Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Endapo Bw. Mramba atasimama kizimbani kama inavyotarajiwa atakuwa ni waziri wa pili wa serikali ya Mkapa kusimamishwa Kizimbani. Kabla yake Waziri Nalaila Kiula alisimamishwa kizimbani kwa makosa ya uhalifu lakini baadaye aliweza kushinda rufaa yake na kuachiliwa huru.
.
Vyanzo hivyo vinaonesha pia kuwa siyo Mramba tu ambaye ameanza kusafisha sahani yake bali pia viongozi na mawaziri (na waliowahi kuwa mawaziri) ambao wameanza kuachilia miradi yao yenye "utata" hasa baada ya kugundulika kuwa Rais Kikwete hatozuia au kuingilia kati uchunguzi wowote dhidi yao au kujaribu kuwakingia kifua kama walivyotarajiwa.
Sahihisho ndugu Mwanakijiji. Nalaila Lazaro Kiula hajawahi kuwa waziri katika serikali ya Mkapa. Hadi sasa hakuna waziri wa serikali ya Mkapa aliyesimamishwa kizimbani. Nalaila Kiula alikuwa waziri wa Ujenzi katika serikali ya Mzee Mwinyi.
kada mpinzani kmaa unatakak uandika ya mbowe andika hujakatazwa na mtu!
......Na serikali yetu ikiwa bado imeendelea kulala usingizi mzito wa njozi... inakoroma kabisa
Tatizo wanajua waTZ wote wamelala ndo maana utasikia wananchi inabidi waelimishwe hii mpaka lini??Ndo maana wao wanapata miaya ya kujineemesha kama kawa.
hii vibweka vya wakubwa mod !!
au na mie nilete "facts" za mbowe kuajiri wasauzi kwenye hoteli yake (aliyoshindwa kumalizia mkopo)?.... where is this guy's patriotism ? mkopo kapewa tanzania, kashindwa kulipa, then anaajiri wasauzi ?
hii vibweka vya wakubwa mod !!
au na mie nilete "facts" za mbowe kuajiri wasauzi kwenye hoteli yake (aliyoshindwa kumalizia mkopo)?.... where is this guy's patriotism ? mkopo kapewa tanzania, kashindwa kulipa, then anaajiri wasauzi ?