Wanadai shetani ndio kauaEti wanadai ajali hazina kinga.
Inasikitisha sana. Anyway, ngoja mtakatifu anunue kwanza ndege nyingine tatu kwa cash bila procurement, halafu hayo mengine ya hospitali yatakuja 2024Nikashonwa kichwani kwa zaidi ya masaa mawili na kibatari pia umeme ulipikatika,bila ganzi,wakahamia na mkononi ila baadhi nikagoma waniache,maumivu ya nyama za mkono yalizidi,hiyo ni hospital ya teule.
Kesho hadi saa 8 mchana sijafanyiwa dressing ya vidonda,kisa umeme hamna na vyombo havijachemshwa,tukapambana nikahamia hospital ya mkoa baada ya wazazi na ndugu kuja juu.
cc. Mshana jr., Task Force. No comment for such creature mjibu nyinyi.Huna heshima kwenye uzi wa mleta mada, inaonyesha hauna lolote na tabia yako ilivyo.
Ha ha haaaa wivu.com
Pigika tu ulipo na saga meno ya ualosto na upwotopwoto
CIAO