Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,302
Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama ilivyokusudiwa na kupelekea serikali ya Senegal kuirejesha ardhi yake kwa ajili ya mradi wa kawaida wa utalii tu kujenga mahotel ya kifahari.
Huu hapa ndio mji wa Wakanda ulioahidiwa na Akon.
Huu ndio mradi uliojengwa baada ya miaka mitano
Huu hapa ndio mji wa Wakanda ulioahidiwa na Akon.
Huu ndio mradi uliojengwa baada ya miaka mitano