Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,621
- 1,087
What a loss! Ndio yale yale ya nchi kukosa vision na kila kiongozi kuja na interests zake. Haya nadhani yalikuwa maono ya Kikwete, Mama Tibaijuka kipindi hicho sasa kaondoka, aliyeingia hana mpango nayo, ana maono mengine. Habari ya Kigamboni City kwishney!! Nadhani kama Taifa kuna sehemu tulikosea na inabidi turudi tusahihishe!
Tulikosea kwenye elimu. Viongozi wengi baada ya wale Waliopitia elimu ya kikoloni, kisha ikaingia elimu ya ujamaa, hapo mwalimu alikosea. Pamoja na PHD nyingi, zote hazing maana, hatuoni mbali elimu exposed. Viongozi wetu wengi wanaogopa matata, hawajui wanachokiongoza. Tanzania ni kubwa, mali asili ni nyingi. Kenya ni nusu jangwa, wizi upo, lakini nchi imeendelea, wizi wa Tanzania ni wa kijinga usiokuwa na AIBU. Airport ya Kenya, thamani yake ni chini zaidi ya pesa alizolipwa Lugumi kufunga vipimo vya vidole. Ukiona vipimo vyenyewe ni vichekesho Ni AIBU. Sasa nyumba za Lugumi zinauzwa sio kwa wizi za pesa ya hizi tenda ati kwa kodi, kila kitu cha huyu bwana ni jasho la Watanzania, Leo yuko nnje, ingekuwa China risasi tu. Najionea huruma na Watanzania wenzangu.