Mradi wa Viwanja vipya - Kinyerezi

<br />
<br />
habari ndo hiyo jamani.si lazima wote tule nyama!!!!wengine mandondo, wengine kauzu na wengine twala kuku!ndo maisha ya bongo.wengine tutaishia nyumba za kupanga hadi mwisho wa maisha yetu, Mungu tusaidie!!
 
mkuu nadhani ukanunue kiwanja nje ya jiji kama vile chanika, mjini waachie wenye nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…