real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa kuwapo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo.
Cha kufahamu ni kwamba sasa anatafutwa muwekezaji kwenye mradi huo na kazi hiyo wamepewa kampuni ya udalali ya Yono
Mradi huo unaelezwa kuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni 350 sawa na shilingi bilioni 780 za Tanzania
Chanzo: Millard Ayo