tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
350m$$ ni sawa na 78bn tsh au 780bn tsh sahisha hapo
Utawala huu sijui
Acha majungu!Yote tisa. Kumi ni hiyo English ya huyo jamaa( diaspora)
na kesi kama hizi,mahakamani haiwezekani kushinda,Mradi ni tsh billion 78 zilizo fisadiwa billion 179! Inawezekanaja mradi uwe na thamani ndogo kuliko pesa iliyopotea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hekari moja iliuzwa milioni 800 aibunssf ma director ni matajiri wa kutupa.. wamepiga sana hela kwenye hii miradi...
hapo bei waliyonunua kiwanja ukiambiwa utalia... msumari kilo moja tu unakuta wamenunua laki 1....
hapo wame inflate bei za vifaa si mchezooo
Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa kuwapo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo.
Cha kufahamu ni kwamba sasa anatafutwa muwekezaji kwenye mradi huo na kazi hiyo wamepewa kampuni ya udalali ya Yono
Mradi huo unaelezwa kuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni 350 sawa na shilingi bilioni 78 za Tanzania
Chanzo: Millard Ayo
Mambo yote mazuri yaliyoanzishwa na tawala zilizopita yanaharibiwa
Hivi walimkazimisha kuongea ki-Commonwealth?Yote tisa. Kumi ni hiyo English ya huyo jamaa( diaspora)
Utawala huu sijui