Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Mkuu hilo sio tatizo hata kidogo, kuna ngombe wazuri tu wanafanya vizuri kwenye maeneo ya joto mfano fleckvieh..pia kama unafugia maeneo ya joto fuga chotara..mfano borani+friesian = chotara utakalopata hapo litakupa tija nzuri saana...Mtembelee JK MSOGA..utaona anavyofuga kwa tija...na ili ngombe wakupe 70% ni proper management na 30% ni feeding
Nakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijinga
Kama unae dume wa fleckvieh popote ulipo namfuata.
Nimemtufuta huyo ng'ombe nimeshindwa
 
Yuko sahihi pure friesian anastahimili zaid mazngir ynye barid kulko joto ila pia ni ngombe ambae ni rahis zaid kupata infections mbalimbali .Uzuri wake anawezo wa kutoa maziw mengi ,anasize kubwa ukimringanisha n breed nyngne wa maziwa .Hivo bas friesian akichanganywa na local breed (ngmbe w kienyeji) km alivosem mkuu unawez kupata kupata maziwa y kutosha ,pia atastahimil joto magnjwa n.k
Nakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijinga
Kama unae dume wa fleckvieh popote ulipo namfuata.
Nimemtufuta huyo ng'ombe nimeshindwa
 
Nakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijinga
Kama unae dume wa fleckvieh popote ulipo namfuata.
Nimemtufuta huyo ng'ombe nimeshindwa
Kwenye ufugaji wa ngmbe wa maziwa economical kufuga dume tunahesabu kama n hasara kwa sababu y mambo yafuatayo
1. cost za malisho na maji
2.chanjo na tiba
3.dipping or spraying

Note :Haya mambo utayaepuka utumiapo artificial insemination

Lets says unaanza kumlea ndama dume toka amezaliwa
Ndama anapozaliwa anatakiwa kunywa maziwa 10% ya uzito wake mfano ndama dume kazaliwa na uzito wa kilo 30kg asilimia 10% itakua ni lita 3 so anatkiwa kunyweshwa 3L ili aje kua ngmbe bora n mweny afya hili linaendlea kila siku mpaka anafiksha mwez mmoja
So kwa lita 3 kwa mwezi atakua ametumia lita 30
Pia ndama anatkiwa kunyweshwa maziwa mpaka kufkia miezi 3 ambayo jumla kwa makadirio inatakiwa kufkia lita 270
just calculate let say 1L=1500tsh maana ake unakua umepoteza laki 405000 ndani ya miezi 3 ambayo hata ukiamua kuuza h ndama ndama huyo wa miez 3 utomuuza kwa hio bei labd utaishi kuuza kwa bei ya laki 1.5 mpaka laki 2

Note: Bado ataendlea kula majan maji ,atahitaji dawa chanjo na n.k

Faida za kutumia artificial insemination (kupandisha )

1.net inccured cost ni ndogo ukilinganisha na kumfuga dume
2.unakua na nyanja ya kuchagua breed bora ya kupandsha mfano friesian,aryshire jeyser
3.kupunguza uwezekano wa kuambukiza magonjwa km trichonomosis ,brucella

Conclusion kufuga ngmbe dume katika biashara ya ngombe wa maziwa ni hasara siwashauri wafugaji kutumia njia hii kama mnahitaji faida zaidi.kama unahitaji ushauri wa kitahalam unawez kuulza swali hum .

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mimi ng'ombe sisomi kwenye vitabu. Mimi nafuga ng'ombe. I used to 'AI' aiseh hiyo siyo tu ni changamoto lakini hata ubebaji wa mimba kwa mitamba ni inshu. Mfano shamba langu nina majike zaidi ya 10 kila mtaalamu akija kupandisha anataka 20elfu. Na mrija bwana unaweza rudia hata mara tatu ndipo ng'ombe ashike mimba.
Achana na changamoto za kujua yupo kwenye joto au laaah tena wengine wana joto la kisirisiri.

Faida ya dume;
i. Anapanda, na anatambua joto mwenyewe wewe unalisha majani na chanjo tu
ii. Anapanda kwa wakati hivyo kukupunguzia usumbufu
iii. Dume pia hufanya ufugaji kulijua banda lako kinasaba badala ya longolongo za wataalamu maana anaweza kuzisifia mbegu za dume kumbe wala dume hana sifa hizo anazozisema

In fact, your not needed to be mechanical engineer to drive a car.
Dume mzee ni habari nyingine. Huwa anapanda hata usiku ukiamka unakuta habari imeisha
 
Mkuu unapatikan mkoa gan

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wakuu shukrani sana kwahii mada na naomba muendelee kutuwekea maarifa mliyonayo......binafsi sijaanza bado ufugaji ila nimeazimia kufikia mwakani niende kijijini sana nikakae miezi 4 hadi 6 nikisoma ng'ombe vizuri baada ya hapo ndio nijenge mabanda yangu huko niinvest nikiwa na maarifa ya kuchanganya hapa na nitakayoyakuta field.....
 
Ucjal tuko pamoja mkuu

Kwangu ilifeli zaidi ya mara tatu, nikaona isiwe tabu nikaleta dume ndio natumia hivyo mpaka Sasa, dume ananiingizia pesa coz namkodisha kupandisha wananzengo majike yao kwa shilingi kumi elfu
 
Mimi ng'ombe sisomi kwenye vitabu. Mimi nafuga ng'ombe. I used to 'AI' aiseh hiyo siyo tu ni changamoto lakini hata ubebaji wa mimba kwa mitamba ni inshu. Mfano shamba langu nina majike zaidi ya 10 kila mtaalamu akija kupandisha anataka 20elfu. Na mrija bwana unaweza rudia hata mara tatu ndipo ng'ombe ashike mimba.
Achana na changamoto za kujua yupo kwenye joto au laaah tena wengine wana joto la kisirisiri.

Faida ya dume;
i. Anapanda, na anatambua joto mwenyewe wewe unalisha majani na chanjo tu
ii. Anapanda kwa wakati hivyo kukupunguzia usumbufu
iii. Dume pia hufanya ufugaji kulijua banda lako kinasaba badala ya longolongo za wataalamu maana anaweza kuzisifia mbegu za dume kumbe wala dume hana sifa hizo anazozisema

In fact, your not needed to be mechanical engineer to drive a car.
Dume mzee ni habari nyingine. Huwa anapanda hata usiku ukiamka unakuta habari imeisha
Naunga mkono hoja
 
Kwangu ilifeli zaidi ya mara tatu, nikaona isiwe tabu nikaleta dume ndio natumia hivyo mpaka Sasa, dume ananiingizia pesa coz namkodisha kupandisha wananzengo majike yao kwa shilingi kumi elfu
Hio n nzr mkuu km unapata faida kupitia dume kwa njia tofaut km hizo kama unalimsha vizuri atakua na uwezo kupandsha majike wengi kwa mda mfupi na uwez wake unadum mda mrefu faida ztaongzeka.
 
Kwangu ilifeli zaidi ya mara tatu, nikaona isiwe tabu nikaleta dume ndio natumia hivyo mpaka Sasa, dume ananiingizia pesa coz namkodisha kupandisha wananzengo majike yao kwa shilingi kumi elfu
Kupandisha majike mengine ya mazizi tofauti hakuna magonjwa ya zinaa kwa ng'ombe? Pia huyo dume sidhani kama ni sahihi kudumu naye miaka mingi maana kuna siku atampanda mtoto wake na kusababisha udhaifu wa uzao unaofuata. Nishawahi kufuga nikiwa kwa wazazi, now nataka nianze kuwafuga mwenyewe Bagamoyo naanza kujifunza changamoto zake so sina utaalamu zaidi nauliza nielimike hapa.
 
Nakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijinga
Kama unae dume wa fleckvieh popote ulipo namfuata.
Nimemtufuta huyo ng'ombe nimeshindwa
Huyu ng'ombe (fleckvieh) ni ndoto yangu pia siku moja. Mkuu unafugia pwani? Vipi unapata wastani wa lita ngapi kwa siku? Na ni breed ipi kwako imekuridhisha angalau so far?
 
Kwa wale mliokua pwan ni vema mkatumia cross breed (chotara ) zaid kulko pure friesian kwa sababu pure friesian afnyi vzr kweny mazngira ya joto
Huyu ng'ombe (fleckvieh) ni ndoto yangu pia siku moja. Mkuu unafugia pwani? Vipi unapata wastani wa lita ngapi kwa siku? Na ni breed ipi kwako imekuridhisha angalau so far?

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale mliokua pwan ni vema mkatumia cross breed (chotara ) zaid kulko pure friesian kwa sababu pure friesian afnyi vzr kweny mazngira ya joto

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa ushauri, naona cross ya boran na fresian inasifiwa sana lakini naona inaleta tija zaidi kwenye kupambana na magonjwa lakini haina unafuu kwenye utoaji maziwa. Hakuna cross yoyote unayoijua yenye kumhakikishia mfugaji walau lita 15 kiwango cha chini endapo matunzo ni mazuri?
 
Sio kustahimili magonjwa tu hata maziwa ya kutosha mkuu sjajùa kwa ngmbe ulowaona kuna changamoto gan nyngn ukiachna na breed malisho na management ndo vnamchngo mkubwa kwnye uzalishaji wa maziwa kuliko hata factor ya breed
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom