Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada

Nadhani ndo maana wanaforce yard kuwa kigamboni maana huu mradi na daraja kamwe havitarudisha hela
 
Magufuli mwenyewe anajua,pesa za nssf ndio zilizotumika kumwingiza ikulu baada ya magabacholi kama akina Manji,Sabodo na wengine kugoma kukidhamini chama.Hii ndio sababu ya Rais kushindwa kugusa hilo jipu.Maana hill sio jibu ni tambazi nyama na likitumbuka hakai mtu.Dr Dau ni season ya 2 ya Daud Balali
 
Balozi Dkt Dau yupo Malaysia kuwakilisha Watanzania , nakukumbusha tu mrithi wake yupo kijiweni anasubiri Sub
 
Yote tisa. Kumi ni hiyo English ya huyo jamaa( diaspora)
Huyo jamaa wamemuokota huko machinjioni vile. Anajidai eti ameishi UK (United Kingdom) miaka 15, nadhani huyu alimaanisha ni Ukonga vile.
 
Back
Top Bottom