Kamanda, hili ni tusi tena ni la reja rejawandugu,
..kuna baadhi ya wana JF ambao wametembea na kuishi ASIA,ULAYA, na MAREKANI, lakini bado wanabeba kadi ya chama cha kifisadi kama CCM. watu kama hao wana haki gani ya kujiona wako enlightened kisiasa kuliko wananchi wavuja jasho wa Rombo ambao wana historia ya kutorudisha incumbents bungeni na kupigia kura upinzani?
...
Sana tu...kama AlinachaAma ninaota tu ?
Sana tu...kama Alinacha
wandugu,
..kuna baadhi ya wana JF ambao wametembea na kuishi ASIA,ULAYA, na MAREKANI, lakini bado wanabeba kadi ya chama cha kifisadi kama CCM. watu kama hao wana haki gani ya kujiona wako enlightened kisiasa kuliko wananchi wavuja jasho wa Rombo ambao wana historia ya kutorudisha incumbents bungeni na kupigia kura upinzani?
Kamanda, hili ni tusi tena ni la reja reja
Originally Posted by JokaKuu
wandugu,
1. ..kuna baadhi ya wana JF ambao wametembea na kuishi ASIA,ULAYA, na MAREKANI,
2. lakini bado wanabeba kadi ya chama cha kifisadi kama CCM.
3. watu kama hao wana haki gani ya kujiona wako enlightened kisiasa kuliko wananchi wavuja jasho wa Rombo ambao wana historia ya kutorudisha incumbents bungeni na kupigia kura upinzani?
Originally Posted by JokaKuu
wandugu,
1. ..kuna baadhi ya wana JF ambao wametembea na kuishi ASIA,ULAYA, na MAREKANI,
2. lakini bado wanabeba kadi ya chama cha kifisadi kama CCM.
3. watu kama hao wana haki gani ya kujiona wako enlightened kisiasa kuliko wananchi wavuja jasho wa Rombo ambao wana historia ya kutorudisha incumbents bungeni na kupigia kura upinzani?
Kwa vile mahakama imetoa ruhusu hiyo leo (jana), tunatarajia atawasili hapa kati ya Ijumaa na Jumamosi na wapiga kura wake wamejiandaa kumpokea kwa kishindo ili kumpa pole, alisema Kilega.
Mimi sio mwanasheria! Kuwasiliana na wapiga kura?-Hili linampa uwezo gani kwenda bungeni?Uamuzi wa kumruhusu Mramba kwenda jimboni mwake, ulitolewa jana na mahakama hiyo kutokana na ombi la Mramba lenye kumbukumbu namba 10RCA/A1/64/2009, lililowasilishwa Ijumaa iliyopita na wakili wake, Hubert Nyange na Peter Swai, kutaka aruhusiwe kwenda jimboni kuwasalimia wapiga kura wake.
Lakini kwa wakati huo huo linampa haki ya kwenda bungeni(kwasababu yuko huru?) Kuna walakini hapa!Akitoa uamuzi huo jana, Mwankenja alisema, amezingatia ibara ya 13(6)(B), inayotamka kwamba mtu asichukuliwe kuwa ana hatia hadi mahakama itakapomkuta na hatia na ibara ya 17 ya katiba ya nchi, inayosema kila mtu ana haki ya kutembea.
1977? Kuna umuhimu wa kupitia ibara hii!Kwa kuzingatia ibara hizo za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, mahakama inakubaliana na ombi la Mramba kwa sababu bado hajakutwa na hatia, pia ana haki ya kutembea ili mradi asivunje sheria za nchi, na kwa sababu hiyo kuanzia sasa mshitakiwa anaruhusiwa kutoka nje ya mkoa huu.
Ana uwezo wa kuendelea kulipwa marupurupu kwa siku sita😱Ijumaa iliyopita Mramba kupitia mawakili wake aliwasilisha ombi mahakamani hapo akitaka aruhusiwe kutoka nje ya Dar es Salaam kuanzia Januari 3 hadi Februari mosi mwaka huu.
Ruhusa hiyo itamwezesha pia mbunge huyo kuhudhuria mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza Januari 27, lakini pia huenda akalazimika kuomba muda mwingine kwani kwa ruhusa ya sasa, ana uwezo wa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa siku sita kabla ya muda aliopewa wa Februari mosi kumalizika.
- Mkuu kwenye demokrasia makini huwa hatutumii hoja za nguvu na ubabe kama huu wako, mimi ni kweli nimeishi hizo nchi zote ulizozitaja hapo juu,
;- infact nimesomeshwa bure Primary school na CCM, nimesomeshwa bure Secondari ya boarding na CCM, nimesomeshwa bure High School na CCM, nikaenda JKT, na nikapelekwa nje kwa masomo pia bure na serikali ya CCM, unasema kuipa CCM heshima yake ni kuwa what?
- Ninarudia tena kwamba mimi ni mwanachama imara sana na a proud one wa CCM, Mramba ni fisadi ambaye hata serikali ya CCM imeshindwa kumbeba na kumburuza Kisutu, hastahili kupokewa kwa heshima huko Rombo, na ninaamini kwamba wananchi wa Chunya ndio mfano wa kuigwa na taifa hili,
- Jaribu kujifunza kujadili siasa na wenye mawazo tofauti na yako, taifa letu limefika hapa lilipo kwa sababu ya kuwa na viongozi wenye mawazo kama yako, kwamba wewe tu ndio mwenye akili wengine hawana, ni aibu hata kuamini kuwa humu JF kuna member anaweza kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri kama uliou-expose hapo juu ndio maana humu JF huwa hatuelewani maana huwezi kuja humu kwenye demokrasia makini na this kind of thinking,
Hivi mtu kama wewe ukipewa utawala itakuwaje? Wallahi humu JF kuna watu wa kuwaogopa kama ukoma! Yaani lazima wananchi tufikiri kama wewe tu ndio tutakuwa enlighted? Duh! unachohangaikia sana hapa ni nini hasa?
Kwenda shule ni haki zako za kiraia na hakuna sababu ya kushukuru CCM.
Na tukifanya hivyo tutashindwa kuleta Enlightenment katika nchi yetu.
Nyerere alipelekwa shule kwa schoolarship ya serikali ya kikoloni na bado aliona umuhimu wa kudai haki zake kwa serikali hilehile iliyompa yeye upeo wa kuelewa mambo ya kiduni.
Nchi kama Czechslovakia, Polanda, Hungry ziliweza kusomesha watu wote kwa elimu ya high school. Na vile vile kati ya watu 10 zaidi ya wanne walikuwa na digrii za elimu ya juu. Pamoja na hayo waliwapiga kibuti waKomunisti.
Kama CCM iliweza kukupeleka shule bure, muundo wa serikali yake umewanyima mamilioni ya watanzania haki uliyopata wewe.
- ;- infact nimesomeshwa bure Primary school na CCM, nimesomeshwa bure Secondari ya boarding na CCM, nimesomeshwa bure High School na CCM, nikaenda JKT, na nikapelekwa nje kwa masomo pia bure na serikali ya CCM, unasema kuipa CCM heshima yake ni kuwa what?
1.
- Mkuu wangu ninawaona sana wanafunzi wa Vyuo vikuu sasa wanavyolazimishwa kuchangia elimu, ndipo ninaiheshimu sana CCM kama chama cha siasa kwa sera za kuweza kunisomesha shule hizo hizo bure bila kulipa hata senti tano, ikiwa ni pamoja na kunisafirisha bure kwa kutumia warrants.
2.
- Enlightenment sio lazima ionyeshwe kwa kuwa mpinzani wa chama kilichokusomesha bure, inaweza pia kua ni pamoja na kukiosoa kwa manufaa yake kna taifa kama ninavyofanya hapa JF, na wewe ukikikosoa kutokea Upinzani, tunalisaidia taifa letu kwa hoja mbadala, badala ya kulilia wote hapa tuimbe wimbo mmoja.
3.
- Wakoloni walimsomesha Mwalimu kwa makusudi mazima ya siku moja kumpa uhuru na uongozi, ndio maana Mandela hakuuliwa mapema na makaburu ni kwa sababu walijua kua siku moja wanaweza kumpa uhuru na uongozi, na besides hizi ni ishu mbili tofauti kudai uhuru wka wakoloni na kushindwa kwetu kuutumia uhuru tulionao tayari, sio makosa ya CCM kama chama cha siasa, ila ni uzembe wetu wananchi.
4.
- Anyways, CCM bado haijapigwa buti kama hizo nchi kwa hiyo again hii hoja sipaswi hata kuijibu maana ni batili from mwanzo wake, licha ya mwisho.
5.
- CCM haikunisomesha bure peke yangu, kushindwa kwake kuwasomesha bure wananchi leo naamini ni tatizo la uchumi zaidi kuliko muundo wa serikali yake ya sasa, kubadilika kwa sera za uchumi za dunia kumewafanya hata Soviet na China wabadilike, so was sisi Tanzania na CCM, lakini ni fact kwamba mpaka leo wananchi wa Tanzania wana imani na CCM ndio maana wameweza kuipa nafasi ya kutawala for the last 47 years,
Ninasema hivi CCM kama chama tawala cha siasa kina matatizo mengi sana, na ni kutokana na kelele zetu hapa JF na vyama vya upinzani, ndio maana sasa inajaribu kujirekebisha ingawa sio wka mwendo ambao wengi hapa JF tunautaka, lakini mimi binafsi bado nina imani kubwa na chama changu kwamba viongozi wachache wabovu watasafishwa na kurudi inapotakiwa kuwa, lakini ni muhimu sana wananchi wenye uelewa tuka-maintain mawazo mbadala badala ya kujaribu kulazimishana kuwa na uniformity mind hiyo ni hatari sana kwa taifa letu, maana ndio hasa mawazo mabovu yaliyotufikisha taifa letu hapa tulipo sasa,
Otherwise, heshima mbele kwa angalau kuwa na hoja nzito.
Much was achieved as result of Nyereres efforts, notably in the field of education, health and social services. Primary school enrolment increased from one-quarter of the school-age population to 95 percent; adult literacy from 10 to 75 per cent; four in ten villages were provided with clean tap water, three in ten had clinics; life expectancy increased fro 41 years to 51 years.
Yet what progress was made was financed largely by foreign aid. During the 1970s Tanzania received no less than $3billion, mostly from the West. In 1982 the annual level reached $600 Million Without such funds, Tanzania would have plunged into penury. Nyereres achievement (TANU and CCM) , therefore, was related not to success of his strategy, but his ability to persuade foreign sponsors that his objects were sincere.
Nakubaliana na maneno yako; utashangaa kugundua kuwa sehemu kubwa ya hao "wapokeaji" ni watu waliokatiwa kitu kidogo.
Samahani Yebo*2, Nadhani kama sikosei mwaka 1995 Mramba aliangushwa Rombo na Jamaa mmoja kutoka CHADEMA aitwaye Salakana ( sijui sasa hivi yuko wapi), baada ya hapo Che Nkapa akamteua Mramba kuwa RC Mbeya.
Naruhusu kurekebishwa kama kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri
Asante
Umeongea meng ya maana, kwa hiyo hapo juu sidhani inatoa nadharia nzuri kwa democracy.
Waandaaji wa mapokezi wengi wao ndio waliokatiwa kitu kidogo ila wanakijiji wa kawaida wengi wao hawafahamu nini kinachoendelea katika kupiga vita ufisadi. Wao wanahimizwa tu kijitokeza kwa wingi....! Tanzania UJINGA na UMASIKINI ndio tatizo kubwa.
Don't know if he is in anyway responsible, however Mramba has got to be one of the most corrupt and incompetent ministers this country has ever seen.
If there was a Top 5 of the most corrupt and incompetent leaders in the history of TZ this guy would have to be somewhere on that list.
Alex Stewart
EPA/BOT
Presidential Jet
...
To go as far as telling Tanzanians to eat grass....