Mrejesho ajali ya coaster Tanga

Mrejesho ajali ya coaster Tanga

Waeleze wanaokutuma kutukana wenzio basi wafanye na yanayowahusu siyo pole wakati wewe ni kati ya tatizo.

Huna hata aibu kutafuta kiki kupitia Cocochanel, kwenye uzi wa mleta hii mada. Unatia aibu

Kama unashida zako kaa nazo huko huko na lugha chafu uliyonayo usifikiri kila mtu.

Wivu.com
 
Am over that and do not wish to be your type. Bashite the second kafunge viatu mapema.
 
Huna heshima kwenye uzi wa mleta mada, inaonyesha hauna lolote na tabia yako ilivyo.

Ha ha haaaa wivu.com
Pigika tu ulipo na saga meno ya ualosto na upwotopwoto

CIAO
 
Kwa vile anasingizia atachelewa kupona ile hospital ni ya mission inaitwa teule kwa kuwa muheza hakuna hospital ya serikali ya kujitegemea baada ya kuwepo hiyo hivyo huwa serikali huwa inaingia ubia na missions au mashirika wanafanya kazi kwa pamoja serikali inaingiza pesa yao pale na vifaa na wenye hospital yao wanaingiza vitu vyao pesa na vifaa wao wana watumishi wao wanawalipa wao na wapo wa serikali wanalipwa na serikali inaitwa PPP private partnerships.... hospital kama hizo zipo nyingi mfano ifakara st Fransis mission sasa hivi imekuwa chuo kikuu cha madaktar, bwagala, kibosho, na hizo ddh huwa ni hospital za wilaya zipo nyingi huruma ipo rombo zinakuwa na huduma nzuri sana huwa ni safi sana watumishi wanaojituma vifaa na dawa za kutosha sasa wewe ukisema ulishonwa bila ganzi hueleweki unatukana mkunga na uzazi ungalipo dawa ya ganzi haiwezi kupotea hosp yoyote ile na huwezwi kushonwa jeraha hata liwe dogo namna gani bila ganzi dhambi kubwa sana kusingizia kitu sicho pole sana
 
Kuzuia maambukizi anaweza kwenda wanamuweka kitambaa safi hakiwekwi hata dawa labda iodine kuzuia tu bakteria lakini lazima kifunikwe usilinganishe na uzazi uzazi kinaachwa bila kufungwa kwa kuwa yupo ndani tu hatoki
 
Kwa vile anasingizia atachelewa kupona ile hospital ni ya mission inaitwa teule kwa kuwa muheza hakuna hospital ya serikali ya kujitegemea baada ya kuwepo hiyo hivyo huwa serikali huwa inaingia ubia na missions au mashirika wanafanya kazi kwa pamoja serikali inaingiza pesa yao pale na vifaa na wenye hospital yao wanaingiza vitu vyao pesa na vifaa wao wana watumishi wao wanawalipa wao na wapo wa serikali wanalipwa na serikali inaitwa PPP private partnerships.... hospital kama hizo zipo nyingi mfano ifakara st Fransis mission sasa hivi imekuwa chuo kikuu cha madaktar, bwagala, kibosho, na hizo ddh huwa ni hospital za wilaya zipo nyingi huruma ipo rombo zinakuwa na huduma nzuri sana huwa ni safi sana watumishi wanaojituma vifaa na dawa za kutosha sasa wewe ukisema ulishonwa bila ganzi hueleweki unatukana mkunga na uzazi ungalipo dawa ya ganzi haiwezi kupotea hosp yoyote ile na huwezwi kushonwa jeraha hata liwe dogo namna gani bila ganzi dhambi kubwa sana kusingizia kitu sicho pole sana
Acha upuuzi wewe, ulishafika hiyo hospital? ? Ubishi wa nini? Ulikuwepo akishonwa? ? Kitu gani kina kufanya uwe mbishi, wewe ndiye uliyepata ajali? ?watu wabishi wa aina hii wanakera sana
 
Pole sana kaka na mungu awatangulie wrote wahanga wa ajali hiyo mpone haraka
 
Back
Top Bottom