Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

ok sawa sawa ,na je wewe hapo ulipo ni wewe tu au kuna mafund wengne pia
Hapa hapana mafundi kabisa halafu nisokoni kunakijisoko flan hivi local na kina kilabu chapombe zakienyeji,vigrocery viwili vitatu,mapool table yakutosha libraly zamuvi kama mbili hivi saloon zakunyoa vibanda vya mpesa ahf kunakaeneo wanauza mama mbogamboga kuna vibanda vyachips yaaan ni mazingila flani yamechangamka ila fundi simu nipo pekeangu brooh
 
Hongera na kila la heri..
Tukuanzishie safari yako ya ufundi TV na mafunzo kwa picha kwenye hiki kitabu 👇....
Duh notes nzuri saaana hizi kaka kama una za mobile repail zilizo simple hivi naziomba boss wangu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Hapa hapana mafundi kabisa halafu nisokoni kunakijisoko flan hivi local na kina kilabu chapombe zakienyeji,vigrocery viwili vitatu,mapool table yakutosha libraly zamuvi kama mbili hivi saloon zakunyoa vibanda vya mpesa ahf kunakaeneo wanauza mama mbogamboga kuna vibanda vyachips yaaan ni mazingila flani yamechangamka ila fundi simu nipo pekeangu brooh
sawa sawa mkuu, nlitaka kujua maana huku naona mafundi wengi wanakuwa eneo moja ,halafu kuna eneo hapa naona wanafata mafundi huko waliko alafu ni mbali kidogo na pamechangamka kiasi,so nlikua nafikiria nijitose hapa au nikatafute kasehem niungane nao tu kule walipo. lakin kufata vifaa ndo itakuwa na kaumbali kidogo kwa huku.
 
Sema hii biashara kwa kipindi kifupi nilichofanya kazi hii naona kwamba hata uwe katikati ya mafundi mia inatakiwa ujitifautishe na wengine tuu mfano kwenye upande wa uaminifu ni suala la kuzingatia saana boss ahf ubora wa huduma pia ni muhimu saana kama upo kwenye mafundi wengi pia kingine nilichojifunza kutoka kwamteja nikwamba epuka kuweka kijiwe golini pako hasa kujaza marafiki na watu wengine wakupiga story kama mpo wawili basi wote muwe authirised
Ni hivo tu boss
Saana ni hayo tuu
 
subiri kuwa mtaji wa polisi
Kilamtu angewaza hivyo nahsi kusingekuwa na biashara broh hizo mamb zipo na ukishajua kuwa zipo bas jua namna ya kuzikabili tu mfano kama ushajua matatizo ambayo polisi watakutinga ni kuhusu kuflash simu basi ni kujua namna ya kujilinda nao maana kama fundi simu polisi sana wanaweza kukutafuta kwa makosa mawili ambayo ni kuflash simu na kama unauza na simu used watakuwinda kwa ajiri ya kuuza simu za uwizi saana hayo ndio matatizo.
 
ujui hizo changamoto basi !.kusanya mtaji
 
Sema hii biashara kwa kipindi kifupi nilichofanya kazi hii naona kwamba hata uwe katikati ya mafundi mia inatakiwa ujitifautishe na wengine tuu mfano kwenye upande wa uaminifu ni suala la kuzingatia saana boss ahf ubora wa huduma pia ni muhimu saana kama upo kwenye mafundi wengi pia kingine nilichojifunza kutoka kwamteja nikwamba epuka kuweka kijiwe golini pako hasa kujaza marafiki na watu wengine wakupiga story kama mpo wawili basi wote muwe authirised
Ni hivo tu boss
Saana ni hayo tuu
umeeleweka sana mkuu
 
Habari Wadau!

Mimi ni kijana mtafutaji wa hali ya chini kwanza niseme jamii forums n8 sehemu iliyonifanya nipate wazo hili ambalo naweza sema lime badilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa!!!

Mnano mwaka jana mwezi wa 9 nilifanikiwa kupata uzi hapa jf wenye ushauri juu ya biashara ya ufundi simu na nikajipanga na kuanza kuchukua hatua mwanzo nilikua nimeajiliwa kwenye kampuni fulani kwa mshahara wa Tsh laki 2 kwa mwezi nikajichanga huku najifunza basics za ufundi simu kama kuunga mic na spika kubadili systerm charge kuflash simu nk nikapata sehemu yakufanyia mazoezi golini kwamtu huku namlipa 30 kwa mwezi nikajifunza ufundi simu kila nikitoka kazini kwangu naenda kujifunza ilipofika mwezi wa kwanza nikajitosa lasmi kwenye ufundi simu

#Mrejesho
Nilianza kazi kwa mtaji wa Tsh 350,000/=
gun 6000/=
sodawire 20,000/= bunda
screw driver 8,000/=
chumba miezi 5 30@mwezi= 150,000/=
umeme 10,000/=
55,000/= hot air blower
Enga zakuwekea baadhi ya bidhaa
8 @1500=12,000/=
protectors 10@1200=12000/= flash(faster)3 @9,000/= gb32 =27,000/=
20,000/= line yalipa namba vodacom 30,000/= mabetri ya simu makava usb kardreader etc..

Hapo ndipo nilipouanza mwendo
Kwa mwezi wa kwanza sikuwa na makadrio maalumu maana nilianza biashara tar 17 hivyo sio mwezi lasmi saana japo siku ikiwa mbaya nalaza 10,000/= hasara zikawa zinakuja mixer kuharibu simu zawatu najikuta naenda kughalamia kwa fundi mwingine lakini hiki kipindi kilikuwa kigumu saana maana mteja analeta simu yenye tatizo la kubadilishiwa screen tatizo linaisha ahf mic inaharibika yaaan hadi sasa bado kwenye uharibifu ndio changamoto nayo pitia saaana lakini hadi nafika tar 31 january ninatsh 90,000/= mfukon nimesave ulipo anza mwezi wapili naeza sema ndipo nilipo anza rasmi biashara yangu maaana kunasiku naeza laza hadi 50,000/= nasiku mbaya naeza laza 15,000/=

Nikapambana hadi mwezi wa pili unaisha nimeingiza laki 6 kasoro yaani nilihisi ni uchawi aiseeeh hapo ndipo nikanunua blower kubwa ya 270,000/= ahf laki3 na50 ikabaki kama backup nanikama mtaji nilioanzia kiasi kwamba ningetaka kufungua goli lingine ningeweza hapo nilihisi sio mimi kabisa yaaan mwezi wa tatu kwenda wa4 nikajikuta nimelaza laki 7 na60 hapo nikiiangalia mpesa yangu najiona bakhresa flani hivi ndipo nikanunua desktop computer nakuinstall miracle thunder nakuongeza huduma zakuflash simu nakutoa pesa kwa lipa namba nnachofanya: mteja akija kutoa kuanzia 40,000/= anaacha tsh 2,000/= kama service charge kwa sasa kwasiku naeza pata hadi wateja 7 = >14,000/= day

Sasa huu mwezi wanne naeza sema nimefanikiwa kumiliki million kwenye account yangu mwenyewe kwa mara ya kwanza sasa ni mwezi wa tatu wa kazi yangu ya ufundi simu kwa haya mawndeleo najuta kwa nini nilichelewa kuisoma ile thread ya jamii forums
Malengo yangu: Kwa sasa hapa ninatengeneza simu nauza accesoriez nakutoa pesa kwa lipa namba

Kuanzia mwezi watisa nahitaji kuwekeza pia kwenye ufundi Tv,Deki,Sabufa,pasi,blenda nk...

Lengo ni kufungua branchi nyingine kwaajili ya shughuli hizo naombeni ushauri kwa mwenye uzoefu na hayo masuala ya ufundi Tv nk...

Nashukuru saana kwa wote mlioufanikisha uzi wakwanza wa ufundi simu..🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mkuu nahitaji apo maelezo ya lipa namba uliipata ukiwa umeshakata leseni ya biashara au vp maaana na mimi nahitaji pia lakini saiv leseni bado
 
Mkuu nahitaji apo maelezo ya lipa namba uliipata ukiwa umeshakata leseni ya biashara au vp maaana na mimi nahitaji pia lakini saiv leseni bado
Me kunamtu alinitengenezea bila hata leseni japo wakwanza alinambia mpaka leseni ila wapili alinitengenezea tuu kwa nida na akanisajilia line bas nkasubili confirmation ndani ya siku5 nikawa nimeipata tayari hivyo tuu kaka
 
changamoto ya hiyo biashara ni kukamatwa na police kufunguliwa kesi ya wizi au kumiliki cm iliyoibwa sehem, ili usiingie matatani tafuta leseni otherwise itakuja kukuCost. Unaweza kutwa na cm ya mtu aliye uwawa na kuibiwa, yaaan hadi uje ujitetee vzuri ueleweke utakua umekaa mahabusu miezi ya kutosha...
Otherwise nikutakie baraka Mungu awe nawe
 
Back
Top Bottom