Mr. President Kindly Surprise Me!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605
1,704
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli (PhD)
 
minister for economic upgrading. Prof. Anna kajumulo tibaijuka
minister for constitutional changes: Dr. Harrison mwakyembe
minister for land reclaiming: John pombe magufuli

-mbunge wa kuteuliwa- dr. Wilbroad slaa
 
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli
If Wishes were Horses....!:glasses-nerdy:

He will not do to your wish broda, you can take my word to a safe-custody!
Kama uliona wale waliohudhuria juzi kwenye hafla pale Ikulu ndio mostly itakuwa serikali na mawaziri!
Ushikaji utaendelea!
 
wewe JK hawezi kufanya kazi na watu wenye akili, Busara na Hekima kama kina Magufuli kwenye wizara nyeti kama hizoo
mhh kuna watu wanathamini bongo zao etiii
sana sana atawapa sehemu zile ambazo hatakutana nao labda mara 2 kwa miaka 5.... kama vitoweo.....
 
If Wishes were Horses....!:glasses-nerdy:

He will not do to your wish broda, you can take my word to a safe-custody!
Kama uliona wale waliohudhuria juzi kwenye hafla pale Ikulu ndio mostly itakuwa serikali na mawaziri!
Ushikaji utaendelea!

Ufisadi ulipopamba moto miaka miwili mitatu hivi iliyopita tuliambiwa tuvute subira maana anapambana nao kichinichini na akishashinda 2010 basi atatuletea surprise package, naisubiria kwa hamu!
 
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli

Kaka Companero,
Hao uliowataja hapo juu ni wachapakazi na ni watu wanaokubalika na jamii ya CCM na Watanzania kwa ujumla, na pili ambalo ni la Muhimu kwa JK na kikundi chake (Mafisadi) ni lazima wamuandae mtu wa kuja kuchukua nchi kwa Maslahi yao, sasa hao uliowataja watatupwa mbali kabisa ili wasishine na kuonekana ni bora nina mashaka sana na Mwakyembe na Tibaijuka, lakini Makufuli anaweza akarudi kwenye Wizara yake ileile ya Kitoweo
 
kwa maana hiyo mwenzetu unataka kuwa na wizara maalum kazi yake hiyo tu!

Suala kuu la ardhi Afrika, kuanzia Afrika Kusini, Zimbabwe, Kenya hadi Tanzania, ni kurudisha rasilimali mama ya ardhi kwa wananchi ili wawe na fursa ya kuimiliki na kuitumia, hivyo Wizara hii itahusika na kurejesha ardhi kwa wananchi katika mapana yake hayo. Kwa kiswahili tunaweza kuiita: WIZARA YA KULINDA MILKI NA KUBORESHA MATUMIZI YA ARDHI KWA WANANCHI
 
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli

Hawa walichangia kampeni shilingi ngapi? Je walisaidia CCM katika uchakachuaji....kama ni hapana basia hwatapata vyeo
 
Suala kuu la ardhi Afrika, kuanzia Afrika Kusini, Zimbabwe, Kenya hadi Tanzania, ni kurudisha rasilimali mama ya ardhi kwa wananchi ili wawe na fursa ya kuimiliki na kuitumia, hivyo Wizara hii itahusika na kurejesha ardhi kwa wananchi katika mapana yake hayo. Kwa kiswahili tunaweza kuiita: WIZARA YA KULINDA MILKI NA KUBORESHA MATUMIZI YA ARDHI KWA WANANCHI

hata Slaa asinge ku suprise kwa hilo.
 
Hawezi kubali kuwa na watu watakaokuwa maarufu kuliko yeye kwenye serikali yake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom