Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli
minister for economic upgrading. Prof. Anna kajumulo tibaijuka
minister for constitutional changes: Dr. Harrison mwakyembe
minister for land reclaiming: John pombe magufuli
If Wishes were Horses....!:glasses-nerdy:Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli
If Wishes were Horses....!:glasses-nerdy:
He will not do to your wish broda, you can take my word to a safe-custody!
Kama uliona wale waliohudhuria juzi kwenye hafla pale Ikulu ndio mostly itakuwa serikali na mawaziri!
Ushikaji utaendelea!
Ku-reclaim ni ku-rejesha hivyo Wizara hiyo itashughulika na kurudisha nyumba na ardhi zilizopokwa!
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli
kwa maana hiyo mwenzetu unataka kuwa na wizara maalum kazi yake hiyo tu!
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli
Suala kuu la ardhi Afrika, kuanzia Afrika Kusini, Zimbabwe, Kenya hadi Tanzania, ni kurudisha rasilimali mama ya ardhi kwa wananchi ili wawe na fursa ya kuimiliki na kuitumia, hivyo Wizara hii itahusika na kurejesha ardhi kwa wananchi katika mapana yake hayo. Kwa kiswahili tunaweza kuiita: WIZARA YA KULINDA MILKI NA KUBORESHA MATUMIZI YA ARDHI KWA WANANCHI
hata Slaa asinge ku suprise kwa hilo.
Angeachia ardhi ya wananchi iende kwa wawekezaji kwa kasi kama inavyoenda hivi: Uchindile-village | Daily Kenyan News Update