Duuuh. Pole sana mkuu. Niliisoma habari hii ulipopost mara ya kwanza japo sikuweza ku comment. Mimi naona kila linalotokea hapa duniani lina sababu. Huyo hakupaswa kuwa mkeo. There must be a problem somewhere tangu mwanzo wa relationship yenuhasa kwa upande wa family ya huyo binti japo wewe hujaweza na hukuweza kuligundua. Inaonekana wao ndo arrogant na si family yako. Pia sio wastaarabu kabisa coz what was the reason for charging you a fine and yet they deny you to merry their daughter. .. that is not fair ta all. Pia nguvu inayotumika kupinga hio ndoa ni kubwa sana kulinganisha na hilo wanalooliona kosa lako. Binti nae haraka haraka kakubaliana na maamuzi yao bila hata kuangalia kuwa hayo ni maisha yake na si ya wazazi. Japo anapretend kuwa hataolewa tena. Mimi nakushauri, ili usipoteze muda, achana na sula hilo na weka akili yako kwenye mambo ya faida kwako kama unavyosema kuwa umeamua kusoma. Wanawake ni wengi mkuu na bado wanazaliwa kila siku. Usimfuatilie tena huyo binti wala usishow interest yoyote kwakr. As a man, usijenge uadui nae wala ndugu yake yoyote yule. Wala usitake kujua kama yupo na relationship na man yoyote yule. In short, assume huyo binti hayupo duniani na hujawahi muona. Mimi yalinipata kama hayo nikafanya hivyo na after one year nikakutana na mrembo mwingine and this time sikuhitaji consultation za family. Baada ya kukubaliana na mrembo nilienda nae kwa DC na within two months ndoa ikafungwa. Maisha raha mstarehe, tuna mtoto mmoja wa kike na mamsap kwa sasa yupo nje kwa masters. So nakushauri according to my experience. Coz what is so special with her, we are all equal hata wewe una wazazi so hastahili kukuletea ma stress ya bure na hasara ni kwa wazazi wako sio yeye. Anakera sana aaaaaghrrr. ...