Mrejesho, Baada ya kuokota kipochi cha mzungu kilichokuwa na pete

Umeona eeeeeh.

Niliambiwa lakini, Dada bangi zitakubangua sikusikia.

Nikaona hawa hawajui stimu waniache.

Ona sasa. Sio poa.
Punguza hiyo bangi, jani limefanya ubongo uende resi au?
 
Kama ambavyo nilivyokuwa nimeleta bandiko, weekend wakati nilikuwa nikizunguka huku na kule, nilipita mahali nikakaa wakati naondoka niliokota kipochi kidogo ambacho ndani nilikuta kunapete 3.

Nilikuja kutaka ushauri humu ni jinsi gani na wapi ninaweza kuzipiga bei kwani zilikuwa zikionekana niza gharama, Bila matarajio nilikutana na maneno ya wadau humu kutaka nifanye utaratibu wa kumrudishia mwenye mali pete zake.

Jana asubuhi nilirudi mahali pale na kuacha taarifa, lakini jambo la kustaajabisha, nilikuta siku ile ile yule mama alirudi kuulizia pale, walimpigia simu nikamsubiri pale alivyofika nikamkabidhi pete zake.

Yule mama alitoa dola 100 akanipatia, akanipatia card ya mawasiliano akanishukuru sana kisha akaondoka.

View attachment 1936796
Umekuja na plan B we muongo sana hebu weka ile picha ya pete kuna kitu cha kujifunza hapa.
 
Una roho ya tamaa Sana ungeikataa hiyo Dola 100 hakika tuzo yako ingekua kubwa maradufu saivi ungekua unashughulikia visa
 
Hongera kabadilishe hiyo haraka kabla manjagu ya zero hayajakupora na kukubambikia kesi mbaya ya uhujumu uchumi wa kutakatisha pesa 😂😂😂
Kama ambavyo nilivyokuwa nimeleta bandiko, weekend wakati nilikuwa nikizunguka huku na kule, nilipita mahali nikakaa wakati naondoka niliokota kipochi kidogo ambacho ndani nilikuta kunapete 3.

Nilikuja kutaka ushauri humu ni jinsi gani na wapi ninaweza kuzipiga bei kwani zilikuwa zikionekana niza gharama, Bila matarajio nilikutana na maneno ya wadau humu kutaka nifanye utaratibu wa kumrudishia mwenye mali pete zake.

Jana asubuhi nilirudi mahali pale na kuacha taarifa, lakini jambo la kustaajabisha, nilikuta siku ile ile yule mama alirudi kuulizia pale, walimpigia simu nikamsubiri pale alivyofika nikamkabidhi pete zake.

Yule mama alitoa dola 100 akanipatia, akanipatia card ya mawasiliano akanishukuru sana kisha akaondoka.

View attachment 1936796

PIA, SOMA: - Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?
 
Hiyo pesa na wewe usiitumie kwenye anasa yoyote ile, ifanyie mambo ya msingi. Utakuja kunishukuru hapa kwa Mbegu utakayoipanda. Asante.
 
Umetuonyesha dola pekee hebu tuonyeshe na hiyo kadi ya mawasiliano tuone kama ni kweli aisee 😃
 
Kuna kipindi cha nyuma jamaa aliokota begi la mzungu kufungua kulikuwa na fwedha haswaaaaa, kwa uaminifu alimtafuta mzungu akampa begi lake. Cha ajabu alipigwa makofi eti ni mpumbavu.

Ingependeza ungeenda kusoma mada zote za ukoloni na malengo yao

Baada ya hapo ungeenda kwa sonara kuthaminisha baada ya hapo..............

Hawa watu ni wa ajabu saaana utaleta mlejesho
 
Back
Top Bottom