Mwanyasi bora Filipo mara elfu maana Erickb52 ni balaa aise kiwatengu aangalie tuu wanamtwara wasimrudishe kwa miguu kutoka huko mpaka kwao maana wakiona tuu anachukua gesi yao itakuwa balaa
amekiuka misingi gani mpaka afungiwe aise maana tunamkosa sana humu Heaven on Earth
si unamjua Mr Busy man na vikao vyake visivyoisha tena
Sina budi kukupongeza sana kwa achievement yako hapa JF.
Wadada na wakaka (hakuna wazee humu) tumpongezeni mwenzetu huyu kwa kufunika kabisa humu JF kwa kufikia Reputations Power zaidi ya laki saba 700,000. na posts 11,111.
Kwa kweli anastahili pongezi....Ni mwenzetu.....Ni mzalendo hasa wa nchi hii ya CHIT-CHAT.
Mr Rocky hoyeeee!!!!!!!!!! Chit chat hoyeeeeee!!!!!!!!
Duh haya bana ila mwambie awe anatukumbuka mara moja moja bana asipotee hivyo mpaka tunamsahau
yeah Heaven on Earth
mbona umeuliza dear
Mamndenyi na chama hatukwepi kodi sisi tunalipa kodi ipaswavyo na kama tunakunywa tusker au castle lite jua na kodi inakatwa huko hukoHao wanashinda huko huko;
wana viwanda vidogo sebuleni kwao;
ila kodi wanakwepa pia.
Heaven on Earth dah that was soo bad wala sio la kufikiria ila wote hao ni wale wasio na hofu ya Mungu ambao wanaona maisha yao hayana thamani na wamekosa watu wa kukaa nao wakawashaurinimetaka kujua tu......hasa baada ya kale ka tukio ka Ilala
Heaven on Earth dah that was soo bad wala sio la kufikiria ila wote hao ni wale wasio na hofu ya Mungu ambao wanaona maisha yao hayana thamani na wamekosa watu wa kukaa nao wakawashauri
Afu wewe ina maana mimi hujaniona hadi umsifie huyo mwizi wa Arusha...???
cc. figganigga
Hao wanashinda huko huko;
wana viwanda vidogo sebuleni kwao;
ila kodi wanakwepa pia.
hahahaaa sa nikaona we na grafani11 mmekubaliana kushare isije
siku mmoja akapata ma wivu akafanya ka ya ilala
Baba V dah hapa unataka upate BAN ya maisha aise unacheza na mutu ya arusha wewe eeehhAfu wewe ina maana mimi hujaniona hadi umsifie huyo mwizi wa Arusha...???
cc. figganigga
Rock city kwema mkuu.... Afu mbona hujajibu swali langu Mr Rocky??
Nimekujibu kwa kukupa Rep Power au hapo kwako haionyeshi aise charminglady
Nafurahi kusikia wana Rocky City mko salama