William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #21
Mimi ninamfahamu huyu mama kwakuwa nilifanya nae kazi Iringa wakati huo akiwa meneja wa kanda LAPF miaka ya 2005-2008.
Huyu mama ni MKOROFI KULIKO MNAVYOMFIKIRIA. Anazo hizo qualifications za utawala lakini kwenye masuala ya Relations na wafanyakazi wenzake huyu mama ni SIFURI. Hana lugha nzuri, mbabe, anakutumikisha anavyotaka na ole wako umchallenge! Alimfukuza kazi dereva wake alikua anaitwa Mwakingwe kwa sababu za kipuuzi, Mwakingwe akakata rufaa akashinda akahamishiwa Arusha. Hafai.....
Kwenye hiyo nafasi ya Ubunge Pinda anam-back-up, nasikia wanamahusiano (sina hakika ni mahusiano ya nini kwakuwa huyu mama HANA mume) na walifahamiana huko huko Sumbawanga (kwa hulka yake ni vigumu kuwa na mume) ingawa ni mzuri sana(sura+body structure)
Ukiwa unaongea nae hivi kwa mara ya kwanza kama humfahamu, utajua huyu ni mtu wa maana, mzoee uone!!
Nafasi aliyonayo Mama Six yeye pia aliigombea 2005 akaangukia pua.
Anapenda siasa, anatumia muda mwingi kwenye siasa, LAPF Hawamtaki sio kwa sababu ya RUSHWA ila kufanya kazi na huyu mama kunahitaji UWENDAWAZIMU adhawaiz utafeli tu.
Huu ni UKWELI, Geza ulole usiudanganye umma wa great thinkers bana
- Kijana mdogo hii ni thread ya Mramba, kama kumuongelea Malecela anzisha kule, pole sana naona unahangaika sana kila kona humu vipi mkuu sema usaidiwe! ....... ni nyundo tu! remember unhh! upanga kwa upanga Bwa! ha! ha! huja-recover mpaka leo tu!
Es = Sauti Ya Umeme
Na utendaji wake je hapo Iringa? accounts zilikuwaje? makusanyo ya kodi yalikuwaje? Nidhamu ya kufanya kazi ilikuwaje? huko Sumbawanga mbona alifanya kazi hata kabla ya Pinda kuwa Mbunge? na makusanyo yalikuwa vipi? alisomesha mayatima wangapi? mishahara ililipwa ontime mara ngapi?Mimi ninamfahamu huyu mama kwakuwa nilifanya nae kazi Iringa wakati huo akiwa meneja wa kanda LAPF miaka ya 2005-2008.
Huyu mama ni MKOROFI KULIKO MNAVYOMFIKIRIA. Anazo hizo qualifications za utawala lakini kwenye masuala ya Relations na wafanyakazi wenzake huyu mama ni SIFURI. Hana lugha nzuri, mbabe, anakutumikisha anavyotaka na ole wako umchallenge! Alimfukuza kazi dereva wake alikua anaitwa Mwakingwe kwa sababu za kipuuzi, Mwakingwe akakata rufaa akashinda akahamishiwa Arusha. Hafai.....
Kwenye hiyo nafasi ya Ubunge Pinda anam-back-up, nasikia wanamahusiano (sina hakika ni mahusiano ya nini kwakuwa huyu mama HANA mume) na walifahamiana huko huko Sumbawanga (kwa hulka yake ni vigumu kuwa na mume) ingawa ni mzuri sana(sura+body structure)
Ukiwa unaongea nae hivi kwa mara ya kwanza kama humfahamu, utajua huyu ni mtu wa maana, mzoee uone!!
Nafasi aliyonayo Mama Six yeye pia aliigombea 2005 akaangukia pua.
Anapenda siasa, anatumia muda mwingi kwenye siasa, LAPF Hawamtaki sio kwa sababu ya RUSHWA ila kufanya kazi na huyu mama kunahitaji UWENDAWAZIMU adhawaiz utafeli tu.
Huu ni UKWELI, Geza ulole usiudanganye umma wa great thinkers bana
Mimi ninamfahamu huyu mama kwakuwa nilifanya nae kazi Iringa wakati huo akiwa meneja wa kanda LAPF miaka ya 2005-2008.
Huyu mama ni MKOROFI KULIKO MNAVYOMFIKIRIA. Anazo hizo qualifications za utawala lakini kwenye masuala ya Relations na wafanyakazi wenzake huyu mama ni SIFURI. Hana lugha nzuri, mbabe, anakutumikisha anavyotaka na ole wako umchallenge! Alimfukuza kazi dereva wake alikua anaitwa Mwakingwe kwa sababu za kipuuzi, Mwakingwe akakata rufaa akashinda akahamishiwa Arusha. Hafai.....
Kwenye hiyo nafasi ya Ubunge Pinda anam-back-up, nasikia wanamahusiano (sina hakika ni mahusiano ya nini kwakuwa huyu mama HANA mume) na walifahamiana huko huko Sumbawanga (kwa hulka yake ni vigumu kuwa na mume) ingawa ni mzuri sana(sura+body structure)
Ukiwa unaongea nae hivi kwa mara ya kwanza kama humfahamu, utajua huyu ni mtu wa maana, mzoee uone!!
Nafasi aliyonayo Mama Six yeye pia aliigombea 2005 akaangukia pua.
Anapenda siasa, anatumia muda mwingi kwenye siasa, LAPF Hawamtaki sio kwa sababu ya RUSHWA ila kufanya kazi na huyu mama kunahitaji UWENDAWAZIMU adhawaiz utafeli tu.
Huu ni UKWELI, Geza ulole usiudanganye umma wa great thinkers bana
Mie naota tupete Rais mwenye kufanya kazi kama huyu MAMA.
Ili mambo yaende, inabidi watu kadhaa wamwage damu. Wachina wanasema "Jasho jingi wakati wa amani, damu kidogo wakati wa vita". Tanzania likitoka jasho kidogo, watu wanalialia kama watoto.
Wee Mama, kama utasoma hapa, nakukaribisha UGOMBEE SIKONGE.
Ama kweli wabongo kichwa maji!..
nchi inaliwa mbele nyuma bado mnaweka matumaini ya kumtegema mtu fulani kuwa mbora zaidi ya mwingine..
Binafsi naamini kabisa kwamba hakuna mtu hata mmoja anayeingia bungeni kutafuta kubadilisha maisha ya mwananchi wake isipokuwa kupata nafasi ya kuvuta mishahara minono na ruzuku ambazo ni kivutio kikubwa kwao....wabunge waliopo na watakao kuja wote ni wezi watupu kwani huwezi kutumia mtaji wa zaidi ya millioni 300, fedha toka mfukoni mwako kujitangaza ati kwa ajili ya kuwatumikia wananchi..
Hivi sasa kila msikiaye anauza mali za urithi, mali za taifa hadi mchanga maadam wote wanajiandaa na uchaguzi... hii kweli inaingia akilini?. jamani hakuna mwema huko Dodoma wote chama moja - Madalali. Hawauzi kitu isipokuwa kwa kutegemea makato ya pato lao wenyewe..Ile 10% imefikia ilokuwa kwa viongozi wa juu sasa hivi imefika hadi serikali za mitaa, kwa hiyo hakuna biashara ya kanisa hapa. Kifupi hakuna afadhali, hawa wote wakipewa nafasi ya Mramba watayafanya madudu kama ya Mramba na pengine zaidi yake!
Nimesema hapa Bongo kila mtu ni strker, mpe nafasi atakufunga tu goli, hakuna cha sheria wala mjomba wake.. wanakula nchi kwa kwenda mbele kaa mchwa.
Mramba hana chake tena kwa jinsi sasa hivi walivyoweka utaratibu wa kuchaguliwa toka grass root! atawaonga wangapi? huyu mtu kwanza ana kesi ya kujibu! he is a dead man working!
He is a dead walking man
Mkuu Ben,Ili uweze kuwaunganisha wananchi,viongozi walioko nyuma yako vizuri ktk kufanya kazi vyema na kuleta ufanisi basi huna budi kuwa na ukali wenye busara,kutokua na dharau na kiburi,hii itasaidia kujenga heshima ya kiongozi pasipo na nidhamu ya uoga na pia unawapa nguvu ya kufanya kazi nzito kwa hiayari yao
Unaweza ukawa umesomea utawala but still ukakosa ile nature ya utawala au uongozi...so huyu mama inaonekana ni mtawala na si kiongozi .jimbo la Rombo limeongozwa na watu wakorofi kama mkuu wa wilaya yule mmasasi ole molaimeti,lakini pamoja na jeuri,kiburi na kutumia nguvu katika uongozi jimbo la rombo lilizidi kuzorota
Sometimes ukali unahitajika ktk uongozi but si ukali utakaoathiri mfumo mzima wa utendeji
Katika muda wote niliokaa pale LAPF Iringa, SIKUWAHI kuona akikaa ofisini kwa siku 5 za wiki za kazi Consecutively.Kila siku ni Trips kuzungukia "MAKUSANYO" ya michango. Ukweli ni kuwa alikuwa anakula imprest na per diem tu lakini kazi hakuwa akifanya. Staff wake woooote walikuwa wanamwogopa kuliko wanavyomwogopa shetani. Alikuwepo dada mmoja (sijui kama yupo hadi sasa) anaitwa Amina yeye ndo alikuwa anamchana live. Wengine wote walikuwa wanamwogopa.Na utendaji wake je hapo Iringa? accounts zilikuwaje? makusanyo ya kodi yalikuwaje? Nidhamu ya kufanya kazi ilikuwaje? huko Sumbawanga mbona alifanya kazi hata kabla ya Pinda kuwa Mbunge? na makusanyo yalikuwa vipi? alisomesha mayatima wangapi? mishahara ililipwa ontime mara ngapi?
Lets be fair huyo dereva atakuwa alichemsha kama kawaida ya madereva wa mashirika maana navyojua hanywi ni molokole like sasa tusiongelee suala la kufukuzwa mtu m1 kazi na ku-link na ukorofi wa mtu! Ninavyomfahamu ni mchapa kazi na wavivu wala rushwa watamchukia! lets wait and see we need more details za huyu mama