Mazingira ya Dar changamoto kubwa kwenye hawa mifugo ni joto, joto husemekana kupunguza kiwango cha utoaji maziwa kwa ng'ombe iwapo umemtoa sehemu ya baridi....Mwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.
Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !
Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
ka ulikuwa hulijui hilo ndo hivyo mkuu, kitaalamu sijui namna ya kulielezea ila wataalamu wa mifugo husema hilo nyakati zote, na ukiwauliza watakwambia, ila naweza elezea kitaalamu uzao ulopatikana na dume huyo namna utakavyokuwa mbovu katika uzalishaji. mtoto atakayezaliwa atakuwa anaurithi usio na maziwa maana kachukuwa vinasaba kwa baba yakeDume anahusika vipi na kutoa maziwa ?hii ndio Mara ya kwanza kujua hii
Mfugaji wa kawaida anashauriwa kufuga chotara ambaye anakua na sifa Kati ya hao fresian ambao ni wa Western countries uko pamoja na baadhi ya ng'ombe zetu apa.Uzoefu wa 4 years kwa mlioko Dar usinunue hawa Ng’ombe utajuta. Nilinunua 4 , 2016 kwa milioni 8 wote wamekufa na watoto wao. Kwa Dar hawatoi zaidi ya lita 5 kwa siku. Wanakua na gharama kubwa kuwatunza kama yai. Tafuta chotara tena nenda Kibaha ndio wanasurvive Dar. Mtakaonunua hawa mlete mrejesho.
Mazingira ya Dar changamoto kubwa kwenye hawa mifugo ni joto, joto husemekana kupunguza kiwango cha utoaji maziwa kwa ng'ombe iwapo umemtoa sehemu ya baridi....
Mtaalamu ataelezea vizuri akikuja..
Kujua breed ya mfugo unaotaka kuwekeza ni jambo muhimu sana...iwe Ngombe, Nguruwe, Kuku nk.Mwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.
Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !
Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
Kibaha wapi mkuu?Uzoefu wa 4 years kwa mlioko Dar usinunue hawa Ng’ombe utajuta. Nilinunua 4 , 2016 kwa milioni 8 wote wamekufa na watoto wao. Kwa Dar hawatoi zaidi ya lita 5 kwa siku. Wanakua na gharama kubwa kuwatunza kama yai. Tafuta chotara tena nenda Kibaha ndio wanasurvive Dar. Mtakaonunua hawa mlete mrejesho.
ufungaji unahitaji muda hasa kwa wakati huu, kumhasi Mbuzi ni jambo jema lakini inahitaji vilevile chakula cha kutosha ili aweze kunenepa, haitoshi hivyo tu ila dawa nazo zinahitajika kuuwa wadudu na viroboto, kupe na vimelea vingine, kumfanya Mbuzi aweze kuwa kukua vizuri, lakini vilevile banda lao linahitaji kuwa safi zaidi.Du aha ha a we manzese kweli ufugaji haukufai
guzman hii aina ya ng'ombe inafanana je mbona miesiifahamu, hebu nifahamisheFresian mkuu kama uko maeneo yenye baridi
nyocksie, naomba unielimishe kuhusu Ng'ombe aina ya Nyakore ,changamoto zake na namna ya kuwafuga lakini vilevile namna ya ukamuaji maziwa. nitashukuru MtaalamKitaaluma Mimi ni mtaalam wa Animal science and production.
Njoo DM unijuze unachotaka kufahamu kuhusu ng'ombe wa maziwa na tutajua tusaidiane vipi..!?
Kwa kuongezea, dume lililohasiwa nirahisi kulitunza(wanakua wapole) kuliko wale wasio hasiwa, na ni kwa utaratibu wa wamarekani hua hawapendi nyama ya ng'ombe yenye harufu ya testerone (hormone inayozalishwa na korodani) hivyo ndo maana wanashauri ng'ombe wahasiwe Kama hawatumiki kwa ajili ya upandishajiSi kila dume linafaa kwa mbegu, kumbuka dume moja laweza kuhudumia majike mpaka 250 kwa mwaka kama litatumika kitalaamu ( kama sijakosea). Pili dume likihasiwa ( ng`ombe, mbuzi nk) linakuwa haraka na kunenepa sana ktk muda mfupi. Kwa njia hii mkulima anaweza kupata faida haraka. Tunahitaji majike zaidi kuliko madume ktk ufugaji, hata kuku, jogoo ni mmoja kwa matetea matano.
Kwanini ng'ombe chotara?Kama kuna mtu anauza ng'ombe wa maziwa chotara au kuna sehemu anajua wanapouzwa kwa Dar es salaam,Pwani na Morogoro tuwasiliane.
Relax kuna bonge la soko linakuja Namanga kuna kiwanda kinaanzia wa sita mwakani .mmarekani kainvest 11 mil $ ,ni neemaMambo vipi wakuu. Ninaomba anayefahamu minada ya mbuzi katika mikoa ya jirani especially Tanga, Morogoro (?), na Dodoma hasa siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili anifahamishe please. Kama una information nyingine yeyote kuhusu hili ambayo unadhani inaweza kusaidia unaweza kuchangia. Suggested Format: Mkoa-> Kijiji-> Siku-> Extra info (e.g. range ya bei, quality ya mbuzi, gharama za kusafirisha etc). Asanteni sana.
*On a second thought, nimeona kwamba watu wengine wanaweza kuwa interested na minada hiyo katika mikoa mingine na siku zingine. So, feel free to share the info regardless of the day and the region.
Kiwanda hiki kinachokuja ni cha kutengeneza nini??Relax kuna bonge la soko linakuja Namanga kuna kiwanda kinaanzia wa sita mwakani .mmarekani kainvest 11 mil $ ,ni neema
kununua mbuzi,ngombe ,nguruwe na kuku wa kienyeji kwa ajili ya usindikaji wa mazao mbalimbali ya nyama ikiwemo fillets,sausages ,seasoned meat etc kwa ajiri ya kuuza masoko ya nje kiko km 5 kutoka mpaka wa namangaKiwanda hiki kinachokuja ni cha kutengeneza nini??
kununua mbuzi,ngombe ,nguruwe na kuku wa kienyeji kwa ajili ya usindikaji wa mazao mbalimbali ya nyama ikiwemo fillets,sausages ,seasoned meat etc kwa ajiri ya kuuza masoko ya nje kiko km 5 kutoka mpaka wa namanga
Hizo ni mbegu za ng'ombe wa nyama au wa maziwa?Malila huu mpango wa kufuga ng'ombe wa nyama na mimi ninao kilichobaki sasa hivi nikuanza utekelezaji tu by 2013 nadhani mradi utakuwa hewani.. lakini mimi nafikiria kufuga ng'ombe wa nyama wa kisasa.. niliona kwa bwama ASAS aisee ng'ombe anakwenda mpaka kg 1000 within a year baada ya castration. ASAS anaimport mbegu kutoka Denmark na kuzihifadhi kwenye vacuum tanks na alisema pia anaziuza kwa wafugaji wengine.
Hawa wakienyeji tatizo ukuaji wake kidogo unachukua muda mrefu lakini kama utapenda unaweza kupata mbegu nzuri ya ng'ombe wakubwa kutoka kanda ya ziwa i.e shinyanga
Hiki kitu tatizo ni wizara ya mifugo na kilimo wana tatizo hapa kwetu.Kuna Aiana Fulani ya Ngo'ombe wako Kenya,wanatoa lita 40 kwa siku, ila kuwatoa kule si kazi ya kitoto,
Hii bei inazidi vitoyota rush au vanguard zinazosumbua hapa mjiniNilisikia South Africa [emoji288] wanauza ng'ombe dume wa fleckvieh anauza $ 15,000 ambayo ni sawa na kama Tshs 35,000,000 za kitanzania. Wale ng'ombe ni dual purpose na wanaimili sana maisha ya baridi kali na Joto kali pia na ulaji wao sio mkubwa