunia ina binadamu. Whether huyo binti alikua na nia mbaya au alikua totally innocent, Mungu mwenyewe anajua, na kwa hili Mungu atalikumbuka na kukulipa kwa wakati wake, mark my words.
Ndugu unajua mimi ninachojivunia ni kufuata malezi ya wazazi wangu plus mafundisho niliyopata wakati wa ubatizo na kipaimaira then nikakulia maisha ya shida baadae nikaanza kuhustle hadi leo niko kwangu. Jana sikutaka kuwapa feedback kwa vile kuna baadhi ya post hadi naogopa lkn nabaki kujipa moyo tu kuwa kwa nini mungu aruhusu nifanyiwe mabaya wakati nalea kiumbe chake? . Jana mtoto hakupata msaada polisi kwa vile wengi hawakuwepo kituoni hivyo kuniomba arudishwe kwangu wakati wakifanya mawasiliano. Naamini Polisi wanafanya mawasiliano kwani mmoja wa hao polisi ni mtu wa karibu na mimi kirafiki. Hivyo binti ninaye lakini bado chakula cha usiku hali. Aliletwa jioni wakiniomba niwavumilie wakati wanafanya mawasiliano.
 
anasemaje Huyo bnti?
Ningependa jioni uongee naye ndugu kwa simu kama hautajali kwa sasa niko kibaruani. Anadai Anatokea Sengerema visiwani sehemu iitwayo Mchangani, huwa naisikia kwani ni mbali sana na sijawahi fika huko.
 
Back
Top Bottom