Mrejesho, Baada ya kuokota kipochi cha mzungu kilichokuwa na pete

Mawasiliano aliokuachia usimtafute Leo Wala kesho Kama n namba ya simu yakwao sio ya bongo hapo tengeneza connection lakibabe mpe hata mwez Kama unakiraruraru Basi after two weeks msalimie.

Ongea nae connection za pesa huwez just huko kwao wapo vip naamini unabusara hvyo utanzania(Africa) hautauonyesha hapo.

Mpe dili akukusanyie makorokoro mpaki kwenye container mpige pesa
Amfanyie mpango aende state. Hiyo inatosha sana kwake, kule kuna maisha
 
HONGERA SANA, .....ila dah tumeumbwa tofauti sana.....hivi "cha kuokota ni cha kuiba?"...hakuna njia ya kutokea iliyo nyepesi..... na hujui wapi connection ipo....we fight to death.
 
...sasa chukua hiyo Dola Mia nenda kanisani au msikitini uitoe yote sadaka...ili uongezewe zaidi ya hapo...
 
Kama ambavyo nilivyokuwa nimeleta bandiko, weekend wakati nilikuwa nikizunguka huku na kule, nilipita mahali nikakaa wakati naondoka niliokota kipochi kidogo ambacho ndani nilikuta kunapete 3.

Nilikuja kutaka ushauri humu ni jinsi gani na wapi ninaweza kuzipiga bei kwani zilikuwa zikionekana niza gharama, Bila matarajio nilikutana na maneno ya wadau humu kutaka nifanye utaratibu wa kumrudishia mwenye mali pete zake.

Jana asubuhi nilirudi mahali pale na kuacha taarifa, lakini jambo la kustaajabisha, nilikuta siku ile ile yule mama alirudi kuulizia pale, walimpigia simu nikamsubiri pale alivyofika nikamkabidhi pete zake.

Yule mama alitoa dola 100 akanipatia, akanipatia card ya mawasiliano akanishukuru sana kisha akaondoka .View attachment 1936796
Uaminifu ni mtaji mkubwa sana
 
Back
Top Bottom