kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,271
- 1,810
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa!! Huku kazi tu mapambo baadae. Anyway hata hivi sipendi napenda aniwekee kwenye vyungu vya asili na aweke chakula sakafuni.Huyo mkeo mbona hajui kupika???mchuzi mweupe nyanya zinaelea...hazijaiva....uje sasa sahani hata kukupambia baba sahani kashindwa hata kuubanda....tu anyway huyo dogo panda nqe bus hadi sengerema mchangani mpeleke kwao kabla hujaja na mengine hapa...