Mrejesho; baada ya kukataa mahari ya binti yao

Jinga sana wewe jamaa unaweza kutenganishwa na mtu unayempenda na ndugu zake jinga sana tena jinga sana wavulana siku hizi wajinga sana unajuaje kama Mungu alichagulia kumuoa huyo jinga sana tena hata ambaye utamuoa utamuacha kwa sababu ya kushauriwa na ndugu wewe na huyo mpenzi wako jinga sana wote na inawezekana una udhaifu ndo maana wamekukataa dunia hii unakataliwa kuoa na wewe unakubali jinga sana.

Mkuu umejaribu kujifikirisha kwanza kabla hujapost hiki ulichoandika? Je, ulifuatilia mtiririko wa kisa hiki toka mwanzo? Tendo la ndoa/kuoana ni kuunganisha koo/pande mbili za ke/me, kama upande mmoja wameonesha kikwazo cha watoto kuoana na nyie wanandoa mkalazimisha basi hiyo ndoa ni batiri na matokeo ya kizazi chenu ni laana au majanga yakujitakia. Mi nafkiri mpaka maamuzi hayo yametolewa ni busara na nasaha za hali ya juu zilitolewa na ukizingatia kiongozi wa dini alihudhuria. Ni hatari kutotii makatazo kama haya, ila nampa pole sana binti kwa mikosi waliyompa ktk maisha.
 
Habari wana JF! msama wa kwanza kukataliwa.@Misschagga big up kwako ulinishauri na vijembe na nimeutendea ushauri wako kazi sahizi kiroho safi kwa wale mlioko mwanza mwaweza nipata nyamagana mtaa wa nyakato-buzuruga kwa kunipa ushauri zaidi.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/602085-msaada-wana-jf-ni-mimba-kweli-au-ndo-
kibuti.

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/566800-nimeingia-choo-cha-kike-msaada-tafadhari.

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/437142-nisaidieni-anayezijua-vyema-characteristics-za-wanawake-wa-kibena.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-.../404162-je-sheria-ina-semaje-kuhusu-hili.html

Vip kuhusu hizo link za thread zako,maana huyo msichana kwanza alikuwa hasomeki toka mwanzo,then ulikuwa una mpenzi polisi sijui kama ndo yeye....je wewe ni mwajiriwa au unafanya biashara ya mkaa.
 
Habari wana JF!
Awali ya yote nipende kuwa shukuruni wale wote ambao mliweza kunipatia ushauri hapa pamoja na matusi na vijembe ,laki vyote ni katika sualazima la kuwekana sawa katika maisha....

Nilikuja katika jukwaa hili kuomba ushauri juu ya mahali ambayo ilikataliwa kupokelewa na ndugu wa upande wa binti kisa imecheleweshwa,wengi wenu mlinituhumu kuwa nime jitungia hii stori hivyo kushindwa kunipa ushauri na wengi wenu mlinishauri nikaombe msamaha kwa mara nyinge licha ya msama wa kwanza kukataliwa.

Hivyo msamaha wa mara ya pili ambao uli wa kutanisha wazazi na ndugu wapande zote mbili ulifanywa kwa kuhusisha wazee wakanisa na suruhisho lililopatikana nikwamba tulitakiwa kulipa fidia ya mbuzi mmoja, dume, kuku wawili pamoja pesa taslimu shilingi laki moja na vitu hivyo vili tolewa.

Baada ya hapo kinyume na tulipo tarajia kuwa tunge ruhusiwa kupewa binti lakini haikuwa hivyo,kwani msemaji mkuu upande wa mwanamke ambaye ni baba yake mkubwa alitoa baraka kwa binti yake kuwa anamtakia apate mume mwema machoni pake lakini sio mimi,hivyo akamshauri atengane na mimi ili kumaliza uhasama na nuksi ndani ya ndoa suala ambalo lilipingwa kidoga na wazazi wangu pamoja na ndugu wengine wa upande wa mwanamke akiwemo mama yake na kaka yake mkubwa ,lakini baada ya mvutano na masimaango,
ya muda mrefu ndipo ndungu wa pande zote mbili walipo ridhia kuanzia siku hiyo mahusiano yetu yame zuiliwa na kutenguliwa kimila na kidini kutokana na pingamizi mbalimbali zilizo tolewa na pande zote mbili.

Hivyo mimi na mpenzi wangu tulie ishi katika mahusiano ya kimapenzi takribani mwaka mmoja na miezi minne hatuko pamoja tena wazazi wame tutenganisha..

Siku tatu sasa wana JF ,mpenzi wangu wazamani sipo naye tena yupo kwake nami kwangu maisha yana endelea,maumivu yamesha ni ishia sina habari naye tena.

Japo jana hasubuhi nahata jionialikuja kwangu na ombi moja akitaka kilammoja wetu ajali hisia za mwenzake mpaka pale atakapo pata mwenza kwaba kilekitendo cha kutenganishwa haja kipinga ila kwake anadai ni suprise hivyo anahitaji ukaribu nami wa kumjenga katika hali ya ukaka na dada...nimemkatalia na nime mwambia iwe mwanzo na mwisho kuja kwangu japo kaapa kamwe hata olewa tena..

Mie nita oa lakini kwa sasa sina mpango na wanawake .

Sasa akili yangu nimeigeuzia katika shule nilikuwa nime sitisha masomo ilikupisha suala la ndoa.

Asanteni kwa ushauri wenu..

Misscgagga big up kwako ulinishauri na vijembe na nimeutendea ushauri wako kazi sahizi kiroho safi kwa wale mlioko mwanza mwaweza nipata nyamagana mtaa wa nyakato-buzuruga kwa kunipa ushauri zaidi.

Ombi langu kwa wazazi acheni kuendekeza mila za zamani ambazo hazina manmufaa katika kizazi hiki.

Ushauri wangu kwa vijana ....
usifanye makosa katika kuoa kwani mwana mke ndo dira ya ndani.

Bless u all.
Pole, sikuiona hiyo posti ya mwanzo, ila huyo binti ni zuzu. Ktk suala la ndoa, ndugu/wazazi wanaumuhimu tu pale mnapofanya taratibu za ndoa, baada ya hapo huwa hawana umuhimu kabisa! Mfano unaweza ona kama una ndugu waliooa/kuolewa miaka ya nyuma wala hakuna ndugu aliyena taarifa nao hata kuulizia kama ndoa yao ina migogoro! Kama huyo msichana yupo jamvini naomba aje tumshauri, ninyi hamkutakiwa kuwasikiliza hao wajing wajinga ambao siku mnazzimikiaana hawakuwepo.
 
Kumbe dogo anafanya junior lecturing!! nimefuatilia topic zake kama alivyo link the Hammer usanii mtupu unaendelea humu JF. MziziMkavu njoo uchukue chipukizi la kutunga hadithi huku ukamtambulishe kwa Shigongo!
Ushauri wangu; bwana mdogo junior lecture usimissuse vichwa vya sato unaokula huko mwanza, make sisi tuliozaliwa pande hizo tunaheshimu sana kitoeo hicho kwa kufanya mbongo ziwe active!
 
Last edited by a moderator:
dai lao la kupoke faini ni kufidia gharama walizo tumia siku ambayo hatukwenda kutokana na matatizo.
sawa kabisa, kwa ninavyoona hiyo ilikuwa inafungua ukurasa mpya wa majadiliano mahana kosa lililo fanywa hapo awali lili futwa na hiyo faini!
 
Pole sana mimi hukunitaka ushauri laiti ungenitaka ushauri wangu ningelikupa Ushauri ni bora uendelee na masomo kuliko kuhangaika na suala la mapenzi wanawake wapo wengi kila siku wanazaliwa wapya tena wazuri

kuzidi huyo uliyekuwa nae achana na masuala ya mapenzi masomo ndio kitu mhimu katika maisha yako uwe huna mke huna mpenzi lakini elimu lazima uwe nayo. Si umemuona Rais wa Amerika Barack Obama? Kawa Rais mweusi wa kwanza

Barani Amerika kawazidi wazungu wangapi kwa Elimu mpaka kawa Rais wa Amerika? Ndoto yako iweke kwenye masomo

mwanamke utakuja kumpata unaye mtaka je usiposoma utaweza kupata masomo unayoyataka wakati umesha kuwa

Mzee ? jibu hapana kijana endelea na msomo ndio yatakayokuja kukusaidia katika maisha yako ninakutakia kila la kheri inshallah. Mungu Akubariki Ameen.
 
Kumbe dogo anafanya junior lecturing!! nimefuatilia topic zake kama alivyo link the Hammer usanii mtupu unaendelea humu JF. MziziMkavu njoo uchukue chipukizi la kutunga hadithi huku ukamtambulishe kwa Shigongo!
Ushauri wangu; bwana mdogo junior lecture usimissuse vichwa vya sato unaokula huko mwanza, make sisi tuliozaliwa pande hizo tunaheshimu sana kitoeo hicho kwa kufanya mbongo ziwe active!

unamaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Pole, sikuiona hiyo posti ya mwanzo, ila huyo binti ni zuzu. Ktk suala la ndoa, ndugu/wazazi wanaumuhimu tu pale mnapofanya taratibu za ndoa, baada ya hapo huwa hawana umuhimu kabisa! Mfano unaweza ona kama una ndugu waliooa/kuolewa miaka ya nyuma wala hakuna ndugu aliyena taarifa nao hata kuulizia kama ndoa yao ina migogoro! Kama huyo msichana yupo jamvini naomba aje tumshauri, ninyi hamkutakiwa kuwasikiliza hao wajing wajinga ambao siku mnazzimikiaana hawakuwepo.

unaweza isearch na ukapitia ushauri nilipewa na vijembe vyake ilisomeka hivi.

"wamekataa kupokea mahali ya binti yao tufanye je"?
 
Dah...lkn hii ni madhara ya kufanya group decision kwenye ukoo.. Mm siachagi mtu aingolie mambo yangu..maana zamani imeathiri sana familia..ile shangazi anasema, baba mdogo anausemi.. Hii sio nzuri kabisa na huwa tunaikaribisha bila kujua
 
upo sahihi kabisa...
Yaani sahizi nimekuwa mdogo kama piritoni
 
Back
Top Bottom