Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 904
- 526
Habari wana JF!
Awali ya yote nipende kuwa shukuruni wale wote ambao mliweza kunipatia ushauri hapa pamoja na matusi na vijembe ,laki vyote ni katika sualazima la kuwekana sawa katika maisha....
Nilikuja katika jukwaa hili kuomba ushauri juu ya mahali ambayo ilikataliwa kupokelewa na ndugu wa upande wa binti kisa imecheleweshwa,wengi wenu mlinituhumu kuwa nime jitungia hii stori hivyo kushindwa kunipa ushauri na wengi wenu mlinishauri nikaombe msamaha kwa mara nyinge licha ya msama wa kwanza kukataliwa.
Hivyo msamaha wa mara ya pili ambao uli wa kutanisha wazazi na ndugu wapande zote mbili ulifanywa kwa kuhusisha wazee wakanisa na suruhisho lililopatikana nikwamba tulitakiwa kulipa fidia ya mbuzi mmoja, dume, kuku wawili pamoja pesa taslimu shilingi laki moja na vitu hivyo vili tolewa.
Baada ya hapo kinyume na tulipo tarajia kuwa tunge ruhusiwa kupewa binti lakini haikuwa hivyo,kwani msemaji mkuu upande wa mwanamke ambaye ni baba yake mkubwa alitoa baraka kwa binti yake kuwa anamtakia apate mume mwema machoni pake lakini sio mimi,hivyo akamshauri atengane na mimi ili kumaliza uhasama na nuksi ndani ya ndoa suala ambalo lilipingwa kidoga na wazazi wangu pamoja na ndugu wengine wa upande wa mwanamke akiwemo mama yake na kaka yake mkubwa ,lakini baada ya mvutano na masimaango,
ya muda mrefu ndipo ndungu wa pande zote mbili walipo ridhia kuanzia siku hiyo mahusiano yetu yame zuiliwa na kutenguliwa kimila na kidini kutokana na pingamizi mbalimbali zilizo tolewa na pande zote mbili.
Hivyo mimi na mpenzi wangu tulie ishi katika mahusiano ya kimapenzi takribani mwaka mmoja na miezi minne hatuko pamoja tena wazazi wame tutenganisha..
Siku tatu sasa wana JF ,mpenzi wangu wazamani sipo naye tena yupo kwake nami kwangu maisha yana endelea,maumivu yamesha ni ishia sina habari naye tena.
Japo jana hasubuhi nahata jionialikuja kwangu na ombi moja akitaka kilammoja wetu ajali hisia za mwenzake mpaka pale atakapo pata mwenza kwaba kilekitendo cha kutenganishwa haja kipinga ila kwake anadai ni suprise hivyo anahitaji ukaribu nami wa kumjenga katika hali ya ukaka na dada...nimemkatalia na nime mwambia iwe mwanzo na mwisho kuja kwangu japo kaapa kamwe hata olewa tena..
Mie nita oa lakini kwa sasa sina mpango na wanawake .
Sasa akili yangu nimeigeuzia katika shule nilikuwa nime sitisha masomo ilikupisha suala la ndoa.
Asanteni kwa ushauri wenu..
Misscgagga big up kwako ulinishauri na vijembe na nimeutendea ushauri wako kazi sahizi kiroho safi kwa wale mlioko mwanza mwaweza nipata nyamagana mtaa wa nyakato-buzuruga kwa kunipa ushauri zaidi.
Ombi langu kwa wazazi acheni kuendekeza mila za zamani ambazo hazina manmufaa katika kizazi hiki.
Ushauri wangu kwa vijana ....
usifanye makosa katika kuoa kwani mwana mke ndo dira ya ndani.
Bless u all.