Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,367
- 108,524
asifanye hvyo mkuu atajiletea migogoro bure isiyoisha. Huo ukoo unaonekana unamatatizo sana ni bora kwa uamuzi aliufanya....... Wanawake wapo wengi....... Ila ningekuwa mm ile fain walionitoza wangeirudisha palepale wangezitambua akili za usiku
Yaani kuna familia nyingine zinaonesha umaskini wa waziwazi...usikute ndio mchezo wao huo wa kuwalia watu hela kwa njia za kitapeli kama hivyo.